peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.