Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumbai son,do you know what was the constructive engagement policy?
White citizens, do not take to heart what the world says, and don't be ashamed of being called racists. I do not mind being called the architect and King of Apartheid. I shall not become a monkey simply because someone has called me a monkey. I will still remain your bright star...His Excellency Botha.
This is just a hoax...Botha hakuwahi kutoa hiyo speech,iko siku nyingi tuu all over the net.
UKWELI UNATESA NA DAIMA HAUTAFUTIKA
"By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence"
Nikiitazama selikali yetu ya CCM hakika inatupeleka pabaya kwa yafuatayo(Baadhi)
1. Hivi kweli no way yakutafuta vyanzo vingine vya mapato bali ni Sigara, pombe, soda? (Kwa nini nimsiongezi kodi ya mahoteli yaliyo mengi kandokando ya bahari hindi? Au kwa vile ni yenu?
2. Inakuwaje muwe mnapiga makelele tu bungeni(CCM) na tena kwa kenjeri kwa mambo ya maana kabisa kwa wananchi walio wengi mnayapinga ili kubebena kwa masilahi yenu binafsi?
3. Hamtaki hata siku moja reli ya kati ifufuke ili muendelee kusafirisha mizingo na watu kwa kutumia magari yenu? Hii ni kweli ili uwe tajiri lazima uwe kigogo CCM au serikalin kama siyo uisupport CCM!!
4. Mumehujumu ndenge za wananchi ili ndenge zenu zitumike kusafirishia mizingo na nynyi mfaidike. Hii siyo lazima uimiliki ndenge kwa aslimia 100 bali wengi wenu mmewalizamisha wawekezaji na nyinyi mwe na hisa!!
5. Hivi ni vegezo gani vilitumika kuzigawa campas za UDSM kama siyo siasa na nyinyi kupeana mashavu ili mtawale vizuri??
6. Wazungu wamewarubuni na kuwalazimisha mliondoe somo la historia mashuleni ili wadogo zetu na watoto wasijue historia ya nchi yao na ubaya wa hawa mnaoenda kuomba msaada kwao-Siasa za CCM na serikari yake ndo zimetufikisaha hapa
7. Elimu ya degree sasa haina thamani tena kwa sababu ya wendawazimu wetu(Laana hii alitupa Mwinyi), Mimi sikatai mtu asisome sana lakini si kunamitihani jamani serikari na mtu akifauru si ndiyo anatakiwa kuendelea na aliyefail kutafuta njia nyingine ya kujiendeleza, au mimi uelewa wangu ni mdogo kitu ambacho sikiamini!! Hii yote mmeifanya nyinyi ili vyuo vyenu vipate pesa na nyinyi kuneemeka na bodi ya Mikopo. Sasa mmeshiba hamtaki tena bodi itoe 100 asilimia hata kwa watoto yatima!!!!
8. Mlivipeleka wapi viwanda vyetu vilivyokuwa vyanzo vikubwa vya mapato??-Hii itabidi tumuulize Mkapa anayejiita Mtaalamu wa utandawazi na huku nchi yake ni Masikini
9. Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini watanzania wengi wanatumia simu za kichina na tena hazina ubora, hazidumu! ni nani hasa anaziingiza Tz??
10. Na kwa nini Dar Es Salaam watu wananjenga ovyovyo na selikari ya CCM haichukui hatua yakinifu ya kutatua tatizo hili?? Jibu ni dogo sana hapa ni Haithamini kizazi kichanga na kijacho.
Haya kumi yanatosha kwa leo, lakini jiulize, Kwa nini CCM wanateteana sana pale masilahi yao yanapoonekana kuguswa?? Kwa nini serikari haihimizi watu kupanda miti na huku inaona miti inavyoteketezwa na wengi waliomasikini, Madhara yake ni makubwa sana kwa kizazi kichanga na kijacho??
Na hii ndiyo maana ya sisi kuwa Low material of white Man
Sory kwa wataalamu wa kiswahili naweza kuwa nimekosea kuweka maneno vizuri
MNAHUJUMU INCH KWA MANUFAA YA KIZAZI CHENU-MUNGU HAPENDI HAYA NA ATAWAADHIBU
By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?
Hivi polisi chini ya utawala wa watu weusi (ANC) wanavyowaua watu weusi wenzao kwa kuwapiga risasi kweli utasema kwamba Botha alitabili uongo? Angalia wanavyoshindana kuua, kuoa, kuibiana, kudharauliana, nk, na hapa Tanzania ndio usiseme maana wakoloni waliondoka hata hawajui kama kuna msitu unaitwa MABWEPANDE! Kweli Botha aliongea maneno makali lakini siyo uongo, tafakali!
Moja ya kauli ya kaburu Botha wa Afrika Kusini karibu mwishoni mwa utawala wa kibaguzi kusambaratika, alisema nukuru inayofuata:
Kauli hii ukiiangalia kwa makini je, kuna ukweli fulani au tumwelewe alikuwa na dharau kwa waafrika? Ni matatizo gani yanayosababisha nchi nyingi za kiafrika kutopiga hatua za kasi kimaendeleo licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa mali asili? Ni ukweli kwamba watu weusi wakishapata nafasi huishia kufurahia maisha ya anasa, kuoa wake wengi na kujihusisha na ufuska? Ni kweli tu wavivu? Ni kweli hatuna upeo wa kuona mbali?
Tujadili