Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

Hivyo vigezo ulivyoviweka ndivyo vimepitishwa na CHADEMA au ni vyako tu?
actually,
maelezo hayo ni katika kumjibu na kumuelewesha muungwana anaewapangia wajumbe wa mkutano mkuu cha kufanya,

Lakini katika hali ya kawaida kabisa,
nilichokieleza ndio utakua utashi na hekima ya wajumbe katika kuamua mustakabali wa uongozi wa chadema 🐒
 
eti akaanza kuniombea na mimi, bila kujua kwamba na mimi ni nabii
Duh,
Wee ni nabii?
Em wacha kunajisi hiyo title bhasi..
nilitaka nitoe sadaka ya 1m nikaahirisha palepale nikaondoka zangu na hela zangu, sipendi dharau mimi
Hahaha,
Dogo, wacha utani, buku 7 za uchawa utazikusanya vipi hadi zifike 1m ?!!
 
Facial expression ilikuwa inaonyesha ni mtu aliyetahayari. Ni kama ana majuto hivi
 
Duh,
Wee ni nabii?
Em wacha kunajisi hiyo title bhasi..

Hahaha,
Dogo, wacha utani, buku 7 za uchawa utazikusanya vipi hadi zifike 1m ?!!
huyo mjamaa unaemuita nabii akaanza kunchonganisha na ndugu na familia yangu,

kwa mfano eti akaanza kuniambia ooh zamani ulikua na girlfriend jina lake linaanza na herufu A, huyo ndie anaezuia mafanikio yako,

mara ooh,
kwenye familia yako kuna mtu ana jina linaanza na herufi J, huyo ndie aliekuroga 🤣

nikajisemea moyoni huyu ni nabii uchwara kabisa nimemkamata uongo dah 🤣

sasa kama mwenye herufi J ni baba yangu mzazi, si ningetoka kanisani na kwenda kumshambulia vibaya sana? sio ugomvi huo kwa familia?

huyo ni nabii wa uongo gentleman 🐒
 
Facial expression ilikuwa inaonyesha ni mtu aliyetahayari. Ni kama ana majuto hivi
huenda wafadhili wake wamemnyima ile 30m ya mchango wa kwaajili ya mkutano mkuu wa chadema Taifa, kama ilivyotakiwa na kamati kuu yake 🐒
 
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.

Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti chadema taifa, ametoa hotuba binafsi akiwa mbele ya wanaomfadhili kwa hali na mali, maana yeye binafsi bila kusaidiwa hususan kiuchumi hajiwezi. Ni mvivu sana wa kazi za kujitaftia kwa nguvu zake mwenyewe.

Licha ya kujaribu kutoa maelekezo kwa lugha ya mapendekezo kwa kamati kuu ya chadema taifa, ambayo yeye ni sehemu yake, kibaraka anajaribu kutoa maelekezo ya uchuguzi wa Chadema ufanyike kama anavyotaka yeye bila kuzingatia, katiba, sheria na kanuni za uchuguzi. Ni muhimu akawapa fursa na nafasi kamati kuu kuandaa mkutano mkuu wa taifa na uchuguzi wa viongoz wa Kitaifa kwa uhuru, ikiwa yeye amejitenga na wengine, kua sehemu ya waandaa uchuguzi huo.

Hotuba ya ya Lisu ni ya kinyonge isivyo kawaida, na huenda kuna vitisho au ishara na mambo ambayo ameyabaini kibaraka huyo na kumfanya awe katika hali ya kukataa tamaa na kua mnyonge na mstaarabu kama alivyoonekana kwenye hotuba yake yenye mchanganyiko wa lawama dhidi ya chama chake mwenyewe, chama Tawala na serikali sikivu ya CCM.

Body language, tone na facial expressions yake, inaakisi wazi kua kuna kitu hakiko sawa au kisicho cha kawaida, mbele na nyuma ya harakati zake za kisiasa na kujikuta hana namna ya kukabiliana na hali hiyo. The puppet is lost.

Katika hotuba yake isiyokua na mvuto wala msisimuko kabisa,
hapakua na jambo lolote muhimu wala jipya la maana hata moja katika hotuba yake nzima. Kibaraka amerudia yale yale tu ambayo hayafanyiki kwenye chama chake na hana mipango wala mikakati ya kurekebisha hali hiyo kwenye chama chake bali kubwekabweka mitaani na kwenye majukwaa ya kisiasa.

