Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝🤝🤝Mwalimu wako wa kiswahili akiona hii comment yako atasikitika sana
Ile hotuba yake iwekwe kwenye website ya wizara ya afya 😂😂😂View attachment 3084734
"Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you, on behalf of my plesident, hounolable😎"
Amesikika Waziri mpya wa Afya aliwa Congo Brazaville akisoma hotuba aliyoandikiwa.
Sielewi akiwa kwenye one on one discussion kwa English atafanyaje.
Ni bora awe anaongea Kiswahili tu, japo hata kwa Kiswahili usipotofutisha "l" na "r" UNABOWA sana wasikilizaji
View attachment 3084748
Watanzania wachache wanaweza kuongea kiingereza kwa dakika 3 bila kukosea.Hapo anasoma je, angekuwa anatoa kichwani si angejinyea?
watanzania ngeli hatujui.
Hivi ni "UNABOWA" au "UNABOA"?
Nitarudi vipi shuleni wakati Mimi ni kikongwe?Rudi shule.
Sasa shuleni ulienda kufanya nini?!Matumizi ya r na L yanasumbua wtz wengi.Mimi mwenyewe binafsi huwa yananichanganya.wajuvi wa kiswahili tufafanulieni matumizi ya r na L.
rafudhi ✖️Watz tunamind vitu vya kipuuzi sana,
kwenye hotuba tafuta points wala siyo lugha au rafudhi,
Inakusaidia nini mtu kuongea lugha iliyonyooka
lakini ni mwizi wa kura,mla rushwa na kukanyaga haki za watu?
Unakera...
Hakuna neno "unabowa" au "unaboa" kwenye kiswahili...
KuimbaSasa shuleni ulienda kufanya nini?!
Hapana Sheikh, inashangaza Mtu kutumia lugha ya kiingereza katika masomo yake throughout ukiondoa kwny Primary level tu, then ana level ya Masters halafu leo anatuchanganyia herufi katika Prepared Speech ambayo imeandikwa kwa usahihi kazi yake kusoma tuMwanaume kuleta mada za kipuuzi kama hizi ni umama.