NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nayeye alidanganywa,hata makamo wake ambae ni Rais wa sasa pia alisema Rais ni mzima na anachapa kazi.Umesahau waziri mkuu alidanganya taifa kuwa marehemu dikiteta magufuli tu bukheri na afya njema, kumbe tayari alikuwa keshang'ata shuka?
Mbona kwenye utawala wa Magufuri Wapinzani wengi walipewa vyeo,hapo kuna jipya lipi?labda sema kwa Magufuri mlikuwa mnasema wananunuliwa hiyo ndio tofauti,ila hata enzi za Magufuri Wapinzani wameteuliwa.Hahahaha... Umeshageuka mara hii???
Wapinzani hawacheleweshi tena maendeleo?
Nilisema ni suala la muda tu mutamkana Jiwe na siasa zake. Hata miezi 2 haijaisha Umeshamgeuka Mwendazake.
Mambo yatajirudia - maana akisha wachagua, Wataunga juhudi (Prof Mkumbo, mama Anna Mgw..) hivyo Msifurahi mwanzoni. Wote ni kuuma! Magufuli aliuma kwa kubana na meno, Samia anaumwa halafu analegeza meno (anaachia) huku akivuvia! Mwisho wa siku upinzani unabaki skeleton - mifupa mitupu.Wahamiaji wa kununuliwa hakuna tena maana akiwahitaji atawatafuta maenyewe.
Wewe kweli ni Mataga.Jiwe tumemkanaje?
Slaa, Mgwira, Kitila, Mtatiro, Kafulila wote hao waliteuliwa na jiwe enzi zake..
Wapinzani gani walipewa vyeo?Mbona kwenye utawala wa Magufuri Wapinzani wengi walipewa vyeo,hapo kuna jipya lipi?labda sema kwa Magufuri mlikuwa mnasema wananunuliwa hiyo ndio tofauti,ila hata enzi za Magufuri Wapinzani wameteuliwa.
Utabiri Wa yule mchungaji unatimia.Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Umeshageuka tena!Leo unapata tabu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuona Lisu akiteuliwa kutekeleza sera za ccm utake usitake.
Basi inawezakana lissu naye alidanganywa na hao waongo waliomdanganya kassim na suluhu.Nayeye alidanganywa,hata makamo wake ambae ni Rais wa sasa pia alisema Rais ni mzima na anachapa kazi.
Sikia ww, swali specific unamfuata mtu inbox, ukimuuliza hapa ni la wote na yoyote. Hakuna mtu anajibu kwa utaratibu wako uutakao, maana humu ni kwenye social media. Huku ni kama uwanja wa wrestling, unapigwa ngumi, mateke, na viti, hata walioko nje ya ulingo usishangae wapo ulingoni. Kama hujui hilo basi hiyo ndio social media.Swali lilikuwa specific kwa BAK na nilikiwa na sababu kumuuliza yeye ila wewe uliamua kuvaa viatu vyake..... hukunijibu ila ukazunguka zunguka weeeee kisha ukaja na hoja za kuniuliza mm ni nani JF🤣
I second you!Haahaa lissu apewe uwanasheria mkuu wa serikali...
Weka ushahidi hapa
Kwanini usiweke ushahidi hapa kama kuna mtu aliagiza hayo?Taja aliyeagiza polisi wanaolinda getini wasiwepo siku ya shambulizi. Ukijua aliyeagiza hilo umefunga ushahidi.
Sijaunga juhudi ila nasema hivi,ni heri Zimwi ulijualo (CCM ASILIA) kuliko lile Zimwi la (WACHUNGA NG'OMBE) ambalo lilitaka Kutumeza na kututeketezaMaendeleo hayana vyama. Au unajifanya hukusikia kwa sababu usemi ulisemwa na marehemu Magufuli. Duh sasa kamanda unaunga juhudi hivi hivi? Unachekesha.
Akiteuliwa hawi tena kibaraka maana mienendo yake inakuwa chini ya usimamizi mkaliUmeshageuka tena!
Lisu si ni kibaraka wa mabeberu?
Cha ajabu Kesho Mama akimteua Lisu utakuja hapa kupiga makofi na kumpongeza kwa kuteua.
Yaani Mataga akili zenu sometimes mnazielewaga wenyewe.
Usiwe na hasira za kijinga!Wewe kweli ni Mataga.
Slaa,Mtatiro na Kafulila wakati wanateuliwa walikuwa wapinzani? Si walishaunga mkono juhudi ndio wakakutana na uteuzi huko mbele wakiwa CCM tayari!!
Yaani hata mambo ya chama chako mwenyewe huyajui!!!
Polisi wanapewa maagizo na nani? Hivi ww unadhani watu ni watoto wa hivyo? Ni hivi, hilo hata udhikiri ,uchi huwezi kubadili ukweli uliopo. Ww baki ukidai ushahidi, wakati wachunguzi ndio sehemu ya huo uhalifu.Kwanini usiweke ushahidi hapa kama kuna mtu aliagiza hayo?