Bila aibu,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi analalamikia katiba ya nchi, ili hali ya kua katiba ya chama chake cha chadema ni kiza totoro, imejaa matatizo ambayo, yanamtesa hata yeye mwenyewe, kuelekea uchaguzi wa chadema taifa Jan.22,2025.
No reform No elections ilipaswa kuanzia kwenye katiba ya chadema, kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti Taifa.

Kwa kifupi,
hotuba ya kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi, amethibitisha mwenyewe kwamba chadema imepoteza wananchama na mashabiki wengi kutokana na mifumo isiyo ya haki hususani katika chaguzi.

Kibaraka kuiomba kamati kuu ya chadema Taifa iwaalike viongozi wa dini na mabalozi kuhudhuria mkutano mkuu na uchaguzi, ni jambo ambalo hufanywa miaka yote na chadema, labda kwasababu ya ubinafsi wake na kujitenga na viongozi wenzake, au kasahau au ana mawenge ya mwaka mpya. Jambo hilo la kawaida, halijawahi kuongeza uzito wa uchaguzi kama anavyodhani kibaraka, ispokua labda anataka sifa za kijinga tu.

Kuhusu rushwa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ameonyesha wazi kutokua na nia au mipango mikakati ya kuzuia au kupambana na rushwa kabisa. Mapendekezo ya kibaraka kuhusu rushwa na udanganyifu, hayawezi kutekelezwa na kamati kuu chadema taifa, kwa hotuba au press conference kama hii ya leo na nyinginezo. Upo utaratibu mahususi kwa viongozi wa chadema taifa kujadiliana na kupendekeza mabadiliko muafaka. Hotuba hii ya kibaraka, haiwezi kuishurutisha kamati kuu ya chadema kuacha kuendelea na ratiba zake za maandalizi ya mkutano mkuu na kuzingatia porojo na makelele yasiyofuata utaratibu.

My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ashauriwe kuchochea kuchochea kwanza mabadiliko chadema, kabala ya kupendekeza mabadiliko nje ya chadema. Tengenezeni utaratibu wa ukomo wa uongozi, madaraka na mamlaka kikatiba chadema, ndipo kubwekabweka kwenu nje ya chadema kunaweza kua na maana kwa jamii.

In conclusion,
Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania Oct.2025, utakua huru zaidi, wa wazi na wa haki kupindukia ili kuwapa waTanzania fursa muhimu ya kuchagua na kuamua mustakabali na uelekeo wa nchi na Taifa lao.
Hii ni fursa na nafasi ya pekee sana kwa vyama vya siasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu, kushindanisha sera na mipango yao kwa wananchi na hatimae waTanzania kuamua katika sanduku la kura.

Chama ambacho hakijajiandaa kushiriki uchaguzi huo, au hakina hoja, sera, mipango mikakati au mgombea anaekubalika, hakina sababu au haja ya kutisha waliojiandaa. Wawaache waTanzania waamue mustakabali wa maendeleo yao kwa salama na amani.

Hotuba hii ni maoni na mtazamo binafsi wa kibaraka na sio msimamo wa chadema, iliyo kwenye maandalizi ya mkutano mkuu na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama Taifa.
Infact, mwisho wa makelele na mdomo wa kibaraka inafaa kua Jan.22,2025.
Nawatakia wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uchaguzi mwema.🐒

Mungu Ibarika Tanzania.
Maneno meeeeengi lakini kwa kifupi tu nathubutu kusema ni upuuzi mtupu. Uchaguzi ni wa CDM, hofu ni ya nini sasa.

Matokeo ya Mkutano Mkuu ndiyo yataleta jibu juu ya yule ambaye ataibuka mshindi. Wajumbe wa mkutano huu kwa wingi wa kura kwa yule ambaye wataona kuwa ndiye sahihi ndiyo ambao watatoa jibu.

Ni jambo la kawaida kwa wagombea kujinadi ili kuuza sera zao. Kwa ni jambo la kawaida katika mfumo wa kidemokrasia pale wagombea wanapokuwa na watu wanaowaunga ama kutowaunga mkono.

Sasa wewe hizo lugha zako zisizokuwa na staha za kumuita mgombea kibaraka wa mabwanyenye, mara sijui hana sifa hiii ama ile, siju mantiki yake hasa ni nini!?

