Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just imagine how CCM are destroying our beautiful Tanzania. They are now killing our people with bombs. Shit!!I am very sad to agree with this and some of what we he said. Just llok at how many Bastards we have in Tanzania. Just look at how many polygamists we have in Tanzania, what for! Cruel but true!
mbona ndivo ilivo-hotuba ya Botha kwangu ni changamoto na sio dhihakaDuh...hii balaa. Lakini je anaweza kuwa sahihi hapa chini? Hasa ukiangalia mikutano ya kikwete na watu wanavyojipanga huku? Pia hili swala zima la ufisadi hasa ukiangalia watu kama Chenge? Na pia hizi takrima wakati wa uchaguzi?
"Secondly, most Blacks are vulnerable to money inducements. I have set aside a special fund to exploit this venue. The old trick of divide and rule is still very valid today. Our experts should work day and night to set the Black man against his fellowman. His inferior sense of morals can be exploited beautifully. And here is a creature that lacks foresight. There is a need for us to combat him in long term projections that he cannot suspect. The average Black does not plan his life beyond a year: that stance, for example,should be exploited."
😱 I wonder % ya 'wazungu' wengine wanatufikiriaje na wao na maskendeli yetu kila kukicha as if "weusi" ni 'vichwa' vya wendawazimu!!!!
Umeathirika na fikra za kitumwa. Pole sana!...Sometime inatubidi tukubaliane na ukweli huyu jamaa alikuwa bonge moja mbaguzi lakini alichokisema hapo kuhusu watu weusi ni ukweli ingawaje alisema kwa chuki yake dhidi yetu,huwezi amini mpaka leo nchi kama tanzania bado inaagiza sindano toka nje ni aibu gani hii? wala rushwa ndiyo usiseme, wenzetu wa Asia tulioanza nao wamesha tupita miaka mingi tu nyuma! Ushauri wangu mimi ni kuwa tuwarudishe tena tu wazungu watutawale mana ndio pekee wanaoweza kuigeuza Dar kuwa London.TUMESHINDWA.
Botha alikuwa sahihi 100%... Kwa mfano hapa Tz, ccm wanatufanyia mabaya yote, kadiri wapendavyo lkn sisi waTz tupo kama mazuzu tunawaangalia tu, tunaogopa kuwachukulia hatua stahiki yani sisi waTz ni wapuuzi sana.
Jk aliahidi mambo zaidi ya 100 lakini mpaka sasa hata 10 tu hajafanya, na bado tunamuangalia na kumuacha aendelee kututawala, na sasa amezidi kuzurura, anazurura kadiri apendavyo na hatuna cha kumfanya...
Hii serikali, inafika paali inatoa kauli kuwa kuanzia sasa polisi ni ruksa kuua wananchi, lkn bado sisi wananchi tunaendelea kuwachekea tu hawa watu..
We are good in nothing.
Ili sio swala mtu binafsi kuchukua hatua ni watanzania wote kwa ujumla.
.
.
.
.
.
.
.
By
now every one of us has seen it
practically that the Blacks cannot
rule themselves. Give them guns
and they will kill each other........
...........
dah.......kweli sana,cheki operation tokomeza ujangili,