Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

Ninakuhakikishia 100% kuwa mimi sio wa buku 7 ; ninajitambua na situmwi na mtu , na nina uhakika wa chakula na malazi yangu na familia yangu siku zote za uhai wetu!!!
Unatumwa na mkeo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Raisi anajishusha Sana....Kila Jambo hata dogo....anajihusisha...Mi nadhani hakukuwa na haja ya kujitangaza na kumtuma Mkuu wa mkoa kwamba Yeye kama Raisi ndiye anazuia uvunjaji wa hoteli ya Sugu. Angeweza kufanya hilo pasipo Tanzania nzima kujua.
 
Katumia hekima kubwa wapo wasaidizi wanafanya mengi ya hovyo kuwakomoa wenye mawazo mbadala wakidhani watamfurahisha mkuu, ama kwa mwavuli kawatuma, kawapiga stop order. Hatua ya kupongezwa kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Acha unafiki, kuiba kura na kutangazwa wasio shinda mbona ajitokezi kukemea?, Ndugai kuponda katiba kwa nini ajitokezi, jambo baya likimfurahisha tu utulia utafikiri yupo USA, kumbe hapo tu chato!
 
Vijana wenye masikio na msikie,wazee wenzangu tu_relax
 
Mkuu hueleweki,

Mwanzoni umesema wewe ni mzee,( sisi tulio uzeeni), baadae umesema unawaomba vijana wenzako mjitahidi! Ila hoja yako iko vizuri.
This is JF[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni vigumu sana kujua the story behind any successful person,kwa kuwa mambo mengi maovu yanafanywa kwa siri kubwa.Hata hivyo nikuhakikishie kwamba there is a story behind Sugus' success,only that people do not know it.Nimefanyia utafiti most of the success stories of the richest families on the Planet including the Rothschild family, the Bruce family, the Kennedys, the Medici family, the House of Hanover, the House of Hapsburg, the Krupp family, the House of Plantagenet, the Rockefeller family, the House of Romanov, the Sinclair family, the Warburg family and the House of Windsor,
they are dirty stories behind their success.Kwa hiyo usijifariji kwamba all is well with Sugu.There is "most likely" a dirty side to his success,you just do not know it.
Completely wrong and misleading people et kila rich family have dirty stories behind. Kuna watu ni rich and they are clean
 
Katumia hekima kubwa wapo wasaidizi wanafanya mengi ya hovyo kuwakomoa wenye mawazo mbadala wakidhani watamfurahisha mkuu, ama kwa mwavuli kawatuma, kawapiga stop order. Hatua ya kupongezwa kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
Amewachukulia hatua gani hao wasaidizi wake waliotaka kuvunja hoteli ili kumfurahisha yeye.
 
Habari za boxing day wananchi,

Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma.

Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi ikihusianishwa na biashara haramu na utakatishaji fedha ingawa hakuna ambaye amewahi kuhojiwa kuhusu tuhuma ambazo uelekezwa kwao.

Kwa mfumo wa siasa za Tanzania kila tajiri lazima awe ndani ya Chama Tawala la sivyo atafilisiwa hata Kama hakuna ushahidi wa jinai ndani ya utajiri wake.

Nichukue fursa hii kuwaomba vijana wenzangu tujitahidi sana kutafuta na kuwekeza kwa kesho yenu na vizazi vijavyo. Sugu amejaribu akifuata nyayo za Mwenyekiti wake wa chama, Profesa Jay yupo vyema, Msigwa pia yupo vyema.

Vijana wengine fanyeni kazi, wekezeni bila kulazimishwa kujiunga na chama Tawala. Utajiri ni moja ya nguzo kubwa yakufanikisha maamuzi kwenye jamii

Tunataka wapinzani wenye nguvu ya kiuchumi na si wapinzani wenye mawazo yakufadhiliwa.
Mwanzon umesema we mzee, katikati unawaasa vijana wenzako
 
Ukipat
Completely wrong and misleading people et kila rich family have dirty stories behind. Kuna watu ni rich and they are clean
Ukipata vihela vyako km ni mfanyabiashara basi Freemason,au msukule,km uko kwa ajira basi umefisadi.ndio mawazo ya watu siku hizi.huna kitu Ni shida pia.
 
Ukipat
Ukipata vihela vyako km ni mfanyabiashara basi Freemason,au msukule,km uko kwa ajira basi umefisadi.ndio mawazo ya watu siku hizi.huna kitu Ni shida pia.
Hya mawazo yamejaa sana kwenye jamii. Watu hawaamini km mtu anaweza pambana mpaka akapta na kuondokana na umasikin. Kijana akomaa Usk na mchana toka kua chinga au ansoma kwa kuunga unga mpka anamaliza anpata kazi shirika zuri kam UNDP au UNFPA analipwa vzr akienda kwao kufanya maendeleo hata kuwajengea wazazi wake unasikia Freemason hyu alkua masikin tu hapa leo anawajengea wazazi jumba lote hilo?
Sasa hua najiuliza kama hyo Freemason ipo na waende wajiunge nao wapte? Tunakwamishana sana na kuwavunja vijana moyo kutafuta maisha kwa aina hizi za mawazo
 
Umesomeka mkuu,ina maana ulikuwa unapiga zaid ya mil 100.Hongera saana,vipi sasa mbona watu wengi wanasema kilimo ni kama kubahatisha ama pata potea? Wewe ulikuwa unatumia mbinu gani..
Angekuwa anatengeneza profit hizo asingetoka huko, jiongeze kidogo......
 
Raisi anajishusha Sana....Kila Jambo hata dogo....anajihusisha...Mi nadhani hakukuwa na haja ya kujitangaza na kumtuma Mkuu wa mkoa kwamba Yeye kama Raisi ndiye anazuia uvunjaji wa hoteli ya Sugu. Angeweza kufanya hilo pasipo Tanzania nzima kujua.
Unakuwa kama mgeni nchini!!!?
au nasema uongo ndugu zangu..
 
Back
Top Bottom