Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

Hivyo vigezo ulivyoviweka ndivyo vimepitishwa na CHADEMA au ni vyako tu?
actually,
maelezo hayo ni katika kumjibu na kumuelewesha muungwana anaewapangia wajumbe wa mkutano mkuu cha kufanya,

Lakini katika hali ya kawaida kabisa,
nilichokieleza ndio utakua utashi na hekima ya wajumbe katika kuamua mustakabali wa uongozi wa chadema 🐒
 
eti akaanza kuniombea na mimi, bila kujua kwamba na mimi ni nabii
Duh,
Wee ni nabii?
Em wacha kunajisi hiyo title bhasi..
nilitaka nitoe sadaka ya 1m nikaahirisha palepale nikaondoka zangu na hela zangu, sipendi dharau mimi
Hahaha,
Dogo, wacha utani, buku 7 za uchawa utazikusanya vipi hadi zifike 1m ?!!
 
Facial expression ilikuwa inaonyesha ni mtu aliyetahayari. Ni kama ana majuto hivi
 
Duh,
Wee ni nabii?
Em wacha kunajisi hiyo title bhasi..

Hahaha,
Dogo, wacha utani, buku 7 za uchawa utazikusanya vipi hadi zifike 1m ?!!
huyo mjamaa unaemuita nabii akaanza kunchonganisha na ndugu na familia yangu,

kwa mfano eti akaanza kuniambia ooh zamani ulikua na girlfriend jina lake linaanza na herufu A, huyo ndie anaezuia mafanikio yako,

mara ooh,
kwenye familia yako kuna mtu ana jina linaanza na herufi J, huyo ndie aliekuroga 🤣

nikajisemea moyoni huyu ni nabii uchwara kabisa nimemkamata uongo dah 🤣

sasa kama mwenye herufi J ni baba yangu mzazi, si ningetoka kanisani na kwenda kumshambulia vibaya sana? sio ugomvi huo kwa familia?

huyo ni nabii wa uongo gentleman 🐒
 
Facial expression ilikuwa inaonyesha ni mtu aliyetahayari. Ni kama ana majuto hivi
huenda wafadhili wake wamemnyima ile 30m ya mchango wa kwaajili ya mkutano mkuu wa chadema Taifa, kama ilivyotakiwa na kamati kuu yake 🐒
 
Maneno meeeeengi lakini kwa kifupi tu nathubutu kusema ni upuuzi mtupu. Uchaguzi ni wa CDM, hofu ni ya nini sasa.

Matokeo ya Mkutano Mkuu ndiyo yataleta jibu juu ya yule ambaye ataibuka mshindi. Wajumbe wa mkutano huu kwa wingi wa kura kwa yule ambaye wataona kuwa ndiye sahihi ndiyo ambao watatoa jibu.

Ni jambo la kawaida kwa wagombea kujinadi ili kuuza sera zao. Kwa ni jambo la kawaida katika mfumo wa kidemokrasia pale wagombea wanapokuwa na watu wanaowaunga ama kutowaunga mkono.

Sasa wewe hizo lugha zako zisizokuwa na staha za kumuita mgombea kibaraka wa mabwanyenye, mara sijui hana sifa hiii ama ile, siju mantiki yake hasa ni nini!?

Iache demokrasia ndani ya CDM ichukue mkondo wake. Ni lazima mafahari wawili wawili ili mmoja aje atawale boma. Hakuna ubabaishaji wa kutoa fomu moja ili kuficha madhaifu ya yule aliyepo madarakani.
 
actually,
kibaraka anapaswa kujiepusha na kutoa maelekezo kwa kamati kuu juu ya nani aalikwe kwenye uchaguzi huo na uchaguzi uendeshwaje.

katiba iko wazi kwenye mambo hayo gentleman, kwanini kibaraka anaweweseka tena akiwa anatoa hotuba mbele ya mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili ambayo sio wajumbe wa mkutano mkuu na wala sio wapiga kura.

Ni muhimu pia kibaraka akaepuka kulaumu juu ya masuala ya ukomo wa uongozi na madaraka kwenye chama chake kanakwamba ni anasa, hali ya kua nae alikuepo wakati wanabariki utaratibu huo.

Kama anaona ni muafaka kubadili utaratibu huo, si awasilishe mapendekezo kupitia mfumo wa kichama? Kubwekabweke nje ya mfumo kanakwamba umefinywa mahali.

Demokrasia ni pamoja na kuheshimu utaratibu na sheria sio kupayuka payuka tu 🐒
 
Kiukweli hata mimi jana nilimuonea huruma wakati anatoa press yake. Na hata wafuasi wake humu inaoneka press ya jana imewakatisha tamaa sana, ndio maana haikushadidiwa sana na chawa wake. Na hili tuliwaambia kuongea kwingi kuna madhara. Sasa hivi kaishaongea kila kitu, wakati Mbowe tangu atangaze kugombea tena hajasema chochote. Anasubiri wakati sahihi!
 
Genlomen niwekee luteni mkuu wangu
 
Kwani mwenyekiti kazi yake ni kutoa hela yake au kuandaa mazingira ya Chama kujitegemea na kujiendesha chenyewe???
hizo zote ni kazi na majukumu ya mwenyekiti gentleman,

ni mtu wa kuonyesha njia kwa maneno na vitendo,
ni mtu wa kujitolea kwa hali na mali, ama kujitolea sio jukumu lake?
 
Na hiyo ndo point kubwa 21yrs madarakani ametosha awaachie wengine
gentleman,
kwani ni chuchu ya kunyonya hiyo ndio aachiwe mwingine bila utaratibu?

si kila mawanachama wa chadema anaruhusiwa kugombea kwa huru bila mawenge au kuweweseka na wagombea wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…