Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Kama ilani inatekekezwa kwa interest za nchi na wananchi wake nadhani hapo hakuna shida.
Utekelezaji wa ilani huwa siyo shida, bali ni upande wa upanzani kutokukubali hilo na kuwaita wenzao walioteuliwa kuwa ni "wasaliti."
 
DAWA ya Corona imepatikana .
Ni Sura ndani ya qurani.sura ya 55
 
Mbona sabaya afai kuwa kiongozi Lakini mwandazake alimteuwa tukatulia tu utabidi utulie tu ikikuuma sana nenda kalilie kaburini
 
Utekelezaji wa ilani huwa siyo shida, bali ni upande wa upanzani kutokukubali hilo na kuwaita wenzao walioteuliwa kuwa ni "wasaliti."
Basi Kama Ni hivyo wapinzani wa nchi hii Wana shida.
 
Kwaiyo mbowe anaweza pata teuzi asaidie kutekeleza ilani ya ccm? Hii dunia anything is possible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…