Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano.

Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa kiherehere wa kupambana na CCM, ni dhahiri atakuwa pia adui wa Mbowe, na atakuwa adui wa CHADEMA ya Mbowe.

Mbowe aliyasifia sana maridhiano, na kwamba maridhiano yake na Samia yalifuta mabaya yote ya CCM ya Hayati Magufuli.

Hii ina maana kuwa kama Mbowe atajibakiza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, watakaokuwepo ndani ya CHADEMA, watatakiwa kuwa makini sana. Wakijifanya viherehere wa kupambana na CCM, si ajabu CHADEMA yenyewe itashiriki kuwakabidhi mikononi mwa vyombo vya CCM.

Kwa maoni ya Mbowe, ni dhahiri amekwisharidhika na hapo ilipofikia CHADEMA, na bila shaka CHADEMA itakuwa ikitumika kuuhadaa Ulimwengu kuwa Tanzania ina demokrasia ya vyama vingi, ili kuendelea kuvuta pesa za wafadhili, wakati kiuhalisia, nchi ipo kwenye mfumo wa chama kimoja.

UJUMBE MUHIMU:
Viherere wa kujifanya mnapambana na CCM wakati mpo ndani ya CHADEMA, muwe makini. Hiyo itakuwa ni sahihi na kumsema vibaya Rais wa nchi ukiwa kwenye kituo cha polisi.

Baada ya uchaguzi, tarajieni kuongezeka kwa safari za Mbowe kwenda Ikulu ili kupanga mikakati ya uchaguzi wa mwakani.

Kinahitajika chama cha upinzani kitakachopambana na CCM na vyama rafiki wa CCM. Baada ya CCM kufanikiwa kuipata CHADEMA, vile vyama 14 rafiki wa CCM vitapewa uzito mdogo sana.
 
Mbowe kosa lake ni kuendelea Kuwa mwenyekiti au kosa lake ni kuwauza watu Kwa Ku-fake struggle.

Ni watu wajinga pekee ndo waliokuwa wanaumini mbowe na chama chake Kama mpinzani halisi.

Ikiwa ndo mmegundua hili jambo sasa hivi pole Sana.
 
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia la siasa za kibongo
 
1. Kibao pole kwa mateso makali kabla hujauawa mzee mstaarabu.
 
Mbowe anasahau kuwa Ccm,Magufuli na Samia wote ni kitu kimoja na hawajui ccm vizuri. Asifikiri Samia anafurahia kumsema vibaya Magufuli mtu aliyeaminiwa na kamati kuu ya ccm na Tiss kuwa rais wa Tanzania. Hata wabunge wa bunge la ccm ya leo ni kwa hisani ya Magufuli.Samia anamchora tu Mbowe.
 
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano.

Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa kiherehere wa kupambana na CCM, ni dhahiri atakuwa pia adui wa Mbowe, na atakuwa adui wa CHADEMA ya Mbowe.

Mbowe aliyasifia sana maridhiano, na kwamba maridhiano yake na Samia yalifuta mabaya yote ya CCM ya Hayati Magufuli.

Hii ina maana kuwa kama Mbowe atajibakiza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, watakaokuwepo ndani ya CHADEMA, watatakiwa kuwa makini sana. Wakijifanya viherehere wa kupambana na CCM, si ajabu CHADEMA yenyewe itashiriki kuwakabidhi mikononi mwa vyombo vya CCM.

Kwa maoni ya Mbowe, ni dhahiri amekwisharidhika na hapo ilipofikia CHADEMA, na bila shaka CHADEMA itakuwa ikitumika kuuhadaa Ulimwengu kuwa Tanzania ina demokrasia ya vyama vingi, ili kuendelea kuvuta pesa za wafadhili, wakati kiuhalisia, nchi ipo kwenye mfumo wa chama kimoja.

UJUMBE MUHIMU:
Viherere wa kujifanya mnapambana na CCM wakati mpo ndani ya CHADEMA, muwe makini. Hiyo itakuwa ni sahihi na kumsema vibaya Rais wa nchi ukiwa kwenye kituo cha polisi.

Baada ya uchaguzi, tarajieni kuongezeka kwa safari za Mbowe kwenda Ikulu ili kupanga mikakati ya uchaguzi wa mwakani.

