Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

Wewe K.. Magufuli aliku.f.ir.a nini kabla hajafa!?.. kila post unamuwaza yeye. Punguza jazba kuna maisha baada ya JPM. Samehe na kusahau ma.rinda yatarudi tu. hayupo tena duniani.
Mlifirwatwote wote bila shaka yeye bado hajamsamehe kama upande wako marinda yalirudi ni haki yako kusahau na kusamehe adha ya kifiro ulichokuwa unakipata.
 
Uzi uko page ya 12 bado unavamiwa? Ungekuwa na post mbili ungesemaje?
Swali lilikuwa specific kwa BAK na nilikiwa na sababu kumuuliza yeye ila wewe uliamua kuvaa viatu vyake..... hukunijibu ila ukazunguka zunguka weeeee kisha ukaja na hoja za kuniuliza mm ni nani JF🤣
 
Erythrocyte, rafiki yangu, nilipoyasikia tu maneno ya mama nikakuwaza wewe kuhusu hizo fursa alizotangaza.

Mama kweli "anafungua nchi"!

Hapa kweli CHADEMA bado 'ITASAVAIVU'? Mtego wa panya unanasa kila takataka!

------------
Ni jambo jema sana kuunganisha nchi, lakini kweli kuteua watu ndiyo njia ya kuwaunganisha?

Huko CCM hakuna kabisa watu wanaofaa kusimamia sera za chama chao, hadi atafute nje ya chama?

Hawa watakaoingizwa serikalini wakitokea vyama vingine, bado watakuwa wanasimamia sera za vyama vyao, au itawalazimu sasa wawe watu wa CCM?

Ni wazi sasa, mama hakuwa ndani ya CCM kifikra, alikuwa huko kiwiliwili tu!

Na CCM wenyewe sasa watasemaje juu ya hili. Yule mtangulizi wake aliogopwa kwa kutumia mabavu, kwamba hakuna aliyeweza kunyanyua kidole kuhoji chochote, je mama yeye atatumia mbinu gani waCCM wasihoji?
 
Wacha kujibaraguza ukweli mnaumia sana kuona mama anaiondoa nchi kwenye genge hatari na kuirudisha kwenye mikono salama
Sasa hapa unapinga au unakubali?

Maana tukisema tumuunge mkono mama yetu kwa nia yake ya kutaka kuwapa kazi wapinzani unakuja na vijimaneno vya hovyo
 
Tumedhamilia kuwahamisha mataga wrote na kundi lenu la sukuma gang mrudi kwenu rwanda na burundi mliko zoea machafuko.

Muda wenu umekwisha maana baba yenu hayupo tena duniani.
Wewe hapa tupo tz! Na hao sukuma gang tunasubiri waje wawapelekee bavicha moto hiyo 2025 kwenye uchaguzi mkuu ndio warudi kwao.

Kikubwa kwa sasa kina lema wajiandae kula teuzi
 
Na hapo bado mama Samia atawapiga pini hadi mtatamani dunia ipasuke shenzi
Atawapiga pin nani sasa kina Lisu?

Sisi ccm tumeahidi kuwapa wenzetu wa upinzani teuzi maana njaa inawauma sana
 
Sasa hapa unapinga au unakubali?

Maana tukisema tumuunge mkono mama yetu kwa nia yake ya kutaka kuwapa kazi wapinzani unakuja na vijimaneno vya hovyo
lissu arudi apate kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
 
Yawezekana haujui kirefu cha MATAGA

MAke TAnzania Great Again (MATAGA).

SASA soma maelezo ya Mama hapa chini

Upo?
Hahahaha yaani mimi nisijue nini vile? Hebu rudia? Hivi unajua hata origin ya huu msemo wapi ulitoka? Then nyie mboga mboga mkauiba kama kawaida yenu?
 
Niliona mitandaoni ameanza kazi wiki hii katika kituo cha redio, na mtu wa kwanza kumuhoji alikuwa mwenyekiti wa CDM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Lisu kawa mtangazaji?

Jamani mama muonee huruma
 
Kabisa Mkuu kainusuru sana nchi yetu kwani hofu ilikuwa imetanda nchi nzima sasa furaha na matumaini vinarudi taratibu.
Ila Mama akiweza kuondoa at least 50% regime ya mwendazake itapendeza sana
 
Kha...mbona hii ni habari isiyo habari Labda amemaanisha "ataendelea" kuteua Watanzania bila kujali itikadi zao. Binafsi ningependa kuona minority wanaingizwa katika utumishi.
 
Hahahaha yaani mimi nisijue nini vile? Hebu rudia? Hivi unajua hata origin ya huu msemo wapi ulitoka? Then nyie mboga mboga mkauiba kama kawaida yenu?
Halafu hizi JF ID za 2009 kurudi nyuma huwa nazichukulia kwa uzito mkubwa, ujue hili Mkuu.
 
Kha...mbona hii ni habari isiyo habari Labda amemaanisha "ataendelea" kuteua Watanzania bila kujali itikadi zao. Binafsi ningependa kuona minority wanaingizwa katika utumishi.
Mkuu, kwa hapa Tanzania na kwa mazingira ya nchi yetu kwa sasa; je, hao minority ni akina nani ama ni makundi gani ndani ya jamii yetu ya kitanzania?
 
Back
Top Bottom