kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Nyakati hizo baada ya mishuhuliko yangu jioni natulia kwenye TV kumsikiliza JPM, nilipenda Yale maamuzi yake ya chapchap. Hakika tumempoteza mtu muhimu, RIP baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli kimawazo na kimatendo alikuwa mbali sana na Watz wengi. Wengi hawakumuelewa.Asalaam Aleykum wana JF.
Nawapenda sana.
Nadondoka kwenye mada moja kwa moja.
Kulingana na utafiti mfupi nilioufanya, nimegundua kwamba Hotuba na ziara za Hayati JPM zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Watanzania wengi sana. Hii ni tofauti ukija kwa Hotuba na ziara za mrithi wake ambaye anaonekana kutokuwa na mvuto kwa Watanzania wengi hasa hasa kwa wanawake na vijana!
Unaweza kushuhudia hili kupitia kwa maongezi ya Watanzania wengi ambao walionekana kumwelewa zaidi Hayati kutokana na jinsi alivyokuwa anaonekana kuguswa na changamoto zinazowakabili hasa hasa Watanzania wa hali ya chini (aka wanyonge).
Huyu wa sasa hana mvuto kwa wengi kutokana na ile hali ya kuwajali zaidi matajiri na wale wa tabaka la juu kuliko maskini.
Fuatilia mitandao ya kijamii, Instagram, YouTube, Facebook n.k, utaona hata idadi ya watazamaji/wafiatiliaji (viewers) kwa hotuba za mama, ziko chini sana kulinganisha na zile za mtangulizi wake.
Naomba kuweka ushahidi hapa chini (angalia idadi ya "viewers").
Na kweli kazi zake zinaonekana Mkuu. Hata kama Watanzania wote tukimsaliti, kazi zake zitamtetea milele.Magufuli kimawazo na kimatendo alikuwa mbali sana na Watz wengi. Wengi hawakumuelewa.
Alitaka vitu vikubwa ambavyo watu wanaopenda vitu vya kawaida hawawezi, hawataki na hawa imagine.
Aliamini vitu vinawezekana. Hakutaka uzembe.
Na kweli kazi zake zinaonekana Mkuu. Hata kama Watanzania wote tukimsaliti, kazi zake zitamtetea milele.
Tulikuwa na rais kinyesi sana
Nyakazilikuwa na baada ya mishuhuliko yangu jioni natulia kwenye TV kumsikiliza JPM, nilipenda Yale maamuzi yake ya chapchap. Hakika tumempoteza mtu muhimu, RIP baba.
Hao ni majuha kabisa. Rais Wawa nyonge wakati vyuma kukaza iliibuka kipindi chake . Tatizo watanzania Wana ujinga na usahaulifu uliokomaaKwamba hadi leo anawalazimisha akiwa kaburini?! Maana kuna baadhi ya sehemu ukipita ni kawaida kukuta watu wanasikiliza hotuba za Hayati tena kwa utulivu wa hali ya juu. Ukiwauliza kwa nini, wanakwambia Hotuba za Hayati zilikuwa na mvuto sana kwa sababu alikuwa sauti ya wanyonge!
Mkuu achana na hawa wajinga Wana usahaulifu na ujinga uliokomaaaMwaka 2017 unga ulipouzwa 2000 kwa kilo,alikuwa wapi?kabla hajaingia madarakani sukari kilo ilikuwa 1800 ,ikawa 3000, mafuta ya kula yalipofika lita moja 8000 alikuwa nani?kwa bei ya sasa ya vyakula kutupa lawama za moja kwa moja kwa rais sio sawa sana!!japo kuna kitu cha kufanya lakini hakiwezi kuondoa hiyo hali.
Hospitalini kuna nini kilibadirika tena madawa ndio kulikuwa hakuna kabisa bora hata sasa.
Time will tell Mkuu, kati yetu sisi wajinga na nyinyi walamba asaliMkuu achana na hawa wajinga Wana usahaulifu na ujinga uliokomaaa
Weka wazi kwamba ulikuwa mwathirika wa utawala wa JPM aidha fisadi, muuza madawa, mkwapuaji n.k
Watanzania ni watu wenye chuki, wivu na roho mbaya, wengi walikuwa wakifuatilia sana ziara za Magufuli kwasababu walikuwa na uhakika wa Magufuli kumdhalilisha na kumfuta kazi mtu katika hizo ziara.
Kabisa, enzi hizo nchi ilikuwa imechangamka sana kulinganisha na sasa hiviNi kweli mkuu.
Kipindi kile amsha amsha zilikua nyingi.
Sasa hivi tumepoa kama uji wa mgonjwa yaani hata haieleweki tunapoelekea.
Tupo tupo tu yaani.
Ukitembelea sehemu za starehe ikifika saa mbili tu.Kabisa, enzi hizo nchi ilikuwa imechangamka sana kulinganisha na sasa hivi
Kabisa yaaniMagufuli kimawazo na kimatendo alikuwa mbali sana na Watz wengi. Wengi hawakumuelewa.
Alitaka vitu vikubwa ambavyo watu wanaopenda vitu vya kawaida hawawezi, hawataki na hawa imagine.
Aliamini vitu vinawezekana. Hakutaka uzembe.
Unayo mimba ya jpm sio kwa povu hili aiseeWapumbavu kama wewe huwa hawakosekani ndugu. Kwani unadhani nchi hii haina wapumbavu?
Endelea kumpambania, 2025 nadhani kura za ndio kwake awe rais wa milele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unayo mimba ya jpm sio kwa povu hili aisee