Hotuba ya Raid Vladmir Putin kuidhinisha kura ya Maoni kutwaliwa kwa Donbass

Hii dunia imejaa uonevu yaani nchi inamega kipande cha nchi nyingine na dunia imeangalia tu bila kusaidia
Mkuu nikuelekeze ilipo Russia uende ukawasaidie NATO na UKRAINE 😂😂😂
 

Attachments

  • FB_IMG_1659248765060.jpg
    60.2 KB · Views: 1
Nazi ni watu waliokuwa wanauwa mashoga na wasagaji, kama kweli Putin anaamini Ukraine ni wanazi hawakupaswa kuwa maadui wao.
 
Inasikitisha sana
Inaweza kusikitisha, lakini kwa hali nchi yetu ilivyo sasa hivi na wananchi wenyewe, ni bora mara mia huyo "mwandishi wa mchongo"; angalau yeye anajishughulisha kidogo.

Hebu nipe mifano ya hivi karibuni Miaka mitano hadi kumi iliyopita) waandishi wa vitabu, au hata makala tu nzito tunaoweza kuwatolea mfano hapa kwetu.
 
Ushoga na usagaji unahusiana vipi na uvamizi wake huko Ukraine??!



Sijaongelea Vita hapo, au kuna neno Vita au nimesema naunga mkono uvamizi? Mimi nampongeza kwa msimamo wake mzuri wa kupinga ushoga na usagaji ni jambo la kupongezwa hili kwani matendo hayo ni miongoni mwa uchafu unaonajisi dunia.
 
Hivi vitabu vyako delivery ya hovyo sana, ambao hamjanunua huyu jamaa si mtu wa kumtumia hela kabla halafu akuletee kitabu
 
Sasa mbona anawavamia "Nazi" Ukraine?
Wanazi ni watu ambao huwa hawakubaliani na ushoga!
Sijaongelea Vita hapo, au kuna neno Vita au nimesema naunga mkono uvamizi? Mimi nampongeza kwa msimamo wake mzuri wa kupinga ushoga na usagaji ni jambo la kupongezwa hili kwani matendo hayo ni miongoni mwa uchafu unaonajisi dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…