Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

Kwa nini umeileta hapa? Unataka kufikisha ujumbe gani hasa kwetu?

Ili ujitambue Barbarosa maana mada zako nyingi unavyo chukia Watu weusi khaswa raisi
Obama Na Michelle.Likaburu botha linafikra Kama zako.
 
Duh! Inauma sana ukitafakari kwakina ujumbe huo na kinachoendelea kwasasa Afrika. Kumbe Boss MUGABE Ndomana anahasira na hawa watu weupe
 
Ukwel ulio waz majority ya wa africa.. huwa hatuna plan wala ratiba hata katika vitu vya msingi. ..

Siku zote sisi watu weusi ni watu wabinafsi wenye roho za kwanin? Visasi, wivu, chuki...umimi, uvivu, uchoyo N. K..

Wapo walio enda mbali zaid huwa wanasema "blacks are half human, half devil"

Ukwel huu alwayz huwa au epukiki ni kwamba ukitaka kuchukua mifano yoyote mibaya case study ni africa.

Hii speech ya botha ilikua ni mwiba mchungu kwa watu weusi..
Kuna muda unaweza ukataman uingie kweny akili ya botha kuona alikua anawaza nn? Au alimaanisha nn?

Kipindi cha mwisho cha uhai wake akiwa hospitalin aliwai ku fwatwa na waandishi wa habar na moja ya maswal waliyo muuliza walimuuliza kama anajutia (regrets)
Kwa yote aliyofanya na kusimamia jibu alilo toa "HAJUTII CHOCHOTE"

NI JUKUMU LETU WATU WEUSI KUWA PROVE WRONG WOTE WANAO TUBAGUA.
JANA TUU NILI KUA NA MDOGO ANGU TUNA IJADIL HISTORIA YA SOUTH AFRICA IT WAS COMPLICATED.

ALIKUA ANASOMA KITABU KINAITWA " Cry, The Beloved Country " by Alan paton.
Tulipata story nying sana za kujadil
WAAFRIKA NANI KATULOGA LABDA TULEJEE MAANDIKO MATAKATIFU.
 
si tuliambiwa hiyo hotuba ilikuwa ya kizushi botha hakusema /andaa maneno hayo
========
sarcasm from Robert Mugabe, makes some senses!
 
Binadam wote ni sawa.....Hii hotuba inaonyesha jinsi gani wazungu wanavyotudharau.Pia waafrika (watu weusi)tunajidhalisha sana,mfano mtu mweusi akioa/akipata mwanamke wa kizungu anaona kama yuko daraja lingine na dada zetu pia wakipata mzungu wanapagawa kabisa.Tunatakiwa tubadilke ktk mindset hawatatusumbua.
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

PW Botha - Hoax 1985 speech

A hoax email is doing the round purporting that the following was a speech by PW Botha.

THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South African newspaper, dated August 18, 1985.

"Pretoria has been made by the White mind for the White man. We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the Blacks that we are superior people. We have demonstrated that to the Blacks in a thousand and one ways. The Republic of South Africa that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expense of intelligence, sweat and blood. Were they Afrikaners who tried to eliminate the Australian Aborigines? Are they Afrikaners who discriminate against Blacks and call them Nigge*rs in the States? Were they Afrikaners who started the slave trade? Where is the Black man appreciated? England discriminates against its Black and their "Sus" law is out to discipline the Blacks. Canada, France, Russia, and Japan all play their discrimination too. Why in the hell then is so much noise made about us? Why are they biased against us? I am simply trying to prove to you all that there is nothing unusual we are doing that the so called civilized worlds are not doing. We are simply an honest people who have come out aloud with a clear philosophy of how we want to live our own White life.

We do not pretend like other Whites that we like Blacks. The fact that, Blacks look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles simply because they look alike. If God wanted us to be equal to the Blacks, he would have created> us all of a uniform colour and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled. Intellectually, we are superior to the Blacks; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that the Afrikaner is an honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being. Nevertheless, it is comforting to know that behind the scenes, Europe, America, Canada, Australia-and all others are behind us in spite of what they say. For diplomatic relations, we all know what language should be used and where. To prove my point, Comrades, does anyone of you know a White country without an investment or interest in South Africa? Who buys our gold? Who buys our diamonds? Who trades with us? Who is helping us develop other nuclear weapon? The very truth is that we are their people and they are our people. It's a big secret. The strength of our economy is backed by America, Britain, Germany. It is our strong conviction, therefore, that the Black is the raw material for the White man. So Brothers and Sisters, let us join hands together to fight against this Black devil. I appeal to all Afrikaners to come out with any creative means of fighting this war. Surely God cannot forsake his own people whom we are. By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is the symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible? therefore that the White man is created to rule the Black man? Come to think of what would happen one day if you woke up and on the throne sat a Kaff*ir! Can you imagine what would happen to our women? Does anyone of you believe that the Blacks can rule this country?

