Mo pal-mo
Senior Member
- Jan 16, 2021
- 182
- 253
Serikali itapata shida gani? Kuna taasisi ya kuisumbua serikali?Sawa lia , ila bakwata ni tawi la kanisa, na hili sasa hivi wengi wamelijua
Likidhihirika serikali itapata shida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali itapata shida gani? Kuna taasisi ya kuisumbua serikali?Sawa lia , ila bakwata ni tawi la kanisa, na hili sasa hivi wengi wamelijua
Likidhihirika serikali itapata shida sana
Sala ni siri ya mja na muumba
Na hakuna mashehe hapo, wote ni mapandikizi, tena ukute ni wagalatia kabisaaaa, wanajuajua kusoma kiarabu kidogo basi ni mashehe, hao ni mapandikizi tuPoint ya 2&3 kutoka mwisho zinakinzana,hii inadhihirisha wazi mashehe wengi ni felia.
Unasema kweli kabisa, hingera kwa kuwa muwazi na mkweli
Na hakuna mashehe hapo, wote ni mapandikizi, tena ukute ni wagalatia kabisaaaa, wanajuajua kusoma kiarabu kidogo basi ni mashehe, hao ni mapandikizi tu
Watakuwa hawapati tena habari za ndaniSerikali itapata shida gani? Kuna taasisi ya kuisumbua serikali?
Hakuna wa kutuzuia kufanya lolote, ila hakuna hiyo sababu ya kufanya lolote, endeleeni kutuminya na sisi tunajitahidi kujikwamua, ikibidi nasema ikibidi jitihada za ziada tutafanya na hakuna wa kuzuia, si bakwata wala tecNaamini bila bakwata nyie jihadist mgetusumbua sana nchi hii.
Acha ujingaNinachojua CCT,Bakwata na TEC zimeundwa kwa sheria moja.Je Nyerere alikuwa na nia ya kufifisha ukatoriki na uprotestant kwa kutumia mabaraza haya?
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Mie sio bakwata, na hii ndio tofauti ya pandikizi, msomi na mwelevu, na mbumbumbuUnakipimo gani cha kujua huyu ni halali na huyu ni pandikizi?
Acha ujinga
Mie sio bakwata, na hii ndio tofauti ya pandikizi, msomi na mwelevu, na mbumbumbu
Hakuna wa kutuzuia kufanya lolote, ila hakuna hiyo sababu ya kufanya lolote, endeleeni kutuminya na sisi tunajitahidi kujikwamua, ikibidi nasema ikibidi jitihada za ziada tutafanya na hakuna wa kuzuia, si bakwata wala tec
Si kila swali hujibiwaMbona hasira,jibu swali
Watakuwa hawapati tena habari za ndani
Bakwata yote ni mapandikizi,Kwamna kuna moles ndani ya bakwata??
Naomba ushahidi kwenye 👆Bakwata ni tawi la kanisa,
Ujinga wangu uko wapi Mkuu?Vyombo hivi vyote vimeundwa kwa sheria moja mkuu.Acha propaganda na uchonganishiAcha ujinga
Unamjua jaji Musa kwikima!?..unamjua sheikh Hassan bin amir!?...acha uzembe wa fikraUjinga wangu uko wapi Mkuu?Vyombo hivi vyote vimeundwa kwa sheria moja mkuu.Acha propaganda na uchonganishi
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Ukipenda, usipende utakufa tu, na hapo ndio tunapowaacha mbali sana, hao 72 ni wewe unasema, na nilishatangulia kusema kazi yenu ni kutuudhi tu, hamna jipya