goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Nimependa hi hotoba ya mwnaume huyu apepezi machoPutin hataki ushoga wala usagaji . Kwa hili nampongeza sana [emoji635]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa hi hotoba ya mwnaume huyu apepezi machoPutin hataki ushoga wala usagaji . Kwa hili nampongeza sana [emoji635]
Yeye amaedhubutu kukah Chini na kuandika wee umewaza nn katk maisha yako HV vicomment ndio unaweza kuandika acha chuki mwezank siyo wew mvivu wa fikraNani anunue hiyo toilet paper yako nenda kawauzie warusi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Watu jasiri kama huyu wanapungua sana duniani wanabaki waoga na wasiojiamini.Putin abarikiwe
Putin hataki ushoga wala usagaji . Kwa hili nampongeza sana [emoji635]
Mkuu nikuelekeze ilipo Russia uende ukawasaidie NATO na UKRAINE 😂😂😂Hii dunia imejaa uonevu yaani nchi inamega kipande cha nchi nyingine na dunia imeangalia tu bila kusaidia
Kwamba wewe hauna ya kwako?Wewe nikikuomba matako utanipa? Naomba unijibu DM
Fuatilia Containment Policy ya Marekani kuhusu Russia utajua!
Hotuba yake imebeba ujumbe mzito kwa dunia.
Amenifurahisha sana sana! Kwa kitendo cha kuchukia Ushoga na Usagaji nimemkubali.
Naomba Mungu wa Mbinguni awe pamoja naye.
Ni Ukweli usiopingika kuwa Marekani sasa hivi ni Taifa la Kishetani,lengo lake ni kuitawala dunia harafu ilazimishe mataifa mengine kuruhusu Ushoga.
Kama dunia ipo inawezekana Putin ameinuliwa na Mungu kukomesha kiburi cha Marekani na Ulaya yote! Nimefurahia ujasiri alionao Putin,pamoja na kinachoendelea katika uwanja wa vita na kuharibiwa mabomba ya gesi,bado ana ujasiri kama Simba.
Ombi langu kwa Kanisa kabla hamjashabikia Vita mchukue muda kutafakari kwa nini hii vita imetokea?Ni kitu gani kinaenda kutokea baadaye? Russia inapinga ushoga,Ukraine kwa kutumiwa na Marekani inaunga mkono ushoga,vipi hapo?Tafakari vizuri sana!
BARIKIWA SANA PUTIN.
Inaweza kusikitisha, lakini kwa hali nchi yetu ilivyo sasa hivi na wananchi wenyewe, ni bora mara mia huyo "mwandishi wa mchongo"; angalau yeye anajishughulisha kidogo.Inasikitisha sana
Ushoga na usagaji unahusiana vipi na uvamizi wake huko Ukraine??!
Putin anapinga ushoga wa Magharibi.Mwanademokrasia unayeunga mkono Vita vya kishenzi huko Ukraine......unakitia aibu chama chako.
Mag3 Yoda Salary Slip
Hivi vitabu vyako delivery ya hovyo sana, ambao hamjanunua huyu jamaa si mtu wa kumtumia hela kabla halafu akuletee kitabuHOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa Kisovieti, zamani haziwezi kurudishwa, na Urusi ya kisasa haihitaji hii, hatujitahidi kuirejesha kwa hili, lakini Urusi mpya yenye kuongoza mwelekeo mpya wa dunia ni wajibu wetu ulio mikononi mwetu.
Watu wanaoishi katika DPR, LPR, Kherson na Zaporozhye wameamua kuwa raia wetu. Milele na milele!
Tunatoa wito kwa Kyiv kuja katika meza ya mazungumzo tujadili mstakabali mpya wa Ukraine, lakini hatutajadili uamuzi huu uliofanywa na watu wa Donbass, Urusi haitasaliti watu hawa daima. Tutailinda ardhi yetu mpya kwa njia zote. Tutaijenga upya miji na majiji yote yaliyoharibiwa. Tutaendeleza biashara, miundombinu, mifumo ya afya. Tutalinda maadili yetu na Nchi yetu ya Mama Russia dhidi ya Magharibi.
Magharibi wanataka kutuona kama koloni, umati wa watumwa wasio na roho. Kwao, tishio la moja kwa moja ni falsafa yetu, ndio maana wanaingilia wanafalsafa wetu. Nawaeleza wazi kwamba, "utaratibu wa msingi wa utawala wa sheria" uliopendekezwa na Magharibi ni "upuuzi". Wasomi wa Magharibi daima wamekuwa na tabia na fikra za wakoloni dhidi yetu.