Hence, we have good reasons to let them all-the Mandelas-rot in prison, and I think we should be commended for having kept them alive in spite of what we have at hand with which to finish them off. I wish to announce a number of new strategies that should be put to use to destroy this Black bug. We should now make use of the chemical weapon. Priority
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Hotuba ya aliyekuwa Rais wa
Afrika ya Kusini ya Makaburu, P.W. Botha
alipolihutubia Baraza lake la
Mawaziri.

Hotuba hii iliyochapishwa
katika gazeti la SUNDAY TIMES la
nchini humo toleo la Agosti 18,
1985,

“Kaka zangu na dada zangu,
Pretoria imetengenezwa na watu
weupe kwa ajili ya watu weupe na
hatuna haja ya kuuthibitishia
umma au kumthibitishia mtu
mweusi kuwa sisi ni watu bora,
tumekuwa tukiwaambia watu
weusi jambo hili kwa njia elfu.

Afrika ya Kusini ya leo
haikutengenezwa katika mawazo
ya kawaida, tumeitengeneza kwa
kutumia akili nyingi, jasho na
damu. Mnaposema kuwa
tunawabagua watu weusi sielewi,
Hivi ni Makaburu ndio waliojaribu
kusitisha kizazi cha Waaborigini
wa Australia? Je, ni Makaburu
waliowatenga na kuwanyanyasa
watu weusi Marekani kwa kuwaita
niggaz? Je, ni Makaburu ndio
waliowatenga na kuwanyanyasa
watu weusi huku Uingereza kwa
kuwatungia sheria za
kuwakandamiza? Kanada,
Ufaransa, Urusi na Japani nao
wana njia zao za kibaguzi. Hivi
kwa nini hasa kuna kelele nyingi
dhidi yetu? Huu ni uendawazimu!
Kwa nini wanatukaba koo kiasi
hiki? Hawatutendei haki hata
kidogo.

Nataka kuwaeleza kuwa hakuna
kibaya tunachokitenda hapa
ambacho hao wanaojiita wako
katika dunia ya ustaarabu
wameacha kukifanya. Sisi ni watu
wema tusio na hatia na ambao
tumeweka wazi mfumo wa maisha
tunayotaka tuishi kama watu
weupe. Sisi sio wanafiki kama
wazungu wenzetu wafanyao kama
kwamba wanawapenda watu
weusi.

Ukweli kuwa watu weusi
wanafanana na binadamu na
kutenda mambo kama binadamu
hauhalalishi wao kuwa watu wenye
akili timamu au binadamu
waliotimia. Kanunguyeye si
nungunungu na mijusi hawawezi
kuwa mamba eti kwa sababu tu
wanafanana. Kama Mungu
angelitaka tufanane na watu weusi
angetufanya sote tuwe na rangi na
fikra sawa. Lakini alituumba
tofauti: Weupe, Weusi, Wanjano,
watawala na watawaliwa. Katika
upeo sisi ni bora kuliko watu weusi
na hilo halina ubishi kwani
limejidhihirisha kwa miaka mingi
iliyopita. Naamini kuwa Kaburu ni
mtu safi, mwenye hofu na Mungu.
Ni mtu ambaye ameonesha kwa
vitendo njia sahihi ya utu.

Hata hivyo, inafurahisha kuona kuwa
Ulaya, Marekani, Kanada, Australia
na wengine wengi wako nyuma
yetu achilia mbali maneno yao.
Kuhusu uhusiano wa kidiplomasia,
sote tunafahamu lugha
invyotakiwa kutumika. Na kwa
ushahidi ulio wazi hivi kuna mtu
hapa asiyejua kuwa nchi nyingi za
Ulaya zinatamani kuja kuwekeza
Afrika ya Kusini? Nani anayenunua
dhahabu yetu? Nani anayenunua
almasi yetu? Nani anafanya
biashara nasi? Nani anatusaidia
katika kuendesha silaha za
nyuklia? Ukweli ni kwamba sisi ni
watu wao na wao ni watu wetu.
Hii ni siri kubwa.

