Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Botha speech 1985:

By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other.
...
Huyu jamaa aliamua tu kuacha unafiki wa wazungu wenzake na kuwageuka kwa kusema ukweli.
Congo DRC, Uganda Lord's resistance army, Cote d'ivoire, Sudan, former Angolas UNITA and Mozambican RENAMO, Guinea, n.k, n.k.
Silaha zilitoka wapi?
 
Hakuna mzungu anayekuja kupigana kwa nchi za blacks, hakuna nchi ya kizungu inayoleta majeshi kuipiga nchi ya blacks.
Wanawatumia blacks kutimiza haja zao kama condom.
Tizama kwa waarabu lazima waende physically wapigane na wanauawa kwa sababu approach on blacks will never work on arabs.
 
Unafikiri makaburu wasingeenda south Afrika ingekuwa kama ilivyo sasa? Sisi waafrika hatutaki kujua mapungufu yetu na kujisahihisha. Mpaka sasa bado ni tegemeze hadi wanatupa masharti ya ushoga kwenye misaada. Tatizo letu hatutaki kufikiri. Mtu yeyote hawezi kumtawala mtu mwenye akili, mtu mjinga ndio anayetawaliwa. Nimezungumza mara nyingi sana juu ya ignorance humu jamii forum. Wewe unafikiri nchi kama israeli ingekuwa ina nchi kama hii ingekuwaje? Tubadilike sasa na tuanze kufanya juhudi kukomboa taifa letu na kuleta heshima yetu rafiki yangu.

Ukweli unauma. na wasemao uongo wanakubalika kuliko wasemao ukweli.
 
Ukweli unauma. na wasemao uongo wanakubalika kuliko wasemao ukweli.
Mimi nafikiri it is our call now wakati wazungu wakijiingiza sana katika masuala ya starehe sisi kufanya juhudi kizazi hadi kizazi kujikomboa.
 
What can you do to prove Botha wrong?
That he is a hater!

Sina haja ya kumprove wrong wakati sikubaliani na analysis ama conclusins zake!Kwanza tayari yuko bias kwa ajili ya hiki kipande na vinginevyo...

Najuwa kusoma btn the lines na kwahiyo ninafahamu what to approve and what not to.Hiyo ni regardless to whether if i was either black or white.

We do not pretend like other Whites that we like Blacks.
Sasa kama tayari ameshatanguliza kwa kusema hawapendi blacks,unategemea analysis yake itakuwa fair?
Labda kwa wenye kufukiri kama ninyi!
 
Unafikiri makaburu wasingeenda south Afrika ingekuwa kama ilivyo sasa? Sisi waafrika hatutaki kujua mapungufu yetu na kujisahihisha. Mpaka sasa bado ni tegemeze hadi wanatupa masharti ya ushoga kwenye misaada. Tatizo letu hatutaki kufikiri. Mtu yeyote hawezi kumtawala mtu mwenye akili, mtu mjinga ndio anayetawaliwa. Nimezungumza mara nyingi sana juu ya ignorance humu jamii forum. Wewe unafikiri nchi kama israeli ingekuwa ina nchi kama hii ingekuwaje? Tubadilike sasa na tuanze kufanya juhudi kukomboa taifa letu na kuleta heshima yetu rafiki yangu.
Crap!Wazungu wako walivyo kwasababu waliambiwa mapungufu yao na waafrika?

Hata kama umechoshwa na mambo ya viongozi wa Afrika na utendaji wao,still this aint the way to go!

Solution yao with this mentality ni kukurudisheni utumwani...Ndo raha yako?
 
Huyu jamaa alikuwa mbaguzi wa hali ya juu. Mtanzania na mwafrika kwa ujumla anayemkubali huyu jamaa ana matatizo.
 
Maneno haya yamenikera sana

"the fact that, Blacks look like human being ana ack like a human beings do not necessary make them sensible human".
 
Maneno haya yamenikera sana

"the fact that, Blacks look like human being ana ack like a human beings do not necessary make them sensible human".
Kuna watu hawana akili timamu kabisa.Wana upungufu mkubwa wa kutisha wa akili hadi inashangaza kabisa.

Kwanza mtu hata haamini kama wewe ni binadamu,kwahiyo unapomwamini na wewe tayari ni kama una amini wewe si binadamu.Hilo tayari ni tatizo...Tena ndilo tatizo kubwa sana.

Mahali kama marekani,weusi wakisikia mambo kama haya tena watasikitishwa sana!Tena vile wanaamini kuwa weusi waliobaki Afrika ndio waliowauza huko USA,na hivyo wana hasira na waafrika kiaina.Na kwa akili kama za wengine humu kwenye huu mjadala.Nina amini kabisa wanaweza kuwauza wenzao kwa mzungu kama mzungu akihitaji kwa namna ile aliyokuwa akifanya.

Ukishaamini kuwa wewe ni less of a human,mimi ninaye amini kuwa ni a sensible human being, sina haja ya kujadiliana nao.
 
