peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
PichaMwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Hakuna ghrorofa 40 ArushaMwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Sema arusha ila Tanzania ghorofa 40 zipo nyingi kaka ama wasema tanzania ya makunduchiHizo ulizoandika ni hadithi tupu, hakuna ghorofa lenye urefu huo hapa Tanzania, kama unaamini hicho ulichopost njoo na picha hapa na sio blah blah.
Arusha hakuna jengo la ghorofa 40Sema arusha ila Tanzania ghorofa 40 zipo nyingi kaka ama wasema tanzania ya makunduchi
Ndio , ujenzi wake umekamilika karibu na shamba la doli estate au uwanja wa Kiligolf, maji ya chai arusha TanzaniaHakuna ghrorofa 40 Arusha
Weka picha tuhesabuNdio , ujenzi wake umekamilika karibu na shamba la doli estate au uwanja wa Kiligolf, maji ya chai arusha Tanzania
Limejengwa haraka haraka, opposite na shamba la Doli estate au opposite na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Aurusha Tanzania.Arusha hakuna jengo la ghorofa 40
Tanzania ya wapi hiyo wewe kilaza ?Sema arusha ila Tanzania ghorofa 40 zipo nyingi kaka ama wasema tanzania ya makunduchi
Nitatuma picha soonWeka picha tuhesabu
Eneo hotel ilipojengwaBila picha huu uzi ni takataka ,nimefungwa kwa mbembwe lakini wapi sijaona picha basi hata kusoma siusomi...
Wala halitokuja kutokea in a near futureHakuna ghrorofa 40 Arusha
Tanzania Hakuna jengo lenye ghorofa 40.Arusha hakuna jengo la ghorofa 40