Nguvu ya uchumi wetu inajengwa
kwa kiasi kikubwa na Marekani,
Uingereza na Ujerumani. Ni jambo
kubwa sana hili na kwa maana
hiyo, mtu mweusi ni malighafi kwa
mtu mweupe. Hivyo basi, kaka na
dada zangu hebu tuungane
kumpiga vita huyu shetani mweusi.
Napiga mbiu kwa Makaburu wote
kujitokeza kwa hali na mali
kupigana vita hii. Hakika Mungu
hawezi kuwatupa watu wake
ambao ni sisi.

Hadi sasa imeonekana kwa vitendo
kuwa watu weusi hawawezi
kujitawala. Wape bunduki kama
hawataanza kuuana. Hawana
lolote jema isipokuwa mashujaa
wa kupiga kelele, kucheza ngoma,
kuoa wanawake wengi na kupenda
sana ngono
. Hebu sasa tukubali
kuwa mtu mweusi ni alama ya
umaskini, udumavu wa akili, uvivu
na kukosa ushindani, Hivi hapo, je,
si kweli kwamba mtu mweupe
aliumbwa ili amtawale mtu
mweusi? Hivi utajisikiaje ukiamka
asubuhi ukamkuta kafiri, yaani
mtu mweusi amekalia kiti cha
utawala? Hivi unajua
kitakachotokea kwa wanawake
wetu? Hivi kuna mtu anawaza
kwamba mweusi ataitawala nchi
hii?

Kwa hiyo tuna sababu nzuri ya
kuwapeleka akina Mandela jela
waozee huko na katika hili
nadhani upo umuhimu wa kupewa
pongezi kwani tungekuwa na
uwezo wa kuwaangamiza lakini
bado wanaishi. Napenda
kuwatangazia mikakati mipya ya
kuwaangamiza hawa watu weusi.
Tutumie sumu kuwamaliza. Kamwe
tusiruhusu idadi ya watu weusi
iendelee kukua vinginevyo
tutakwisha.

Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na
sehemu kubwa ya mzigo wa sumu
na ninawasaka watafiti wengine
zaidi waangalie sehemu murua za
kuitumia sumu hiyo kwa lengo la
kuwaangamiza watu weusi.
Sehemu nzuri za kuwaangamizia
kwa sumu ni hospitalini na pia
katika usambazaji wa chakula
inaweza kutumika. Tumetengeneza
sumu inayoua taratibu na
kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini
hofu yetu ni kwamba itakuwaje
kama sumu hiyo itaangukia
kwenye mikono yao. Hata hivyo,
tunafanya kila tuwezalo
kuhakikisha kuwa sumu hiyo
inabaki katika himaya yetu.

Pili, watu weusi wanapenda sana
pesa kwa hiyo tunaweza kuwatega
kwa njia hiyo. Wataalamu wetu,
wanalifanyia kazi suala hilo ili mtu
mweusi amchukie mtu mweusi
mwenzake. Hawana upeo wa
kufikiri na huyo ndiye kiumbe
dhaifu kisicho na akili ya kuona
mbali. Kuna umuhimu mkubwa wa
kupanga mambo hayo yaendelee
kwa muda mrefu ili wasibaini
kinachoendelea. Kwa kawaida mtu
mweusi hapangi mikakati inayozidi
kipindi cha mwaka mmoja. Na
hapa napenda niwaombe akina
mama wote wa kikaburu wazae
kwa fujo kusudi kuongeza idadi
yetu. Litakuwa jambo la maana
pia kama kutatengwa vituo
maalumu ambako vijana wa kike
na wa kiume watakaa na serikali
kuwawezesha kuzaa kwa idadi
kubwa iwezekanavyo ili kuongeza
idadi yetu.

Wakati hilo likiendelea, lazima
tuwabane watu weusi waachane
na wake zao. Ninayo kamati
inayoratibu na kuangalia njia nzuri
ya kuwafanya watu hawa
wachukiane na wauane wenyewe
kwa wenyewe. Adhabu kwa mtu
mweusi aliyemuua mtu mweusi
mwenzie iwe ndogo ili kuwapa
hamasa ya kuendelea na mauaji.
Wanasayansi wangu wameshauri
pia kwamba kuna ulazima wa
kuwawekea sumu kwenye pombe,
sumu ambayo itakuwa inawaua
taratibu na kumaliza uwezo wa
kuzaa pia. Njia kama hii na
nyingine zinafananazo na hii
itarahisisha kuipunguza idadi yao.
Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtu
mweusi anampenda sana
mwanamke mweupe.

