Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Nauliza tu,kwa sauti kuna ubaya wowote angeongea kiswahili...maana naona kuna wanaotranslati kwa lugha zao ndo maana wana headphone.vitu vingine nikujifedheesha tu.pigaa kiswahili
Yes,tungemuona shujaa kabsaa.Na ninadhani hatorudia tena.
 
Hakuna shida yoyote kwa Mtu kuto weza kutamka fluently lugha ambayo sio yake.

Narudia tena, hakuna shida wala sio kosa kama mtu hawezi kuwasiliana kwa ufasaha kwa kutumia lugha ambayo sio yake.

Hata hao wazungu, hawawezi kua fluently kwa kiswahili
 
Ama kweli BI chura kafungua nchi.hayo ni matokeo ya Royal tour . msiojua huo ni utalii wa lugha. period. Hawa watu ndo mnataka wafanye ushindani kwenye kipindi cha AI.
 
Jamani kiongozi wa yanga unailinganisha na kiongozi wa wizara ya afya?? angekuwa ni wizara kama michezo au mazingira wala nisingemind
unalinganisha viongozi au namna luguha ya kiingereza inavyozungumzwa kwa ufasaha na wahusika gentleman?🐒
 
Mtu anayesema "kwa niaba yangu" anakosea sana.
Anatakiwa kusema "Mimi mwenyewe" maana ukisema kwa niaba ya fulani maana yake unamsemea au unamfanyia jambo mtu ambaye hayupo kwenye hiyo hadhara hivyo unamwakilisha.
Ndio hapo sasa
 
Sawa, huyu elimu yake ni ya kuungaunga, je yule aliyekuwa na PhD ilikuwaje? Kumbuka huyo kaandikiwa, je hiyo on my own behalf ni nini?
 
Angeongea kiswahili tu au kilugha cha kwao Songea huko.

Huyu huyu utamkuta Bungeni anapambana kutetea vijana wetu wasifundishwe kienglish aka Kikristo halafu watoto wake wanasoma shule ambazo kienglish full time.
 
Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Hapa Tanzania viongozi hasa wa ngazi ya uwaziri ni wasomi. Na lugha kiingerereza ndio waliyotumia kusomea, hapo utetezi wako mbona haukai vizuri?
 
Wanatukia lugha gani ya kujifunzia hao uliowataja? Hakuna mwenye tatizo na lafudh, ufasaha wa hiyo lugha tena ikiwa imeandikwa. Hizo L ni za nini? Kwani akitaja neno Rais hapa nchini kwa kiswahili, huwa anatamka Lais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…