Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.

Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti chadema taifa, ametoa hotuba binafsi akiwa mbele ya wanaomfadhili kwa hali na mali, maana yeye binafsi bila kusaidiwa hususan kiuchumi hajiwezi. Ni mvivu sana wa kazi za kujitaftia kwa nguvu zake mwenyewe.

Licha ya kujaribu kutoa maelekezo kwa lugha ya mapendekezo kwa kamati kuu ya chadema taifa, ambayo yeye ni sehemu yake, kibaraka anajaribu kutoa maelekezo ya uchuguzi wa Chadema ufanyike kama anavyotaka yeye bila kuzingatia, katiba, sheria na kanuni za uchuguzi. Ni muhimu akawapa fursa na nafasi kamati kuu kuandaa mkutano mkuu wa taifa na uchuguzi wa viongoz wa Kitaifa kwa uhuru, ikiwa yeye amejitenga na wengine, kua sehemu ya waandaa uchuguzi huo.

Hotuba ya ya Lisu ni ya kinyonge isivyo kawaida, na huenda kuna vitisho au ishara na mambo ambayo ameyabaini kibaraka huyo na kumfanya awe katika hali ya kukataa tamaa na kua mnyonge na mstaarabu kama alivyoonekana kwenye hotuba yake yenye mchanganyiko wa lawama dhidi ya chama chake mwenyewe, chama Tawala na serikali sikivu ya CCM.

Body language, tone na facial expressions yake, inaakisi wazi kua kuna kitu hakiko sawa au kisicho cha kawaida, mbele na nyuma ya harakati zake za kisiasa na kujikuta hana namna ya kukabiliana na hali hiyo. The puppet is lost.

Katika hotuba yake isiyokua na mvuto wala msisimuko kabisa,
hapakua na jambo lolote muhimu wala jipya la maana hata moja katika hotuba yake nzima. Kibaraka amerudia yale yale tu ambayo hayafanyiki kwenye chama chake na hana mipango wala mikakati ya kurekebisha hali hiyo kwenye chama chake bali kubwekabweka mitaani na kwenye majukwaa ya kisiasa.

Bila aibu,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi analalamikia katiba ya nchi, ili hali ya kua katiba ya chama chake cha chadema ni kiza totoro, imejaa matatizo ambayo, yanamtesa hata yeye mwenyewe, kuelekea uchaguzi wa chadema taifa Jan.22,2025.
No reform No elections ilipaswa kuanzia kwenye katiba ya chadema, kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti Taifa.

Kwa kifupi,
hotuba ya kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi, amethibitisha mwenyewe kwamba chadema imepoteza wananchama na mashabiki wengi kutokana na mifumo isiyo ya haki hususani katika chaguzi.

Kibaraka kuiomba kamati kuu ya chadema Taifa iwaalike viongozi wa dini na mabalozi kuhudhuria mkutano mkuu na uchaguzi, ni jambo ambalo hufanywa miaka yote na chadema, labda kwasababu ya ubinafsi wake na kujitenga na viongozi wenzake, au kasahau au ana mawenge ya mwaka mpya. Jambo hilo la kawaida, halijawahi kuongeza uzito wa uchaguzi kama anavyodhani kibaraka, ispokua labda anataka sifa za kijinga tu.

Kuhusu rushwa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ameonyesha wazi kutokua na nia au mipango mikakati ya kuzuia au kupambana na rushwa kabisa. Mapendekezo ya kibaraka kuhusu rushwa na udanganyifu, hayawezi kutekelezwa na kamati kuu chadema taifa, kwa hotuba au press conference kama hii ya leo na nyinginezo. Upo utaratibu mahususi kwa viongozi wa chadema taifa kujadiliana na kupendekeza mabadiliko muafaka. Hotuba hii ya kibaraka, haiwezi kuishurutisha kamati kuu ya chadema kuacha kuendelea na ratiba zake za maandalizi ya mkutano mkuu na kuzingatia porojo na makelele yasiyofuata utaratibu.

My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ashauriwe kuchochea kuchochea kwanza mabadiliko chadema, kabala ya kupendekeza mabadiliko nje ya chadema. Tengenezeni utaratibu wa ukomo wa uongozi, madaraka na mamlaka kikatiba chadema, ndipo kubwekabweka kwenu nje ya chadema kunaweza kua na maana kwa jamii.

In conclusion,
Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania Oct.2025, utakua huru zaidi, wa wazi na wa haki kupindukia ili kuwapa waTanzania fursa muhimu ya kuchagua na kuamua mustakabali na uelekeo wa nchi na Taifa lao.
Hii ni fursa na nafasi ya pekee sana kwa vyama vya siasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu, kushindanisha sera na mipango yao kwa wananchi na hatimae waTanzania kuamua katika sanduku la kura.

Chama ambacho hakijajiandaa kushiriki uchaguzi huo, au hakina hoja, sera, mipango mikakati au mgombea anaekubalika, hakina sababu au haja ya kutisha waliojiandaa. Wawaache waTanzania waamue mustakabali wa maendeleo yao kwa salama na amani.

