Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema arusha ila Tanzania ghorofa 40 zipo nyingi kaka ama wasema tanzania ya makunduchi
Akili za kimaskini hizi, mawazo ya nyerere na jiwe yametufanya tufikiri kuwa ili kuendelea ni kuwanyang'anya matajiri mali na kuwagawia masikiniLimejengwa haraka haraka, opposite na shamba la Doli estate au opposite na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Aurusha Tanzania.
Watanzania fikeni mkaone, miujiza ya awamu ya 6.
We muongo na mnafiki mkubwa ww, tupo hapa maji ya chai na hakuna barabara yeyote ya Lami kuingia Dolly,Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
MkuuMwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Hakuna MTU mwenye wivu na Maendeleo ya MTU Wala mwekezaji. Tatizo kubwa ni watu kuiba fedha za umma Kwa kushindana. Hii Nchi Ina pesa nyingi sana na Rasilimali nyingi sana. Hakuna Waziri au mkubwa Wa Idara ambaye akipewa Hata mwaka anatoka bila kuchota mabilion ya pesa. Hapo Ndipo panapowakera watu . Na Nature ilivyo dhulma haidumu . Hata Wazungu na Waarabu walitumyonya sana lakini wanakoelekea ni kwenye uharibifu mkubwa. Wachini walinyonywa sana Lakini wanatelekea juu. Wahindi ni ubahili wao na ujanja ujanja Lakini Hawana mambo ya kukwapua ni kama Wachagga ,wachagga wakiwa maofisini Hawana mambo ya kuchota pesa za umma na mamilataba ya kuhujumu Nchi. Wanacheza na Fursa Lakini wanafanya jambo zuri na la kudumu. Kuna kundi Fulani limepita Madarakani kuanzia miaka 20 iliyopita KAZI yake imekua ni kuchota na kukwapua Mali za umma Wakati Hawana Historia Wala uwezo Wa KUFANYA Biashara. Walikwapua viwanda wakaviua watu wakakosa ajira wao wakawa mabilionea.Weka picha acha maneno mengi. Hata hivyo tunapenda maendeleo, wacha watu wainvest pesa zao!!
Ajira zitapatikana kwa Watanzania wenzetu, wakulima watauza mboga zao na vyakula vingine, watalii watapata sehemu nzuri za kulala, serikali itapata kodi!! Kuna baadhi ya watanzania wenzetu watafaidika kwa namna nyingi.
Tatizo la watanzania ni wivu tu unawasumbua!!
Kwa mfano huu uzi umeandikwa kimbeya sana, SIYO kwa namna ya kupongeza ni jambo zuri limefanyika, umeandikwa kwa namna ya labda hawa waliojenga ni majizi au wala rushwa au wahujumu uchumi!! Some people are never positive!! Wamejawa na wivu mpaka wanajichukia wao wenyewe!!
Sasa kupiga hy namba ndio kuthibitisha.?
halafu ukishajua italisaidia nini?Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.