Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

CCM wanashida aisee...Huku wanadili na Corona Kule wanadili na CHADEMA..?

Ndio maana Rais anachoka aisee!
Mkuu Rais hachoki na haya mambo kwasababu ana roho ya kikatili kaa chinjachinja..

Yeye ndio anaetoa maagizo ya mabaya yote wanayofanyiwa CHADEMA..

Kama sio yeye anayeagiza, tungemuona akikemea vitendo hivi vya kinyama.
 
Wananchi sisi ndio wwenye maamuzi tuweke serikali ya aina ngapi, tunahaja Kweli ya kuweka serikali ifanyao mambo ya utoto utoto Kwa karne hii Kweli. Kwann tusiweke serikali itakayo pambana Na matatizo makuu ya nchi mfano wasiojulikana, ajira,Kilimo, diplomasia.Yaani kutwa kucha inapambana Na chama kisicho hata Na ofisi
 
Sababu zinajulikana na DPP keshasema walikiwa wanatafakari kauli zake za uvunjifu wa amani. Msidanganye watu. Mnatengeneza mavurugu nyie wenyewe yabebeni na familia zenu. Bado makengeza wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye siasa za kwenye mitandao huku hakuna intelligence ya polisi, mitandao INA nguvu
 
Wafanye siasa za kwenye mitandao huku hakuna intelligence ya polisi, mitandao INA nguvu
 
Wafanye siasa za kwenye mitandao huku hakuna intelligence ya polisi, mitandao INA nguvu
 
Upumbavu na ujinga ila wacha yatimie tu Mungu ana makusudio makubwa na yanayendele akija kujibu tusilaumiane tena.
Mungu anayo makusudi kumleta jiwe ili chama chakavu kife yote haya hayana budi kutimia.
Tuyaonapo haya yatupaswa tujue mwisho umefika
 
Sifa kuu ya dikteta yeyeto ni uoga utumia uoga wa wananchi kuwatala.
Hakuna dikteta yeyeto anayeweza simama mwenyewe bila dola.
 
Lema ni common figure. Ni mtu na heshima zake na ni mtu maarufu na mwakilishi halali wa wananchi.
Hivi huwa vyombo vya usalama mna kuwa na shida gani kumpigia simu awafuate kituoni?
Kwenda kulala kwenye magari kumsubiri mtu aamke mumshike na kumdhalilisha ndio tecknic pekee mliyo ona ina faa au ndio mwisho wa fikra zenu?? Naona kama ukamataji wenu bado ni wakizamani sana.
Sasa ona kawa aibisha nyie mko nje huku taarifa zinaeleza jamaa hayupo hotelini ameondoka na kawaachia manyoya. Ni aibu kwa vyombo vya usalama. Mbona RCO Arusha alimpigia simu na alikwenda kuripoti wakampeleka Singida?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kuna chama kila siku wao wanatamani iwe maandamano na mikutano ya hadhala tu! Maana jana Mbowe kaongea na waandishi wa habari, leo Lema anataka kuongea na waandishi ya kila mtu kule ni pres tu! Jamani.. Mmezidi kwakweli
 
CCM hawana mapenzi na watanzania kabisa iamue moja kuendelea ku deal na CHADEMA au corona,yaani kwao ni bora watuwafe na corona lakini chadema itokomezwe
 
Hii nguvu kubwa ielekezwe kwenye essential preventive measures to combat the spread of COVID-19, Cholera na Ebola.
 
Japo ukabira sio mzuri ila kuna makabira mengine hayafai kuongoza nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyerere alionya hatukusia.Pia hata ukiisoma Colonial education utakuta yapo makabila hakuyapa elimu alijua ni kupoteza resources ni hasara kuyaendeleza hayaelimiki sababu ni wazuri Kwa matumizi ya nguvu Na sio akili thus aliyatumia kulima Mashamba ya mkonge Na karafuu Na ukuli bandarini Fanya hata research utagundua ni kwann ni jamii zilezile penye kuhitaji kutumia reasoning wao wanatumia nguvu.
 
Kama kawatoroka yafaa watumbuliwe sasa,Kazi zingine kabla ujaajiriwa lzm urogwe kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…