Hii ni nafasi
nzuri kwetu. Wanawake wetu
warembo wanaotumika katika
mbinu za kuwaangamiza
wapinzani wetu watatumika
kuwaua hao wanaopinga ubaguzi
wa rangi. Hili ni jeshi letu la
mwituni la mapenzi huku tukiwa
na jeshi kama hilo kwa upande wa
wanaume weupe ambao
watawafuata wanawake weusi.
Pia serikali imeagiza malaya
kutoka Marekani na Ulaya kwa ajili
ya kukidhi haja hiyo. Ombi langu
la mwisho ni kwamba wajawazito
wanapozaa hospitalini, watoto
lazima wauawe pindi tu
wanapotoka tumboni. Hatuwalipi
wale wauguzi kwa ajili ya
kutuletea watoto weusi katika
dunia hii bali kuwaangamiza.
Serikali yangu imetenga fungu
maalumu la pesa kwa ajili ya
kujenga hospitali na kliniki kwa
ajili ya kufanikisha mpango huo.
Pesa inafanya lolote na kwa vile
tunazo tuzitumie ipasavyo.

Kwa muda huu, ndugu zangu
weupe, msiyaweke moyoni maneno
yanayosemwa dhidi yetu na wala
msione aibu kuitwa wabaguzi na
wala sijali kuitwa mhandisi na
mfalme wa ubaguzi. Siwezi
kugeuka nyani eti kwa sababu mtu
kaniita nyani. Nitabaki kuwa nyota
inayong’aa ... mtukufu Botha. Leo
naondoa mawingu; kesho
nitajaribu milima"

MWISHO WA NUKUU.

Hapo pekundu Jacob Zuma anahusika
 
II NDIYO MOJA YA HOTUBA MBAYA ZA P. w. BOTHA

Ø Akiri kuwaua kwa weusi kwa sumu
Ø Mweusi ni malighafi ya mweupe
HABARI KAMILI

Hii ni hotuba ya aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, p. w. Botha alipohutubia baraza lake la mawaziri wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo. Katika hotuba hiyo iliyochapishwa na gazeti la “SUNDAY TIMES” la nchini humo toleo la Agosti 18, 1985, Botha anapojigamba eti ardhi hiyo nimali yao na haipaswi kuingiliwa.

Ikumbukwe kuwa katika utawala huo, mtu mweusi aliteswa na kunyimwa haki zake za msingi na alifanywa kuwa kiumbe dhaifu kisichostahili kuishi kwa raha katika nchi hiyo.

“Kaka zangu na dada zangu,Pretoria imetengenezwa na watu weupe kwa ajili ya watu weupe na hatuna haja ya kuuthibitisha umma au mtu mweusi kuwa sisi ni watu bora, tumekuwa tukiwaambia watu weusi jambo hili kwa njia elfu.

Africa kusini ya leo haikutengenezwa katika mawazo ya kawaida, tumeitengeneza kwa kutumia akili nyingi, jasho na damu. Mnaposema kuwa tunawabagua weusi sielewi.

Hivi ni Afrikaners ndio waliojaribu kusitisha kizazi cha Aborigines wa Australia? Je ni Africaners waliotenga na kuwanyanyasa watu weusi Marekani kasikazini kwa kuwaita niggaz?

Je, ni Africaners waliowatenga na kuwanyanyasa watu weusi huko England kwa kuwatungia sheria ya kuwakandamiza? Canada, Ufarasa , Russia, naJapan nao wana njia zao za kibaguzi. Hivi kwanini hasa kuna kelele nyingi dhidi yetu? Huu ni uendawazimu! Kwanini wanatukaba koo kiasi hiki? Hawatundendei haki hata kidogo.

Nataka kuwaeleza kuwa hakuna kibaya tunachokitenda hapa ambacho hao wanaojihita wako katika dunia ya ustaarabu wameacha kufanya. Sisi ni watu wema tusio na hatia na ambao tumeweka wazi mfumo wa maisha ya tunayotaka tuishikama watu weupe.

