Hotuba nzito na muhimu ya Mufti Shekh Abubakar Zubeir

Hotuba nzito na muhimu ya Mufti Shekh Abubakar Zubeir

HOTUBA MZITO NA MUHIMU YA MUFTI SHEKH ABUBAKAR ZUBEIR

Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam

Asema BAKWATA ndiyo mama wa Taasisi zote za Kiislamu nchini

Taarifa kwa hisani ya Harith Nkussa
Mwandishi maalumu wa Mufti

[emoji841]Ofisi ya Mufti yawataka Viongozi wa taasisi za kiislamu kote nchini na waislamu wote kuisikiliza mpaka mwisho, waiandike na kufanyia kazi vipengele vyote vya hotuba hiyo.

[emoji818] Akariri, BAKWATA ndiyo taasisi mama inayosimamia waislamu na taasisi zao zote pasina kujali makundi au madhehebu yao kisha ataja sababu.

[emoji818]Akiri kuna taasisi nyingi za kiislamu ambazo zinafanya vizuri kwenye maeneo fulani, lakini asisitiza kuwa zote hizo zinafanya kazi chini ya mwamvuli wa Bakwata.

[emoji818]Akariri wito kwa wasomi wa kada mbalimbali na waislamu wote kuleta maoni, fikra mpya na ushauri kwa lengo la kuleta maendeleo kwa waislamu na kwamba milango ya BAKWATA iko wazi muda wote. Awataka waislamu watumie fursa hiyo badala ya kulalamika, kunungunika au kusemea pembemi

[emoji818] Akumbusha kuwa kazi ya BAKWATA ni kuwatumikia waislamu wote na taasisi zao zote na madhehebu yao yote na kwamba BAKWATA sasa inatimiza wajibu na jukumu lake hilo kikamilifu na kwamba inawasahilishia waislamu na kamwe haimkwamishi yeyote kutimiza wajibu wake

[emoji818] Aonya desturi mbaya ya kuwaona masheikh hawakusoma. asisitiza masheikh ni wasomi muhimu sana wenye akili na wanaoona mbali sana na kuwataka masheikh wasikubali kudharaulika kwa hali yoyote.

[emoji818] Awahimiza masheikh kusoma elimu za kisekula ikiwa ni pamoja na lugha mbalimbali. awaambia hakuna ugumu wowote.

[emoji818] Apongeza ushirikishwaji wa viongozi wa Serikali, wafanyabiashara na wadau wengine kwenye kazi na shughuli za kimaendeleo za kiislamu. Apongeza sana mchamgo wa wadau hao.
Niliposoma kichwa cha habari nilikuja haraka humu, kwa kutegemea kukuta hotuba nzito ya masuala ya imani yenyewe, kwa maana ya hotuba ya kiongozi mkubwa wa dini.

Lakini, kuja hapa na kukutana na hiki kilichopo, naona kwa kiongozi wa imani, hii ni hotuba yake ya kawaida sana, haina uzito ulioanikizwa na mleta thread, kwani haigusi chochote toka kwenye Qur'an.

Mleta thread anapaswa kufahamu kuwa hotuba nzito ya wanasiasa haiwezi kufanana na hotuba nzito ya kiongozi mkubwa wa dini. Kama haizungumzii imani yenyewe basi haina uzito wa hivyo.

Ova
 
Hoja yako nini!?..eamws haikua ya wazalendo!?..ndiyo maana nilikuuliza unamjua sheikh amir wa eamws!?..suala ni rais kushupaa kuvunja taasisi ya dini na kuunda yake,bakwata inatambulika kisheria,hakuna anayebisha,Ila waislam wengi hawaitaki na si mwamvuli wa taasisi za kiislam tz,ndiyo hoja
Kama eams taasisi zilizokuwepo za rc na waprotestant zilivunjwa pia na ikatungwa sheria ya kuanzisha haya mabaraza.Hoja yangu ni kwamba Bakwata ni chombo kinachowaunganisha waislam kama yalivyo mabaraza ya dini zingine.Tuache propaganda.Kama hamuitaki basi wekeni viongozi wenu ndani ya Bakwata mfanye reforms mnazotaka

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
 
Halafu mnasema karibu kwenye dini ya haki. Hivi kweli?
Nyie wenyewe hamuelewani, mtaweza kuelewana na watu wengine?
Kwanini msikae chini mkayamaliza kwa amani na upendo km dini ya haki?
😀😀😀😀😀😀😀😀
Bakwata ni kanisa, mbona huelewi?
Sasa tutakaaje na kanisa tuelewane kwenye imani yetu, kila mmoja abaki na doni yake, so tunahitaji chombo au taasisi originally ya kiislamu lakini sio bakwata, nadhani umeelewa
 
Unataka kuleta ugaidi kama wa HAMAS halafu baadae mtafute huruma kuwa meonewa?
Kawaulize wale wazee wa kiislamu wa UAMSHO.
Jaribu uone, tutakufunga mpk ndugu zako wakusahau ohh!
Hii siyo Gaza, Sudan, Somalia, Libya au Lebanon ambako waislamu wanachinjana ovyo.
Thubutu uone kitakachokutokea, bora ukae kimya
Mikwara mbuzi, nyie wepesi sanaaaa, tunapenda kufa kama mnavyopenda kuishi
 