Iache demokrasia ndani ya CDM ichukue mkondo wake. Ni lazima mafahari wawili wawili ili mmoja aje atawale boma. Hakuna ubabaishaji wa kutoa fomu moja ili kuficha madhaifu ya yule aliyepo madarakani.
 
kibaraka anapaswa kujiepusha na kutoa maelekezo kwa kamati kuu juu ya nani aalikwe kwenye uchaguzi huo na uchaguzi uendeshwaje.

katiba iko wazi kwenye mambo hayo gentleman, kwanini kibaraka anaweweseka tena akiwa anatoa hotuba mbele ya mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili ambayo sio wajumbe wa mkutano mkuu na wala sio wapiga kura.

Ni muhimu pia kibaraka akaepuka kulaumu juu ya masuala ya ukomo wa uongozi na madaraka kwenye chama chake kanakwamba ni anasa, hali ya kua nae alikuepo wakati wanabariki utaratibu huo.

Kama anaona ni muafaka kubadili utaratibu huo, si awasilishe mapendekezo kupitia mfumo wa kichama? Kubwekabweke nje ya mfumo kanakwamba umefinywa mahali.

Demokrasia ni pamoja na kuheshimu utaratibu na sheria sio kupayuka payuka tu 🐒
 
Ni wazi muungwana ameenda kuomba milioni 30 alizotakiwa kuchangia na kamati kuu, kama sehemu ya gharama za mkutano mkuu wa chadema taifa na uchuguzi wa Chadema ngazi ya taifa. Hata hivyo ni kama vile hana uhakika wa kuipata.

Ieleweke bayana kwamba, mgombea huyu mbinafsi sana wa uenyekiti chadema taifa, ametoa hotuba binafsi akiwa mbele ya wanaomfadhili kwa hali na mali, maana yeye binafsi bila kusaidiwa hususan kiuchumi hajiwezi. Ni mvivu sana wa kazi za kujitaftia kwa nguvu zake mwenyewe.

Licha ya kujaribu kutoa maelekezo kwa lugha ya mapendekezo kwa kamati kuu ya chadema taifa, ambayo yeye ni sehemu yake, kibaraka anajaribu kutoa maelekezo ya uchuguzi wa Chadema ufanyike kama anavyotaka yeye bila kuzingatia, katiba, sheria na kanuni za uchuguzi. Ni muhimu akawapa fursa na nafasi kamati kuu kuandaa mkutano mkuu wa taifa na uchuguzi wa viongoz wa Kitaifa kwa uhuru, ikiwa yeye amejitenga na wengine, kua sehemu ya waandaa uchuguzi huo.

Hotuba ya ya Lisu ni ya kinyonge isivyo kawaida, na huenda kuna vitisho au ishara na mambo ambayo ameyabaini kibaraka huyo na kumfanya awe katika hali ya kukataa tamaa na kua mnyonge na mstaarabu kama alivyoonekana kwenye hotuba yake yenye mchanganyiko wa lawama dhidi ya chama chake mwenyewe, chama Tawala na serikali sikivu ya CCM.

Body language, tone na facial expressions yake, inaakisi wazi kua kuna kitu hakiko sawa au kisicho cha kawaida, mbele na nyuma ya harakati zake za kisiasa na kujikuta hana namna ya kukabiliana na hali hiyo. The puppet is lost.

Katika hotuba yake isiyokua na mvuto wala msisimuko kabisa,
hapakua na jambo lolote muhimu wala jipya la maana hata moja katika hotuba yake nzima. Kibaraka amerudia yale yale tu ambayo hayafanyiki kwenye chama chake na hana mipango wala mikakati ya kurekebisha hali hiyo kwenye chama chake bali kubwekabweka mitaani na kwenye majukwaa ya kisiasa.

Bila aibu,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi analalamikia katiba ya nchi, ili hali ya kua katiba ya chama chake cha chadema ni kiza totoro, imejaa matatizo ambayo, yanamtesa hata yeye mwenyewe, kuelekea uchaguzi wa chadema taifa Jan.22,2025.
No reform No elections ilipaswa kuanzia kwenye katiba ya chadema, kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti Taifa.

Kwa kifupi,
hotuba ya kibaraka wa mabwenyenye wa magharibi, amethibitisha mwenyewe kwamba chadema imepoteza wananchama na mashabiki wengi kutokana na mifumo isiyo ya haki hususani katika chaguzi.

Kibaraka kuiomba kamati kuu ya chadema Taifa iwaalike viongozi wa dini na mabalozi kuhudhuria mkutano mkuu na uchaguzi, ni jambo ambalo hufanywa miaka yote na chadema, labda kwasababu ya ubinafsi wake na kujitenga na viongozi wenzake, au kasahau au ana mawenge ya mwaka mpya. Jambo hilo la kawaida, halijawahi kuongeza uzito wa uchaguzi kama anavyodhani kibaraka, ispokua labda anataka sifa za kijinga tu.

