Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Sisi tuna maendeleo gani maana tunatumia kiswahili zaidi ya 80%
 
Halafu viongozi wenye uwezo duni wa kiingereza ndio utawakuta wana ntima nyongo ya hatari.
 
Hebu niambie, inawezekanaje ukatumia lugha fulani kujifunzia kwa zaidi ya miaka 10 halafu ushindwe kuimudu. Je, uko sawa kichwani?
 
Unamaanisha nini "Lugha Rasmi"? Kwa Tanzania lugha Rasmi ya kwanza ni Kiswahili. Ya pili ni Kiingereza. Kwa akili yako "kubwa" unatakiwa kujivunia lugha Gani hapo?
Nitajie lugha ya tatu ni ipi?
Kama haipo, niambie ni kwa nini ni lugha ya kigeni halafu imepewa hadhi ya 'urasmi' katika nchi yetu.
 
Si mlishabikia na kupiga debe Dkt Ndugulile kwenda WHO as if hatuna shida na watendaji wenye weledi wa kutosha kwa kada husika?

Siasa zinagharimu sana hili taifa.
Sasa kama mamlaka hazijaona kama anaweza kuwa na mchango wake nchini na kumteua, si bora uende tu huko duniani. Ulitaka akae tu asubiri uteuzi ambayo ni uncertain??
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee..

Hii hotuba imenikumbusha ile hotuba ya Philip Mulugo aliyoitoa huko bondeni wakati naye alikuwa anasoma aliposema Tanzania is a union between Zanzibar and Zimbabwe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tanzania kweli ina maiti tupu
Kipindi cha dhalimu sasa ndio ilikuwa aibu, hadi akijiweka kwenye quaranteen ya kutosafiri kwenda nje kwa kisingizio cha uzalendo🤣🤣
 
Kwa sasa mtu ambaye huna masters, haifai kuonesha CV yako. Na masters iwe kutoka chuo kinachoeleweka. Mambo ya first degree yashapitwa na wakati. Povu ruksa
 
Ndiyo maana JPM alikuwa anakipiga vita hicho Kiingereza

Hivi hakukuwa na option ya kuongea Kiswahili na hizo device zikatafsiri?

Nimeona Wachina wanawasilisha taarifa zao Kwa kutumia Kichainizi
Devices huwa zina interpret lakini yeye amechagua kuandika na kusoma kingereza kibovu kwa sababu ya uchawa na kujipendekeza kwa rais. Hivi hapo kulikuwa na haja gani ya kumtaja rais?
 
Devices huwa zina interpret lakini yeye amechagua kuandika na kusoma kingereza kibovu kwa sababu ya uchawa na kujipendekeza kwa rais. Hivi hapo kulikuwa na haja gani ya kumtaja rais?
Ndiyo maisha yake huyo Mama

Tangu enzi za Kikwete anaishi Kwa style hiyo hiyo 🙌
 
Unamaanisha nini "Lugha Rasmi"? Kwa Tanzania lugha Rasmi ya kwanza ni Kiswahili. Ya pili ni Kiingereza. Kwa akili yako "kubwa" unatakiwa kujivunia lugha Gani hapo?
Subiri ili tusipoteane, akitamka neno Rais kwa kiswahili, R yake huwa anaweka L? Kwanini anatamka plesident alipokuwa anasoma kiingereza?
 
Aibu kubwa mnooo tena mnooo kwani huyu mama akipewa hata ubalozi hapo Msumbiji kuna shida?kwa nini anapewa wizara nyeti mtu kama huyu??ni kwamba mamlaka haijali afya za watanzania au shida ni nini???!
 
Kila mtu ni mahiri katika lugha yake mwenyewe, mbona wamagharibi wànashindwa kuongea lugha zetu hatuwacheki? Je, Waingereza wasomi wote wanajua kuongea kifaransa kwa usahihi?

Lugha ya kiingereza tusiitumie kama kipimo cha ufahamu wa mtu
Utetezi dhaifu, hao uliowataja wanatumia lugha kwenye mfumo wao wa elimu hasa ya juu? Kumbuka nyaraka nyingi za serekali hasa za mikataba iko kwa kiingereza, na waziri zaidi ya nusu ya majukumu yake yanaingiliana na kiingereza, hapo inakaaje?
 
Utetezi dhaifu, hao uliowataja wanatumia lugha kwenye mfumo wao wa elimu hasa ya juu? Kumbuka nyaraka nyingi za serekali hasa za mikataba iko kwa kiingereza, na waziri zaidi ya nusu ya majukumu yake yanaingiliana na kiingereza, hapo inakaaje?
Ndio mambo ya kiwaki hayo eti usitumie Kingereza kupima ufahamu wa mtu kwa Tanzania kingereza ni kipimo sahihi kabisa cha elimu na uelewa wa mtu huyo mama hastahili kuwa waziri wa afya haya yote ni matokeo ya Siasa majitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…