Sisi sio wanafiki kama wazungu wenzetu wafanyavyo kwamba wanapenda watu weusi.

Ukweli kuwa weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambokama binadamu hayawahalalishi kuwa wao ni watu wenye akili timamu au binadamu aliyetimia. Kanunguyeye si nungunungu na mijusi hawawezi kuwa mamba kwa sababu eti wanafanana.

Kama mungu alitaka tufannane na weusi angetufanya wote tuwe na rangi moja na fikra sawa. Lakini alituumba tofauti, weupe, weusi, wanjano, watawala na watawaliwa. Katika upeo sisi ni bora kuliko weusi na hilo halina ubishi kwani limejidhihilisha kwa miaka mingi iliyopita.

Naamini kuwa Africaner ni mtu safi, mwenye hofu na mungu. Ni mtu mbaye ameonyesha kwa vitendo njia sahihi ya utu. Hata hivyo inafurahisha kuona Ulaya, America, Canada, Australia na wengine wengi wako nyuma yetu achilia mbali maeneo yao.

Kuhusu uhusiano wa kidemokrasia, sote tunafahamu lugha inayotakiwa kutumika. Na kwa ushaidi ulio wazi hivi kuna mtu hapa asiyejua kuwa nchi nyingi za Ulaya zina tamani kuwekeza Afika kusini.

Nani anayenunua dhahabu yetu, nani anayenunua almasi yetu? Nani anafanya bihashara nasi? Nani anatusaidia katika kuendesha siraha za nyukilia? Ukweli ni kwamba sisi ni watu wao na wao ni watu wetu. Hii ni siri kubwa. Nguvu ya uchumi wetu inajengwa kwa kiasi kikubwa na America, Uingereza, na Ujerumani. Ni jambo kubwa sana hili na kwa maana hiyo, mweusi ni malighafi kwa mweupe.

Hivyo basi, kaka na dada zangu hebu tuungane kumpiga vita huyu mweusi. Napiga mbiu kwa Africaners wote kujitokeza kwa hali na mali kupigana vita hii. Kwa hakika mungu hawezi kuwatupa watu wake ambao ni sisi. Hadi sasa imeonekana kwa vitendo kuwa weusi hawawezi kujitawala. Wape bunduki kamahawataanza kuuana.

Hawana lolote jema isipokuwamashujaa wa kupiga kelele,kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na kupenda sana ngono. Hebu sasa tukubali kuwa mtu mweusi ni alama ya umskini,udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani. Hivi hapo je, si kweli kwamba mtu mweupe aliumbwa ili kumtawala mtu mweusi? Hivi utajisikiaje unaamka asubuhi unakuta Kaff*ir amekaria kiti cha utawala? Hivi unajua kitakachotokea kwa wanawake wetu? Hivi kuna mtu anaweza kwamba mweusi ataitawala nchi hii.

Kwa hiyo tuna sababu nzuri ya kuwapeleka akina Mandela jela waozee huko na katika hili nadhani upo umuhimu wa kupewa pongezi kwani tungekuwa na uwezo wa kuwaangamiza lakini sasa wanaishi.

Napenda kuwatangazia mikakati mipya ya kuwaangamiza hawa weusi. Tutumie sumu kuwamaliza.

Kamwe tusirushusi idadi ya watu weusi iendeleekukua vinginevyo tutakwisha. Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na sehemu kubwa ya mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua za kuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuwaangamiza weusi.

Sehemu nzuri za kuwaangamiza kwa sumu ni hospitali na pia katika usambazaji wa chakula inaweza kutumika. Tumetengeneza sumu inayoua taratibu na kupunguza uwezo wa uzazi. Lakini hofu yetu ni kwamba itakuwaje kama sumu hiyo itaangukia mikono yao.

Hata hivi tunafanya kila yuwezalo kuhakikisha kuwa sumu hiyo inabaki katika himaya yetu. Pili, watu weusi wanapendasana pesa kwa hiyo tunaweza kuwatenga kwa njia hiyo. Wataalamu wetu wanalifanyia kazi suala hilo ili mtu mweusi amchukie mweusi mwenzake.

Hawana upeo wa kufikiri na huyo ndiye kiumbe dhaifu kisicho na akili ya kuona mbali.

