Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisistizo tu. Kwanza kiswahili hakina neno boa au bowa. Limetoholewa tu kutoka kwenye English "bore". Yenye maana kerehesha, chosha, potezea muda.Tunaanza na wewe. Unabowa ndio kitu gani?
Mimi kabila langu ni la Nyanda za Juu kusini na ni kweli hatuna herufi "R".Mtoa mada kama kweli ulienda shule na ukafundishwa vizuri sarufi na kuelewa huwezi kuja kuanzisha hapa mada ya Aina hii na kuanza kujadili tuache unafiki,matamshi ya l na r hayo ni Matokeo ya lugha mama ya mhusika tukichunguza ya kwako huenda yakawa Makubwa zaidi ya hayo.
Mimi siyo mwanaumeMwanaume kuleta mada za kipuuzi kama hizi ni umama.
Yaani nilijisikia aibu sana. Kuna mshiriki mmoja yeye alishikilia tama kama linabomoka. Halafu usione yawezekana aliwaandikia nduguze saa fulani nitakuwa LIVE kumpongeza Ndugulile msikose kuniangalia. Ushamba sanaView attachment 3084734
"Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you, on behalf of my plesident, hounolable😎"
Amesikika Waziri mpya wa Afya akiwa Congo Brazaville akisoma hotuba aliyoandikiwa.
Sielewi akiwa kwenye one on one discussion kwa English atafanyaje.
Ni bora awe anaongea Kiswahili tu, japo hata kwa Kiswahili usipotofutisha "l" na "r" UNABOWA sana wasikilizaji
View attachment 3084748
Nimekiri kabisa na nikasema ninetohoa kutoka kwenye EnglishUnakera...
Hakuna neno "unabowa" au "unaboa" kwenye kiswahili...
wacha maneno mengi tiwekee vidio tuenjoyView attachment 3084734
"Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you, on behalf of my plesident, hounolable😎"
Amesikika Waziri mpya wa Afya akiwa Congo Brazaville akisoma hotuba aliyoandikiwa.
Sielewi akiwa kwenye one on one discussion kwa English atafanyaje.
Ni bora awe anaongea Kiswahili tu, japo hata kwa Kiswahili usipotofutisha "l" na "r" UNABOWA sana wasikilizaji
View attachment 3084748
Pale kwenye mkutano wa WHO kuna multimedia interpretation system ya lugha zote kuu za Afrika yaani ; English Language, Portuguese, Kiswahili, French, Spanish na Arabic.Watz tunamind vitu vya kipuuzi sana,
kwenye hotuba tafuta points wala siyo lugha au rafudhi,
Inakusaidia nini mtu kuongea lugha iliyonyooka
lakini ni mwizi wa kura,mla rushwa na kukanyaga haki za watu?
kiswahili ❌️Mwalimu wako wa kiswahili akiona hii comment yako atasikitika sana
Siyo kweli. Niko humu muda mrefu nifuatilie kwenye posts zangu uone uandishi wangu. Neno KUBOWA nimelitumia kwa makusudi kwanza siyo la KISWAHILI, nilitaka kuonyesha kuwa I am stiffly and heavily boredHuyo honolabo na wewe wa kubowa wote ni sawa....
UNABOWA ni kitu gani hicho?View attachment 3084734
"Lich out to her, ligional dilector, conglatulations, Tanzania is ploud of you, on behalf of my plesident, hounolable😎"
Amesikika Waziri mpya wa Afya akiwa Congo Brazaville akisoma hotuba aliyoandikiwa.
Sielewi akiwa kwenye one on one discussion kwa English atafanyaje.
Ni bora awe anaongea Kiswahili tu, japo hata kwa Kiswahili usipotofutisha "l" na "r" UNABOWA sana wasikilizaji
View attachment 3084748
Niko vizuri sana kwenye linguistics. Napiga vernacular yangu, national language (Kiswahili), official language (English) and one additional regional language (French)Vipi kuhusu wewe unae BOWA?
Nimetoha mkuu kwenye English na nimelitumia kwa makusudi kuonyesha niko heavily boredwakosoaji wa lugha humu ndani nyie wenyewe hamjui mnachokikosoa UNABOWA ndiyo nini??
Hivi huyo anaweza kufanya vizuri kwa akili ya panzi kama hiiKitu ambacho nimejifunza na nina jifunza kuhusu baadhi ya watanzania tunapenda kumind vitu visivyo na msingi ,yaani anaweza kuwa kiongozi anafanya vizuri sana katika majukumu yake let's say ni daktari,injinia, waziri lakini akitokea anaongea kingereza alafu akakosea kidogo tu kuongea ,basi inaonekana hafai kabisa hana sifa na yupo hapo kimagumashi .Hebu tuachane na huu ujinga tujikite kwenye issues.
wewe ni walewale wacha kujitetea. Lugha waitumia kwenye masomo yako kwanini miaka yote ushindwe kui-master? hapo ndio msingi wa ukilaza wa watu calibre yenu.Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.