Kinahitajika chama cha upinzani kitakachopambana na CCM na vyama rafiki wa CCM. Baada ya CCM kufanikiwa kuipata CHADEMA, vile vyama 14 rafiki wa CCM vitapewa uzito mdogo sana.
Mimi nachojua ccm ina serikali inayodhurumu wakulima,Wazee na wafanyakazi
1.Wakulima hawana soko
-Wakulima.wamekopwa.msimu.unaanza hawajalipwa
-Wakulima wameletewa mbegu feki na mbolea feki
-Ccm ni chama chetu cha uchaguzi
2.Wazee hawapewi stahiki zao kazi wanaishia kufa kwa stress
-Wazee hawana mtetezi na ndo wapiga kura maarufu
3.Wafanyakazi hawana likizo ya malipo
-Hawana chama wafanyakazi huru isipokuwa yote ni matawi yetu ccm kikiwa imara anapandikizwa kada
-Wafanyakazi wanatoka michango inakopwa.na.mafisadi ya siasa
-kimekuwa chama cha kuvizia uchaguzi
-Akajifanya kazi ya ziada halipwi anatumwa site kwa mikopo usio na mafungu
-Chama chetu pendwa kwa ujumla hakipendi wananchi wake na ni chama kimekomaa kwa chuki ndo maana kila wakifanya mradi mingi sana inafeli sababu ya chuki kila Kona,hakuna cha nani wala yuke tuko humohumo.
Wacha tuishie humuhumu.
Hata hao wakubwa hakuna kitu ni shida,sababu wametibua madereva wa IT toka kulipwa milioni sasa wanapewa laki Moja.
Hakuna mwenye nafuu wote ni mwendo wa kwata tuu
 
Tapeli lile tangu liumie kipindi kile baada kufakamia mikonyagi likasingizia mambo mengine nililiona la ovyo, tukio la jana ndio nimeliona zero brain kabisa
 
Mbowe kosa lake ni kuendelea Kuwa mwenyekiti au kosa lake ni kuwauza watu Kwa Ku-fake struggle.

Ni watu wajinga pekee ndo waliokuwa wanaumini mbowe na chama chake Kama mpinzani halisi.

Ikiwa ndo mmegundua hili jambo sasa hivi pole Sana.
Mbowe ni mpinzani haswa, ulitaka afanye nini cha zaidi. Kama ni maandamano ameitisha sana lakini wewe hukuwahi kujitokeza kumuunga mkono. Ulitaka afanye nini zaidi, hebu tuanzie hapo kwanza.
 
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano.

Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa kiherehere wa kupambana na CCM, ni dhahiri atakuwa pia adui wa Mbowe, na atakuwa adui wa CHADEMA ya Mbowe.

Mbowe aliyasifia sana maridhiano, na kwamba maridhiano yake na Samia yalifuta mabaya yote ya CCM ya Hayati Magufuli.

Hii ina maana kuwa kama Mbowe atajibakiza kuwa mwenyekiti wa CHADEMA, watakaokuwepo ndani ya CHADEMA, watatakiwa kuwa makini sana. Wakijifanya viherehere wa kupambana na CCM, si ajabu CHADEMA yenyewe itashiriki kuwakabidhi mikononi mwa vyombo vya CCM.

Kwa maoni ya Mbowe, ni dhahiri amekwisharidhika na hapo ilipofikia CHADEMA, na bila shaka CHADEMA itakuwa ikitumika kuuhadaa Ulimwengu kuwa Tanzania ina demokrasia ya vyama vingi, ili kuendelea kuvuta pesa za wafadhili, wakati kiuhalisia, nchi ipo kwenye mfumo wa chama kimoja.

UJUMBE MUHIMU:
Viherere wa kujifanya mnapambana na CCM wakati mpo ndani ya CHADEMA, muwe makini. Hiyo itakuwa ni sahihi na kumsema vibaya Rais wa nchi ukiwa kwenye kituo cha polisi.

Baada ya uchaguzi, tarajieni kuongezeka kwa safari za Mbowe kwenda Ikulu ili kupanga mikakati ya uchaguzi wa mwakani.

Kinahitajika chama cha upinzani kitakachopambana na CCM na vyama rafiki wa CCM. Baada ya CCM kufanikiwa kuipata CHADEMA, vile vyama 14 rafiki wa CCM vitapewa uzito mdogo sana.
Mbowe ni ccm
 
Viongozi wa CCM B wanaotuzuga kuwa ati ni Wapinzani
Watoto wa Mama.jpg
 
Kumbe ndio maana wasiojulikana hawakamatwi🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mbowe ni mpinzani haswa, ulitaka afanye nini cha zaidi. Kama ni maandamano ameitisha sana lakini wewe hukuwahi kujitokeza kumuunga mkono. Ulitaka afanye nini zaidi, hebu tuanzie hapo kwanza.
Mandamano yanayoitishwa na mtu ambaye upande mmoja yupo Serikalini, upande mmoja yupo upinzani, mtakamatwa wote, halafu kesho yake yeye yupo huru, wewe unafia mahabusu, au unapotezwa.

Kuweza kuandamana, tena dhidi ya Serikali zetu hizi dhalimu, ni kujitoa mhanga, na ili mtu kujitoa mhanga, ni lazima wote muaaminiane na muamini kuwa mpo pamoja. La sivyo, wengine wanakuwa ni wa kuwasindikiza wenzao kwenye mateso, halafu baada ya hapo wanaenda kuzungumza na wadhulumaji wenu namna ya kuwakomesha.
 
Back
Top Bottom