FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Nisome tena halafu andika vizuri.Haikubariki na watu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisome tena halafu andika vizuri.Haikubariki na watu gani?
Nisome tena halafu andika vizuri.
Dada yangu kipenzi,ina maana wee huikubali bakwataBakwata haikubaliki, ipo kwa nguvu za serikali tu.
Baada ya kuuangamiza mfumo kikristu waislamu watapigana kuangamizana wao kwa wao kwa jina la kuiangamiza bakwata. Hata somalia walianza hivi hivi hatimaye taifa likakosa mwelekeoHawana lolote hao vibaraka wa serikali.
BAKWATA haisimamii maslahi ya Waislam bali dola, sisi sio wajinga.
Nitawaunga mkono pindi watakapobadilika ila sio sasa.
Nipo tayari kumsikiliza Sheikh Ponda sio Sheikh Mkuu.
TEC imeundwa kwa mujibu wa sheria za kikanoni na kupewa nguvu na mtaguso wa pili wa Vatican wa mwaka 1962-1965Ninachojua CCT,Bakwata na TEC zimeundwa kwa sheria moja.Je Nyerere alikuwa na nia ya kufifisha ukatoriki na uprotestant kwa kutumia mabaraza haya?
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Ukristo ni ushogaLibya vita ilianza km hivi hivi Waislamu na waislamu walichinjana km kuku.
Sudan na somalia hivyo hivyo
Sasa hivi waislamu na waislamu muda siyo mrefu mtachinjana kugombea madaraka
Uislamu ni ugaidi
Kwani bure, si nalipia?Ila unatumia mtandao wa kafiri kutoa maoni yako..
Uwe unaona aibu kijana.
Kwa kuwa wewe upo wazi? Unajulikana?Mwoga ni wewe ulijificha kwenye fake ID,
Mikwaaaaara, nyie wachumba tu, yaani vianze hapa dakika tu[emoji28][emoji28] mkuu upo sawa kweli?
Unataka kuleta ugaidi kama wa HAMAS halafu baadae mtafute huruma kuwa meonewa?Mikwaaaaara, nyie wachumba tu, yaani vianze hapa dakika tu
Halafu mnasema karibu kwenye dini ya haki. Hivi kweli?Hawana lolote hao vibaraka wa serikali.
BAKWATA haisimamii maslahi ya Waislam bali dola, sisi sio wajinga.
Nitawaunga mkono pindi watakapobadilika ila sio sasa.
Nipo tayari kumsikiliza Sheikh Ponda sio Sheikh Mkuu.
Kwa kuwa wewe upo wazi? Unajulikana?
Onyesha basi nitakupata wapi uone kama sjiakushughulikia fasta tu,
Nb
Staki mikwara mbuzi
Waoga wakubwa nyie, iko siku yenu
Yaani we acha tu, nita.,*&%%#^π[`tafuna mpaka mifupa
Mimi namsikiliza zaidi Sheikh Kipoozeo ana akili kuliko Masheikh wote Africa Mashariki.Hawana lolote hao vibaraka wa serikali.
BAKWATA haisimamii maslahi ya Waislam bali dola, sisi sio wajinga.
Nitawaunga mkono pindi watakapobadilika ila sio sasa.
Nipo tayari kumsikiliza Sheikh Ponda sio Sheikh Mkuu.
Kwa taarifa yako mabaraza ya kidini yana sheria yake.Logic inasema kama TEC na CCT na Bakwata ziliundwa kwa sheria moja inakuwaje baraza la dini yetu tukufu liwe batili?Ikumbukwe kabla ya TEC na CCT kulikuwa na vyombo vingine vinavyoendesha dini hizi kama eamws.Ikumbukwe pia eamws haikuwa ya wazalendo kama catholics na protestants kabla ya kuundwa haya mabarazaHiyo sheria imeundwa lini,au ilikuwepo tangu Musa wa farao!?..maana bakwata imeundwa 1968 baada ya kuvunja kimabavu eamws na Nyerere,yaani rais aliingia ground kuvunja taasisi ya dini,Sasa sheria yako iliuounda TEC na TCC sijui,imeundwa lini!?..na sheria ni AI kwamba huunda taasisi bila watu!?
Acha propaganda za kwenye vijiwe vya gahawa kijana tec,cct na bakwata zimeundwa kwa mujibu wa sheria za nchiTEC imeundwa kwa mujibu wa sheria za kikanoni na kupewa nguvu na mtaguso wa pili wa Vatican wa mwaka 1962-1965
Uko sawa kijana?Kwa kuwa wewe upo wazi? Unajulikana?
Onyesha basi nitakupata wapi uone kama sjiakushughulikia fasta tu,
Nb
Staki mikwara mbuzi
Waoga wakubwa nyie, iko siku yenu
Yaani we acha tu, nita.,*&%%#^π[`tafuna mpaka mifupa
Hoja yako nini!?..eamws haikua ya wazalendo!?..ndiyo maana nilikuuliza unamjua sheikh amir wa eamws!?..suala ni rais kushupaa kuvunja taasisi ya dini na kuunda yake,bakwata inatambulika kisheria,hakuna anayebisha,Ila waislam wengi hawaitaki na si mwamvuli wa taasisi za kiislam tz,ndiyo hojaKwa taarifa yako mabaraza ya kidini yana sheria yake.Logic inasema kama TEC na CCT na Bakwata ziliundwa kwa sheria moja inakuwaje baraza la dini yetu tukufu liwe batili?Ikumbukwe kabla ya TEC na CCT kulikuwa na vyombo vingine vinavyoendesha dini hizi kama eamws.Ikumbukwe pia eamws haikuwa ya wazalendo kama catholics na protestants kabla ya kuundwa haya mabaraza
Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app