Hotuba nzito na muhimu ya Mufti Shekh Abubakar Zubeir

Hotuba nzito na muhimu ya Mufti Shekh Abubakar Zubeir

✔ Apongeza ushirikishwaji wa viongozi wa Serikali, wafanyabiashara na wadau wengine kwenye kazi na shughuli za kimaendeleo za kiislamu. Apongeza sana mchamgo wa wadau hao
Kuna kiongozi ametangazwa kulitikisa Jiji leo aliahidi kujenga msikiti mkubwa kuliko yote Dar, hivi alitimiza hiyo ahadi?
 
Bakwata iliundwa na Nyerere kwa lengo la kufifisha uislam na waislam baada ya kuvunja taasisi ya maana zaidi,uchaguzi wa mufti askari kanzu kibao,Kuna shughuli ya bakwata 1990s ilifadhiliwa na kanisa,bakwata Mali za wakfu inauza..kwa nini waislam waamini bakwata!?.. waislam waliunda chombo kingine miaka ya tisini,Baraza kuu..Hilo ndiyo mama wa taasisi za kiislam,Kama anabisha tuitishe kura ya maoni
Waliunda chombo hao waislamu je imeeelezwa popote pale kwenye Quran kuwa kiundwe chombo?
 
HOTUBA MZITO NA MUHIMU YA MUFTI SHEKH ABUBAKAR ZUBEIR

Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam

Asema BAKWATA ndiyo mama wa Taasisi zote za Kiislamu nchini

Taarifa kwa hisani ya Harith Nkussa
Mwandishi maalumu wa Mufti

🔷Ofisi ya Mufti yawataka Viongozi wa taasisi za kiislamu kote nchini na waislamu wote kuisikiliza mpaka mwisho, waiandike na kufanyia kazi vipengele vyote vya hotuba hiyo.

✔ Akariri, BAKWATA ndiyo taasisi mama inayosimamia waislamu na taasisi zao zote pasina kujali makundi au madhehebu yao kisha ataja sababu.

✔Akiri kuna taasisi nyingi za kiislamu ambazo zinafanya vizuri kwenye maeneo fulani, lakini asisitiza kuwa zote hizo zinafanya kazi chini ya mwamvuli wa Bakwata.

✔Akariri wito kwa wasomi wa kada mbalimbali na waislamu wote kuleta maoni, fikra mpya na ushauri kwa lengo la kuleta maendeleo kwa waislamu na kwamba milango ya BAKWATA iko wazi muda wote. Awataka waislamu watumie fursa hiyo badala ya kulalamika, kunungunika au kusemea pembemi

✔ Akumbusha kuwa kazi ya BAKWATA ni kuwatumikia waislamu wote na taasisi zao zote na madhehebu yao yote na kwamba BAKWATA sasa inatimiza wajibu na jukumu lake hilo kikamilifu na kwamba inawasahilishia waislamu na kamwe haimkwamishi yeyote kutimiza wajibu wake

✔ Aonya desturi mbaya ya kuwaona masheikh hawakusoma. asisitiza masheikh ni wasomi muhimu sana wenye akili na wanaoona mbali sana na kuwataka masheikh wasikubali kudharaulika kwa hali yoyote.

✔ Awahimiza masheikh kusoma elimu za kisekula ikiwa ni pamoja na lugha mbalimbali. awaambia hakuna ugumu wowote.

✔ Apongeza ushirikishwaji wa viongozi wa Serikali, wafanyabiashara na wadau wengine kwenye kazi na shughuli za kimaendeleo za kiislamu. Apongeza sana mchamgo wa wadau hao.
Hiyo hotuba iko wapi?
 
Jibu swali langu kwanza usikwepe hoja sheikh.Zimeundwa kwa sheria moja?

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Hiyo sheria imeundwa lini,au ilikuwepo tangu Musa wa farao!?..maana bakwata imeundwa 1968 baada ya kuvunja kimabavu eamws na Nyerere,yaani rais aliingia ground kuvunja taasisi ya dini,Sasa sheria yako iliuounda TEC na TCC sijui,imeundwa lini!?..na sheria ni AI kwamba huunda taasisi bila watu!?
 
Bakwata ni wahuni tu, VIBARAKA wa serikali. Msaada wao kwenye uislam ni negligible.
 
Bakwata ilikuwa danganya toto ya kuumiza Uislam.
Libya vita ilianza km hivi hivi Waislamu na waislamu walichinjana km kuku.
Sudan na somalia hivyo hivyo
Sasa hivi waislamu na waislamu muda siyo mrefu mtachinjana kugombea madaraka
Uislamu ni ugaidi
 
Libya vita ilianza km hivi hivi Waislamu na waislamu walichinjana km kuku.
Sudan na somalia hivyo hivyo
Sasa hivi waislamu na waislamu muda siyo mrefu mtachinjana kugombea madaraka
Uislamu ni ugaidi

IMG_4046.jpg
 
Back
Top Bottom