Kuna umuhimu mkubwa wa kupanga mambo hayo yaendelee kwa muda mrefu ili wasibaini kuwaua. Kwa kawaida mtu mweusi hapangi mikakati inayozidi mwaka mmoja. Na hapa napenda niwaombe kina mama wa ki Afrikaner wazae kwa fujo kuongeza idadi.

STEVE BIKO: ALIYEUAWA WAKATI WA SIASA ZA UBAGUZI AFRIKA KUSINI

Litakuwa jambo la maana piakama kutatengwa vituo maalumu ambako vijana wa kike na kiume watakaa na serikali kuwawezesha ili wazae kwa idadi kubwa iwezekanavyo ili kuongeza idadi yetu. Wakati hilo likiendelea, lazima tuwabane watu weusi waachane na wake zao.

Ninayo kamati inayoratibu na inayoangalia njia nzuri ya kuwafanya watu hawa wachukiane na wauane wenyewe kwa wenyewe. Adhabu kwa mweusi aliyemuua mweusi iwe ndogo ili kuwapa hamasa ya kuendelea na mauaji.

Wanasayansi wangu wameshauri pia kuna ulazima wa kuwawekea sumu kwenye pombe, sumu ambayo itakuwa inawaua taratibu na kumaliza uwezo wa kuzaa pia. Njia kama hii na nyingine zifananazo na hii itawarahisisha kuwapunguza idadi.

Rekodi zinaonyesha pia kuwa mtu mweusi anapenda sanamwanamke mweupe. Hii ni nafasi nzuri kwetu. Wanawake wetu warembo wanaotumika katika mbinu za kuwaangamiza wapinzani wetu watatumika kuwaua hao wanaopinga ubaguzi wa rangi.

Hili jeshi letu la mwituni la mapenzi huku tukiwa na jeshi kama hilo kwa upande wa wanaume ambao watatafuta wanawake weusi. Pia serikali imeagiza Malaya kutoka Marekani na ulaya kwa ajili ya kukidhi haja yao.

Ombi langu la mwisho ni kwamba wajawazito wanapozaa hospitalini, watoto lazima wauwawe pindi tu wanapotoka tumboni. Hatuwalipi wale wauguzi kwa ajili ya kutuletea watoto weusi katika dunia hii bali kuwaangamiza.

Serikali yangu imetenga fungu maalumu la pesa kwa ajili ya kufanikisha mpango huo. Pesa inafanya lolote na kwa vile tunazo tuzitumie ipasavyo.

Kwa muda huu ndugu zangu weupe, msiyaweke moyoni wala msione aibu kuitwa wabaguzi na wala sijali mhandisi wa Mfalme wa ubaguzi.

Siwezi kugeuka nyani eti kwa sababu mtu kaniita nyani. Nitabaki kuwa nyota inayong’aa ….mtukufu Botha.

Leo naondoa mawingu; kesho nitajalibu mlima”.
 
Hiyo mipango waliyonayo juu yetu je tunaichukuliaje wamebadilika.ama adhima yao bado wanayo?
 
Kwa jinsi chama mfu wanavyotapa tapa Tanzania kumchafua rais anatenda haki, wanatamani mtu mweupe mjerumaninarudi nadhani kuna ukweli. Ila Mungu hakuumba matabaka, naamini hata wapinzani wa Tanzania wamerukwa na akili tu.
 
Kuna ukweli mkubwa sana uliosemwa na Botha kwenye hiyo hotuba, machache ni haya…

* Watu weusi hawawezi kujitawala(ukiwapa silaha wanaishia kuuwana)

* Watu weusi wanapenda ngono na wanaume wao wanapenda wanawake weupe.

*Watu weusi wanapenda sana pesa wakati huo huo hawataki kufanya kazi(angalia wanawake wa kiafrika wanavyoona ufahari kuhongwa).

* Watu weusi hawawezi kupanga mipango ya muda mrefu, mipango yao ni ya mwaka mmoja tu.(Angalia siasa zao uone)

* Watu weusi wana uwezo mdogo wa kupambanua mambo .
 
"The only white man you can trust is a dead white man" R.Mugabe
 
Ukweli mchungu ila jamaa kuna mambo aliyoongea ni ukweli kabisa...
Hasa pale aliposema kuwa "kama mungu alitaka usawa kwanini aliumba watu wakiwa tofauti ? Kuanzia rangi, akili mpaka maumbile"
All in all jamaa walitukosea.. !
 
Back
Top Bottom