Haya mambo si mkaambiane huko kwenye tarawei? Huwa nashangaa Sana mambo yenu, mabishano yenu kurushiana maneno mara nyingi mtumia online TV. Sasa hii inaonyesha bado hamjakaa kitaasisi Kila mmoja anaweza kuitisha press conference kumjibu mtu au kujinadibu anajua dini kuliko mwingine au kumkosoa au midahalo ya kukosoa dini nyingine tena kwa hoja za kitoto kabisa na za kizamani. Niwaambieni WAHESHIMUNI SANA BAKWATA narudia tena BAKWATA WAMEFANYA MAMBO MENGI SANA YA KUWAUNGANISHA, KUWAPATANISHA NA KUWAJENGEA MIFUMO MIZIRI YA KIUTAWALA, tofauti na hapo Kila mtu anajiona fundi wa kukosoa jambo kama hili huwezi kulikuta kwa wakatoliki
Bakwata ni kanisa na wala si taasisi ya kiislamu kwa uhalisia,chunguza utagundua mashehe wengi wa bakwata ni washirikina kama walivyo wakatoliki, muislam sahihi hufata mafundisho sahihi na sio kujifanya mganga na mipete kibao vidoleni kuibia watu tu, hii ilianzishwa na serikali kupitia kanisa ili kuwazuga waislam enzi za nyerere na ndie aliivunja taasisi imara ya waisla ikiitwa EAMWS
Bakwata haikubaliki
 
Kama eams taasisi zilizokuwepo za rc na waprotestant zilivunjwa pia na ikatungwa sheria ya kuanzisha haya mabaraza.Hoja yangu ni kwamba Bakwata ni chombo kinachowaunganisha waislam kama yalivyo mabaraza ya dini zingine.Tuache propaganda.Kama hamuitaki basi wekeni viongozi wenu ndani ya Bakwata mfanye reforms mnazotaka

Sent from my Nokia 2.4 using JamiiForums mobile app
Unaishi dunia gani!?..baada ya mwinyi kuambiwa na mufti hemed bin jumaa masks 1992 "inaelekea nyerere hakukwambia bakwata ni nini"..mwinyi akawaambia waislam waanzishe taasisi zingine,hapo ni baada ya mapinduzi kufanyika bakwata na serikali kutumia jeshi la polisi kuyavunja mapinduzi, waislam wakaanzisha taasisi tofauti na bakwata,zikiwemo ipc,al malid BARAZA KUU LA TAASISI ZA KIISLAM..miongoni mean nyingi,wewe kama unawapenda bakwata kale nao tende
 
Bakwata ni kanisa na wala si taasisi ya kiislamu kwa uhalisia,chunguza utagundua mashehe wengi wa bakwata ni washirikina kama walivyo wakatoliki, muislam sahihi hufata mafundisho sahihi na sio kujifanya mganga na mipete kibao vidoleni kuibia watu tu, hii ilianzishwa na serikali kupitia kanisa ili kuwazuga waislam enzi za nyerere na ndie aliivunja taasisi imara ya waisla ikiitwa EAMWS
Bakwata haikubaliki
Uislamu ni ugaidi.
Muanzishe nyie halafu mhusishe imani za dini zingine.
Kupigana na kuana nyie ni kazi zenu. Hapo mnatamani muanzishe Al shabab, Boko Haram au Islamic state (IS).
Sudan, Somalia na Libya mnauana ovyo kwasababu hizi hizi.
 
Bakwata ni kanisa, mbona huelewi?
Sasa tutakaaje na kanisa tuelewane kwenye imani yetu, kila mmoja abaki na doni yake, so tunahitaji chombo au taasisi originally ya kiislamu lakini sio bakwata, nadhani umeelewa
😁😁😁😁😁
Kweli uislamu ni ugaidi
1. Waislamu wanapigana na wakristo
2. Waislamu wanapigana na Wayahudi
3. Waislamu wanapigana na dini zingine
4. Waislamu wao kwa wao wanapigana.
BAKWATA imekuwa ya wakristo kwasababu hao BAKWATA wameona uislamu ni ugaidi wakawa wakristo. Safi sana
Iendelee hivyo hivyo ili ugaidi upungue na mwisho kutoweka kabisa
 
Kweli ukristo ni USHOGA.
Wewe unasema kujifrahisha, ila hoja huna
Bakwata haikubaliki, iende ikahudumie wakristo wenzao
 
Uislamu ni ugaidi.
Muanzishe nyie halafu mhusishe imani za dini zingine.
Kupigana na kuana nyie ni kazi zenu. Hapo mnatamani muanzishe Al shabab, Boko Haram au Islamic state (IS).
Sudan, Somalia na Libya mnauana ovyo kwasababu hizi hizi.
Huna ujualo, endelea kubishana mpaka ufe, bakwata ni kanisa na sasa tumewashtukia na tunaeenda kujikomboa sasa
Endelea kukariri
 
Bakwata ni kanisa na wala si taasisi ya kiislamu kwa uhalisia,chunguza utagundua mashehe wengi wa bakwata ni washirikina kama walivyo wakatoliki, muislam sahihi hufata mafundisho sahihi na sio kujifanya mganga na mipete kibao vidoleni kuibia watu tu, hii ilianzishwa na serikali kupitia kanisa ili kuwazuga waislam enzi za nyerere na ndie aliivunja taasisi imara ya waisla ikiitwa EAMWS
Bakwata haikubaliki
Huo mtindio wa UBONGO ulionao sio wa dunia hii ndio ule nambari wani ambao siku hizi wanauita USONJI
 
Waislamu bado wanangojea repoti ya tume ilioundwa kuhakiki mali za Bakwata zilizopo na zilizo potea kwa ufisadi.
Inasemekana baadhi ya wanakamati walijiuzulu sababu hawapati ushirikiano kutoka kwa viongozi na idara mbali mbali za Bakwata. Mufti inaonesha hili pia ni changamoto kubwa kwake kuiwezesha tume hii kukamilisha jukumu lake muhimu la kulinda mali za waislamu.
 
Back
Top Bottom