Vikwazo havitoshi kwa Anglo-Saxons, walibadilisha hujuma, kwa kweli walianza kuharibu miundombinu ya Ulaya, hii ni miundombinu yetu, lakini ni uhai wa Ulaya, Tunaamini ni ugaidi wa Marekani, Tutalishughulikia hili kigaidi kwa sheria za kimataifa. Marekani inaikalia Ulaya leo hasa Ujerumani, Korea na Japan, lakini inazungumza kuhusu haki sawa nazo. Pesa za karatasi (dola na euro) haziwezi kulisha watu wetu. Marekani inajaribu kuchukua kila kitu kwa kiburi na usaliti, inadanganya bila kujali kama Goebbels.
Ninataka mamlaka ya Kyiv na mabwana wao halisi huko Magharibi wanisikie, ili kila mtu akumbuke hili: Watu wa Donetsk, Luhansk, Zaporozhye na Kherson wameamua leo rasmi wawe raia wetu na ardhi yao kuwa yetu. Hii ni Milele na milele. Wanaofikiri tunatania basi wajaribu. Sasa kuna kizuizi cha Washington kwa Urusi, Uchina na Iran, nchi zingine zinafuata mstari, na pia washirika wa sasa wametekwa na Washington. Sisi kama taifa kuu lenye historia ya ushindi duniani tumekataa, Moscow inataka na itaiweka Dunia pawe mahali salama kwa binadamu wote.
Magharibi inakanusha viwango vyetu vya maadili, dini, familia. Hivi kweli tunataka Warusi wawe na "mzazi namba moja, mbili, tatu" badala ya "mama na baba" na kwamba upotovu unaosababisha uharibifu na kutoweka maadali uwekwa kwa watoto shuleni, eti kuna baadhi ya jinsia, isipokuwa wanawake na wanaume. ? Kwa sisi, hii haikubaliki. Ushoga na usagaji hautakuwa sehemu ya ardhi ya Urusi na Warusi.
Uwanja wa vita ni wa watu wetu, kwa Urusi kubwa ya kihistoria. Tunahitaji uimarishaji wa jamii nzima. Maadili yetu ni ubinadamu, rehema na huruma. Kama Ilyin alisema, "Ninaamini katika nguvu za kiroho za watu wa Urusi, roho yao ni roho yangu, hatima yao ni hatima yangu, mateso yao ni huzuni yangu, kushamiri kwao ni furaha yangu."
Ukweli uko nyuma yetu! Urusi iko nyuma yetu:
Uraaaaaa Uraaaa!
Baadaa ya Hotuba hii, Rais Putin akasogea katika meza maakumu akiongozana na Kiongozi wa Donetsk Bwana Denis Pushilin walitia saini makubaliano ya kukubaliwa kwa Jamhuri ya Donetsk DPR kuwa sehemu ya Urusi.
Akafuatia Kiongozi wa Mkoa wa Zaporozhye Yevgeny Balitsky akasongea hadi alipo Rais Putin nae wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Zaporozhye kujiunga eneo hilo kwenda Urusi.
Akafuatia kiongozi wa Mkoa wa Kherson Volodymyr Saldo akasogea alipo Rais Putin nae kwa pamoja wakatia saini makubaliano ya Mkoa wa Kherson kujiunga eneo hilo na Urusi.
Mwisho alikuwa ni kiongozi wa Jamhuri ya Luhansk Bwana Leonid Pasechnik, alisongea mezani alipo Rais Putin, na kisha walitia saini makubaliano ya kujumuishwa kwa LPR nchini Urusi.
Na Yericko Nyerere
OFA MAALUMU.
Pata kitabu cha UJASUSI kwa HARD-COPY kwa 25,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.
Kwa Dar free Delivery. Nje ya Dar nauli 8,000/=.
Wahi Lipia kwa
0715865544 au
0755865544
(Yericko Nyerere)
Kwa watumiaji wa ANDROID nenda Play Store pakua YerickoNyerereApp uweze kujisomea vitabu vyote kwa 5,000/= tu. Link kwenye BIO: Yericko Nyerere App - Apps on Google Play
View attachment 2373006
Hiko FB uko full timeHii mbuzi imerudi Tena jf sijiu ilijichimbia wapi
Sijaongelea Vita hapo, au kuna neno Vita au nimesema naunga mkono uvamizi? Mimi nampongeza kwa msimamo wake mzuri wa kupinga ushoga na usagaji ni jambo la kupongezwa hili kwani matendo hayo ni miongoni mwa uchafu unaonajisi dunia.
Hii mbuzi imerudi Tena jf sijiu ilijichimbia wapi
Sasa mbona anawavamia "Nazi" Ukraine?
Wanazi ni watu ambao huwa hawakubaliani na ushoga!