Hotuba hii ni maoni na mtazamo binafsi wa kibaraka na sio msimamo wa chadema, iliyo kwenye maandalizi ya mkutano mkuu na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama Taifa.
Infact, mwisho wa makelele na mdomo wa kibaraka inafaa kua Jan.22,2025.
Nawatakia wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uchaguzi mwema.🐒

Mungu Ibarika Tanzania.
 
Nabii Rolinga anasema kuna Rais atafia madarakani 2025, hivi hajamwona mwenyekiti atayekufa Kwa Konyagi usiku mwezi Januari kwa kukosa uenyekiti akiwa amezungukwa na Wenje, Ntobi, ... Akisikitika kukosa uenyekiti na pesa zake wamekula bila kuzifikisha Kwa wajumbe.
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hajui kuongoza shughuli za siasa Bali yeye ni mwanaharakati wa kupinga kila kitu

Freeman Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ingawa alianza vizuri, amekuwa kwenye madaraka kwa muda mrefu sana sasa hivi ameishiwa mawazo. Ndiye ameirudisha Nyuma CHADEMA

CHADEMA inahitaji damu mpya
 
Wenye akili tulijua mapema kwamba wachagga hawawezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa sababu ya ukabila. Ona sasa wachagga wote wako kwa mbowe. Hovyo kabisa.
 
Kende zikibanwa lazima utoe jicho na bado
 
Nabii Rolinga anasema kuna Rais atafia madarakani 2025, hivi hajamwona mwenyekiti atayekufa Kwa Konyagi usiku mwezi Januari kwa kukosa uenyekiti akiwa amezungukwa na Wenje, Ntobi, ... Akisikitika kukosa uenyekiti na pesa zake wamekula bila kuzifikisha Kwa wajumbe.
hivi huyo mjamaa ni nabii au mfarakanishi na mchonganishi? :pedroP:

siku nyingine rafiki yangu amenikaribisha dar es salaam,
akanialika kwenda kuabudu kwa huyo kijana maeneo ya hapo mbezi katikati kuelekea tegeta.

sasa,
eti akaanza kuniombea na mimi, bila kujua kwamba na mimi ni nabii:pedroP:

akaniambia eti mimi ninaonekana kwa muonekano tu ni mtu mwenye pesa mingi lakini pale nilipoeti sina hata kumi mbovu:pedroP:

nilitaka nitoe sadaka ya 1m nikaahirisha palepale nikaondoka zangu na hela zangu, sipendi dharau mimi:pulpTRAVOLTA:
 
Wenye akili tulijua mapema kwamba wachagga hawawezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa sababu ya ukabila. Ona sasa wachagga wote wako kwa mbowe. Hovyo kabisa.
Je,
wanyanturu hawakubaliki au hawaeleweki kiuchumi na kisiasa, ndugu mbaguzi wa kikabila mwenye akili sana?:pedroP:
 
Sawa tumekusikia, ila cha muhimu ni tunataka mwenyekiti mpya chadema...asiwe mbowe, baaasi!.
 
Na hiyo ndo point kubwa 21yrs madarakani ametosha awaachie wengine
 
Sawa tumekusikia, ila cha muhimu ni tunataka mwenyekiti mpya chadema...asiwe mbowe, baaasi!.
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wamejipanga kumchagua mwenyekiti mpya bila kujali ukabila, dini, kanda au rangi yake,

bali watamchagua kiongozi mwenye maono, anae jiweza na kujitegemea kijamii, kiuchumi na kisiasa na sio yule anaefadhiliwa na mabwenyenye ya nje au ndani ya nchi 🐒
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hajui kuongeza shughuli za siasa Bali yeye ni mwanaharakati wa kupinga kila kitu

Freeman Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ingawa alianza vizuri, amekuwa kwenye madaraka kwa muda mrefu sana sasa hivi ameishiwa mawazo. Ndiye ameirudisha Nyuma CHADEMA

CHADEMA inahitaji damu mpya
Hapingi kila kitu bana. Huu ni uongo wa wazi.
 
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa wamejipanga kumchagua mwenyekiti mpya bila kujali ukabila, dini, kanda au rangi yake,

bali watamchagua kiongozi mwenye maono, anae jiweza na kujitegemea kijamii, kiuchumi na kisiasa na sio yule anaefadhiliwa na mabwenyenye ya nje au ndani ya nchi 🐒
Hivyo vigezo ulivyoviweka ndivyo vimepitishwa na CHADEMA au ni vyako tu?
 
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.

Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti chadema taifa, ametoa hotuba binafsi akiwa mbele ya wanaomfadhili kwa hali na mali, maana yeye binafsi bila kusaidiwa hususan kiuchumi hajiwezi. Ni mvivu sana wa kazi za kujitaftia kwa nguvu zake mwenyewe.

