Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

kilichoongezeka ni kuwavua nguo wajinga wachache walioacha kutaja historia muhimu ya marehemu. What a shame? Yaani alikuwa waziri mkuu wa nchi then mtu analeta mambo ya uCCM na uCDM? Ni ujinga spana kama hizi zinasaidia machawa kukaa sawa.
Binafsi naona CCM na upinzani huwa wanatupa hoja zisizo na maana kuzijadili kwa maslahi yao. Hawana tofauti na wasanii wanaofake bifu kisha kujadiliwa na mashabiki.

Historia ya EL hata ukiandika tu jina lake mitandaoni unaipata yote ila tupo tunashangalia Mbowe kuitaja na kulaani Ccm kutokuikamilisha.
 
Haya maujinga ya CCM mnayoyaona SS ivi ,yaliyoko kipindi cha mchonga, SEMA SS ivi ni utandawazi, huwezi ficha.
Mchonga alikijenga Chama vibaya Sana
 
Chadema mlishindwa kutumia ukubwa wa lowassa kushinda uchaguzi na hamtakaa mmpate baahati kubwa kiasi kile .Ila nawashauri mwqka 2025,asimame mzee Mbiwe tuone kama zile kura laki nane alizopata wakati ule zitatosha kukanyaga ikulu .RIP mzee wetu Edo
 
Huu unaitwa ujinga wa kipaji, kama baba Yao angekuwa rais kupitia cdm wangeacha kuandika kwasababu sio Kila kitu kinawekwa kwenye historia?
Sio kwenye historia. Kwenye wasifu wa marehemu. Historia ipo wazi alishaiandika marehemu wakati yupo hai. Wasifu unaandikwa na watu wengine. Hata usipotaja jambo muhimu katika wasifu hilo jambo halifutiki katika historia.
 
Mama Samia inaiweka sawa hapa historia ya marehemu ongera rais Samia kwa kuwaumbua waliotengeneza wasifu wa kihuni
 
Sio kwenye historia. Kwenye wasifu wa marehemu. Historia ipo wazi alishaiandika marehemu wakati yupo hai. Wasifu unaandikwa na watu wengine. Hata usipotaja jambo muhimu katika wasifu hilo jambo halifutiki katika historia.

Kwa taarifa yako kwenye mambo yaliyotajwa kwenye wasifu wake, kugombea urais na hasa baada ya kupata kura zile, ni Moja ya top 5 ya yaliyopaswa kuwepo kwenye huo wasifu wake. Labda hao waliondika huo wasifu ndio huchangia wazungu kutuita manyani.
 
Sote tunajua alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi imesemwa? Historia ya marehemu ipo wazi.
Ufisadi sio sifa, labda useme uliwahi kuhudhuria msiba wa jambazi na wakaweka kwenye wasifu kuwa alikuwa jambazi? Acha kupulizia kinyesi perfume.
 
Samia amejaribu kujikongoja kongoja baada ya KO ya Mbowe lakini wapi, ameshindwa kuinuka,ngumi ya kidevu huwa hata nunda hainuki.......
 
Kwa taarifa yako kwenye mambo yaliyotajwa kwenye wasifu wake, kugombea urais na hasa baada ya kupata kura zile, ni Moja ya top 5 ya yaliyopaswa kuwepo kwenye huo wasifu wake. Labda hao waliondika huo wasifu ndio huchangia wazungu kutuita manyani.
Sasa wasifu unafuta historia?
 
Ufisadi sio sifa, labda useme uliwahi kuhudhuria msiba wa jambazi na wakaweka kwenye wasifu kuwa alikuwa jambazi? Acha kupulizia kinyesi perfume.
Hoja hapa ni kuwa historia haifutiki uiseme kwenye wasifu au uiache. Hakuna logic ya makelele yote haya.
 
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Hayo ya kuwafariji wafiwa subiri zamu yako ikifika utawafariji
 
Back
Top Bottom