Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

View attachment 3084734
"Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you, on behalf of my plesident, hounolable😎"

Amesikika Waziri mpya wa Afya aliwa Congo Brazaville akisoma hotuba aliyoandikiwa.

Sielewi akiwa kwenye one on one discussion kwa English atafanyaje.

Ni bora awe anaongea Kiswahili tu, japo hata kwa Kiswahili usipotofutisha "l" na "r" UNABOWA sana wasikilizaji

View attachment 3084748
Ile hotuba yake iwekwe kwenye website ya wizara ya afya 😂😂😂
 
Watz tunamind vitu vya kipuuzi sana,
kwenye hotuba tafuta points wala siyo lugha au rafudhi,
Inakusaidia nini mtu kuongea lugha iliyonyooka
lakini ni mwizi wa kura,mla rushwa na kukanyaga haki za watu?
 
Mwanaume kuleta mada za kipuuzi kama hizi ni umama.
Hapana Sheikh, inashangaza Mtu kutumia lugha ya kiingereza katika masomo yake throughout ukiondoa kwny Primary level tu, then ana level ya Masters halafu leo anatuchanganyia herufi katika Prepared Speech ambayo imeandikwa kwa usahihi kazi yake kusoma tu

La haula...hii yashangaza Umma
 
Back
Top Bottom