Licha ya kujaribu kutoa maelekezo kwa lugha ya mapendekezo kwa kamati kuu ya chadema taifa, ambayo yeye ni sehemu yake, kibaraka anajaribu kutoa maelekezo ya uchuguzi wa Chadema ufanyike kama anavyotaka yeye bila kuzingatia, katiba, sheria na kanuni za uchuguzi. Ni muhimu akawapa fursa na nafasi kamati kuu kuandaa mkutano mkuu wa taifa na uchuguzi wa viongoz wa Kitaifa kwa uhuru, ikiwa yeye amejitenga na wengine, kua sehemu ya waandaa uchuguzi huo.

Hotuba ya ya Lisu ni ya kinyonge isivyo kawaida, na huenda kuna vitisho au ishara na mambo ambayo ameyabaini kibaraka huyo na kumfanya awe katika hali ya kukataa tamaa na kua mnyonge na mstaarabu kama alivyoonekana kwenye hotuba yake yenye mchanganyiko wa lawama dhidi ya chama chake mwenyewe, chama Tawala na serikali sikivu ya CCM.

Body language, tone na facial expressions yake, inaakisi wazi kua kuna kitu hakiko sawa au kisicho cha kawaida, mbele na nyuma ya harakati zake za kisiasa na kujikuta hana namna ya kukabiliana na hali hiyo. The puppet is lost.

Katika hotuba yake isiyokua na mvuto wala msisimuko kabisa,
hapakua na jambo lolote muhimu wala jipya la maana hata moja katika hotuba yake nzima. Kibaraka amerudia yale yale tu ambayo hayafanyiki kwenye chama chake na hana mipango wala mikakati ya kurekebisha hali hiyo kwenye chama chake bali kubwekabweka mitaani na kwenye majukwaa ya kisiasa.

Bila aibu,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi analalamikia katiba ya nchi, ili hali ya kua katiba ya chama chake cha chadema ni kiza totoro, imejaa matatizo ambayo, yanamtesa hata yeye mwenyewe, kuelekea uchaguzi wa chadema taifa Jan.22,2025.
No reform No elections ilipaswa kuanzia kwenye katiba ya chadema, kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti Taifa.

Kwa kifupi,
hotuba ya kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi, amethibitisha mwenyewe kwamba chadema imepoteza wananchama na mashabiki wengi kutokana na mifumo isiyo ya haki hususani katika chaguzi.

Kibaraka kuiomba kamati kuu ya chadema Taifa iwaalike viongozi wa dini na mabalozi kuhudhuria mkutano mkuu na uchaguzi, ni jambo ambalo hufanywa miaka yote na chadema, labda kwasababu ya ubinafsi wake na kujitenga na viongozi wenzake, au kasahau au ana mawenge ya mwaka mpya. Jambo hilo la kawaida, halijawahi kuongeza uzito wa uchaguzi kama anavyodhani kibaraka, ispokua labda anataka sifa za kijinga tu.

Kuhusu rushwa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ameonyesha wazi kutokua na nia au mipango mikakati ya kuzuia au kupambana na rushwa kabisa. Mapendekezo ya kibaraka kuhusu rushwa na udanganyifu, hayawezi kutekelezwa na kamati kuu chadema taifa, kwa hotuba au press conference kama hii ya leo na nyinginezo. Upo utaratibu mahususi kwa viongozi wa chadema taifa kujadiliana na kupendekeza mabadiliko muafaka. Hotuba hii ya kibaraka, haiwezi kuishurutisha kamati kuu ya chadema kuacha kuendelea na ratiba zake za maandalizi ya mkutano mkuu na kuzingatia porojo na makelele yasiyofuata utaratibu.

My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ashauriwe kuchochea kuchochea kwanza mabadiliko chadema, kabala ya kupendekeza mabadiliko nje ya chadema. Tengenezeni utaratibu wa ukomo wa uongozi, madaraka na mamlaka kikatiba chadema, ndipo kubwekabweka kwenu nje ya chadema kunaweza kua na maana kwa jamii.

In conclusion,
Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania Oct.2025, utakua huru zaidi, wa wazi na wa haki kupindukia ili kuwapa waTanzania fursa muhimu ya kuchagua na kuamua mustakabali na uelekeo wa nchi na Taifa lao.
Hii ni fursa na nafasi ya pekee sana kwa vyama vya siasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu, kushindanisha sera na mipango yao kwa wananchi na hatimae waTanzania kuamua katika sanduku la kura.

Chama ambacho hakijajiandaa kushiriki uchaguzi huo, au hakina hoja, sera, mipango mikakati au mgombea anaekubalika, hakina sababu au haja ya kutisha waliojiandaa. Wawaache waTanzania waamue mustakabali wa maendeleo yao kwa salama na amani.

Hotuba hii ni maoni na mtazamo binafsi wa kibaraka na sio msimamo wa chadema, iliyo kwenye maandalizi ya mkutano mkuu na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama Taifa.
Infact, mwisho wa makelele na mdomo wa kibaraka inafaa kua Jan.22,2025.
Nawatakia wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uchaguzi mwema.🐒

Mungu Ibarika Tanzania.
Huna akili mwamba
 
Back
Top Bottom