Botha ni hater... yes.
Ni racist yes... but so are most if not all whites. His mistake is jolting forward and being honest of his feelings.
Si kuwa namshabikia.
Alichokisema Botha ndo fikra za kila mzungu.
Lazima sisi blacks tufanye kitu ili hizi fikra potofu za kibaguzi ziondoke akilini mwa wazungu.
Unafikiri mzungu yeyote anayeijua Tanzania vizuri ana impression gani na watanzania?
 
Kwanza mtu hata haamini kama wewe ni binadamu,kwahiyo unapomwamini na wewe tayari ni kama una amini wewe si binadamu.Hilo tayari ni tatizo...Tena ndilo tatizo kubwa sana.
Ukishaamini kuwa wewe ni less of a human,mimi ninaye amini kuwa ni a sensible human being, sina haja ya kujadiliana nao.
Sikubaliani na kila alichosema Botha juu ya blacks.
Mengine yalikuwa driven na hate.
Na ni matusi ya hadharani
na mengine ni ukweli mtupu na hakuna black awezaye kupinga.
Analyse critically hii speech ya Botha.
 
Kufurahia hotuba ya Botha ni ujinga!
Hakuna mweusi anayefurahia.

Some of the things he said are painfully truth jmushi.
Give them guns and they will kill each other.
They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex...
most Blacks are vulnerable to money inducements. I have set aside a special fund to exploit this venue. ..
The old trick of divide and rule is still very valid today. Our experts should work day and night to set the Black man against his fellowman.
His inferior sense of morals can be exploited beautifully...
The average Black does not plan his life beyond a year..
As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman...
Hebu jaribu kupitia kwa makini hiyo mistari ya kaburu Botha.

Ipi analysis yako?
 
Hatuwezi kumzuia huyu Bwana Kuzoza alivyozoza mizozo yake ..KWANI ..has already done so and its the past! Sina hakika kama wao waliamua kuzaliwa hivyo na sisi tuliamua kuzaliwa kwa rangi zote! Hayo tunaweza kuachana nayo kwa sasa!

Nachukulia kuwa kama ambavyo wanyama wapo ili kumfanya mwanadamu OBJECTIVELY ajitambue kuwa yeye si myama na nizaidi ya hapo kwahiyo lazima apambane kuudhihirisha Ubinadamu na Utu wake dhidi ya Unyama wa Mnyama ...Vilevile ..Hoja Kama ya PWB .. Ipo na nyingi kama hizo zipo na zitakuwepo .. ILI ... kutafanya waafrika KUWAONYESHA hao kina PWB et al, kwamba ..They are deadly Wrong ...!!
 
..They are deadly Wrong ...!!
How long not long
avatar8472_2.gif
Hebu cheki avatar yako alaf jibu ni lini.......
 
Hah hah hah ... Mkuu Nafikiri tunaelwana!!! Niruhusu swali lako nilijibu baadae...nisubirie mawazo ya wakubwa wengine!!
Mimi ni mwafrika lakini mtu hawezi kukubagua bila sababu ya msingi, ukibaguliwa jiulize kwanini unabaguliwa? Unajua utumwa umetusaidia sana kuwa na akili tuliyonayo sasa hivi? ama sivyo tungiendelea kuwa na vijumba vyetu vya udongo porini lakini sasa hivi tunauwezo wa kujikomboa zaidi kwa kufanya kazi na kujishughulisha katika kutafuta maarifa na uvumbuzi. Embu tembea barabarani angalia ni vitu vingapi vimegunduliwa na Mwafrika na kurahisha maisha ya binadamu? Mimi nafikiri hutuba yake tuichukulie kama changamoto na kufanya kazi zaidi pamoja na kufikiri ilituwaonyesha wazungu kwamba we are '' capable to revolutionalize the world'' . Mtu mjinga ili umsaidie apate akili ni kumtawala tuuu ili ajikomboe. Makaburi walipoingia south afrika kulikuwa hakuna kitu mapori tuu kama waingereza walivyokuja huku kwetu walituletea mwanga wa maarifa ingawaje in a very painful way.
 
Hah hah hah ... Mkuu Nafikiri tunaelwana!!! Niruhusu swali lako nilijibu baadae...nisubirie mawazo ya wakubwa wengine!!
ahhahaaaaaaa my ribs...
Wil be waiting......
Umesikia wamarekani walivyoshabikia Martian shuttle ya Russia kwenda offcourse.... the first space exploration since the fall of Soviet.
 
ahhahaaaaaaa my ribs...
Wil be waiting......
Umesikia wamarekani walivyoshabikia Martian shuttle ya Russia kwenda offcourse.... the first space exploration since the fall of Soviet.

Sigma ,

Niko tight kidogo lakini ..nimesikia kwa mbali ...like it has crushed? ... hebu nitupie link...!!
 
Back
Top Bottom