Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

kupiga nchi sio kitu kidogo ndugu, kuna maumivu na liabilities nyingi, na kuna allies wa dui yako pia, ukifanya mchezo vita inaweza kuwa ya muda mrefu, ni muhimu kuwa makini kama israel alivyo.
Iran atapotea ni suala la muda, unapopigana na jeshi lenye ndege bora, na nuclear hakuna namna ambavyo unaweza kushinda vita. Vita ni vita nchi moja ikizidiwa lazima tactical nuclear bomba zitumike.
 

View: https://x.com/insiderworld_1/status/1816215358384013721?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kumbe Israel ina marafiki zake WA KIARAB?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…