NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Nasema hivi akuna mgate mgumu mbule ya,,,,,,,!Hawezi mzidi wa Sasa, huyu aliyebariki kuapisha covid-19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema hivi akuna mgate mgumu mbule ya,,,,,,,!Hawezi mzidi wa Sasa, huyu aliyebariki kuapisha covid-19
Mama ndio mwenyekiti wa CCM na wamempitisha kwa 100% .kauli ya mwenyekiti ina nguvuErythrocyte, rafiki yangu, nilipoyasikia tu maneno ya mama nikakuwaza wewe kuhusu hizo fursa alizotangaza.
Mama kweli "anafungua nchi"!
Hapa kweli CHADEMA bado 'ITASAVAIVU'? Mtego wa panya unanasa kila takataka!
------------
Ni jambo jema sana kuunganisha nchi, lakini kweli kuteua watu ndiyo njia ya kuwaunganisha?
Huko CCM hakuna kabisa watu wanaofaa kusimamia sera za chama chao, hadi atafute nje ya chama?
Hawa watakaoingizwa serikalini wakitokea vyama vingine, bado watakuwa wanasimamia sera za vyama vyao, au itawalazimu sasa wawe watu wa CCM?
Ni wazi sasa, mama hakuwa ndani ya CCM kifikra, alikuwa huko kiwiliwili tu!
Na CCM wenyewe sasa watasemaje juu ya hili. Yule mtangulizi wake aliogopwa kwa kutumia mabavu, kwamba hakuna aliyeweza kunyanyua kidole kuhoji chochote, je mama yeye atatumia mbinu gani waCCM wasihoji?
huyu wampe awe baloz hukohuko ubelgiji.nadhani itapendeza.Lissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati
Unachoma mbele na nyumaBwashee umekuwa Sigara kali
Hapo ni shida,sio japo rahisi mkuu.mwiji,mkapa,kikwete,jpm,wote walisita kufanya hivyo,hili Jambo sio rahisi ,ni uwe tayari kubeba eidha lawama au sifa,na pia uwe tayari kukabiliana na lolote litakalojili baada ya uamuzi.ngoja tuone!Tunakoelekea Mama ataipatia Tanzania Katiba Mpya. Trust Me
Mataga wameanza kukojoa dagaaMataga ntaambia nini watu mimi
Wahutu rudini kwenu rwanda maana hakuna wa kuwafadhiliMwambie Msigwa asiendelee kupiga miayo kule facebook tena!
Soon tunampa uteuzi
Lakini mbatia hakuwahi kuhamia CCMHata mkwere alimteua mbatia ubunge
Umeona ee ndege wangu.Huyu ndio raisi
Wahutu rudini kwenu maana zama zenu zimekwishaKwahiyo mamawia, babati na wengineo wanaodemka hapa ni mamluki?
Hapo labda Zitto akatokea kwenye PDF la grayson msigwaHaahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Kabisa!Sioni jipya hapa.
JPM aliwateua akina Kitila Mkumbo, David Kafulila,Wilbroad Slaa, Julius Mtatiro na Anna Mghwila wakiwa upinzani ! Issue ni kuwa ukishateuliwa inabidi ukubali kutekeleza ilani ya CCM, na hapo ndipo ulipo ugumu kwa vyama vya upinzani; ni ugumu huo unaowalizimisha wateule kuhama vyama baada ya kuteuliwa.
Mataga na waramba miguu lazima mjitie kitanzi kwa aibuwanashangilia!!!!!!
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania
Jidanganyeni tu munakuwa kama wageni na hawa CCM? EeeHaahaa mama oyee, Zitto, Lissu na Mbowe wajiandae kupewa vyeo. Akiwapa kina halima sitamwelewa
Why not, na znz wanataka mamlaka kamili.Tunakoelekea Mama ataipatia Tanzania Katiba Mpya. Trust Me
Mataga. Hili unapinga au unasapoti?Lissu sasa arudi aje apewe kakazi kama akivyoahidiwa na hayati