Kuhusu rushwa,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ameonyesha wazi kutokua na nia au mipango mikakati ya kuzuia au kupambana na rushwa kabisa. Mapendekezo ya kibaraka kuhusu rushwa na udanganyifu, hayawezi kutekelezwa na kamati kuu chadema taifa, kwa hotuba au press conference kama hii ya leo na nyinginezo. Upo utaratibu mahususi kwa viongozi wa chadema taifa kujadiliana na kupendekeza mabadiliko muafaka. Hotuba hii ya kibaraka, haiwezi kuishurutisha kamati kuu ya chadema kuacha kuendelea na ratiba zake za maandalizi ya mkutano mkuu na kuzingatia porojo na makelele yasiyofuata utaratibu.

My friends, ladies and gentleman,
Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ashauriwe kuchochea kuchochea kwanza mabadiliko chadema, kabala ya kupendekeza mabadiliko nje ya chadema. Tengenezeni utaratibu wa ukomo wa uongozi, madaraka na mamlaka kikatiba chadema, ndipo kubwekabweka kwenu nje ya chadema kunaweza kua na maana kwa jamii.

In conclusion,
Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania Oct.2025, utakua huru zaidi, wa wazi na wa haki kupindukia ili kuwapa waTanzania fursa muhimu ya kuchagua na kuamua mustakabali na uelekeo wa nchi na Taifa lao.
Hii ni fursa na nafasi ya pekee sana kwa vyama vya siasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu, kushindanisha sera na mipango yao kwa wananchi na hatimae waTanzania kuamua katika sanduku la kura.

Chama ambacho hakijajiandaa kushiriki uchaguzi huo, au hakina hoja, sera, mipango mikakati au mgombea anaekubalika, hakina sababu au haja ya kutisha waliojiandaa. Wawaache waTanzania waamue mustakabali wa maendeleo yao kwa salama na amani.

Hotuba hii ni maoni na mtazamo binafsi wa kibaraka na sio msimamo wa chadema, iliyo kwenye maandalizi ya mkutano mkuu na uchaguzi wa mwenyekiti wa chama Taifa.
Infact, mwisho wa makelele na mdomo wa kibaraka inafaa kua Jan.22,2025.
Nawatakia wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa uchaguzi mwema.🐒

Mungu Ibarika Tanzania.
Kiukweli hata mimi jana nilimuonea huruma wakati anatoa press yake. Na hata wafuasi wake humu inaoneka press ya jana imewakatisha tamaa sana, ndio maana haikushadidiwa sana na chawa wake. Na hili tuliwaambia kuongea kwingi kuna madhara. Sasa hivi kaishaongea kila kitu, wakati Mbowe tangu atangaze kugombea tena hajasema chochote. Anasubiri wakati sahihi!
 
hivi huyo mjamaa ni nabii au mfarakanishi na mchonganishi? :pedroP:

siku nyingine rafiki yangu amenikaribisha dar es salaam,
akanialika kwenda kuabudu kwa huyo kijana maeneo ya hapo mbezi katikati kuelekea tegeta.

sasa,
eti akaanza kuniombea na mimi, bila kujua kwamba na mimi ni nabii:pedroP:

akaniambia eti mimi ninaonekana kwa muonekano tu ni mtu mwenye pesa mingi lakini pale nilipoeti sina hata kumi mbovu:pedroP:

nilitaka nitoe sadaka ya 1m nikaahirisha palepale nikaondoka zangu na hela zangu, sipendi dharau mimi:pulpTRAVOLTA:
Genlomen niwekee luteni mkuu wangu
 
Kwani mwenyekiti kazi yake ni kutoa hela yake au kuandaa mazingira ya Chama kujitegemea na kujiendesha chenyewe???
hizo zote ni kazi na majukumu ya mwenyekiti gentleman,

ni mtu wa kuonyesha njia kwa maneno na vitendo,
ni mtu wa kujitolea kwa hali na mali, ama kujitolea sio jukumu lake? :pedroP:
 
Na hiyo ndo point kubwa 21yrs madarakani ametosha awaachie wengine
gentleman,
kwani ni chuchu ya kunyonya hiyo ndio aachiwe mwingine bila utaratibu?

si kila mawanachama wa chadema anaruhusiwa kugombea kwa huru bila mawenge au kuweweseka na wagombea wengine?:pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom