Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Mnazidi Kumtia Hofu MzeeBora angenyamaza kimya CIA ni white elephant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnazidi Kumtia Hofu MzeeBora angenyamaza kimya CIA ni white elephant
Hapa shida siyo mradi. Shida ni jinsi anavyoutumia huo mradi kukidhi haja binafsi. Mfano anajaribu kuutumia mradi kuonesha kuwa uwanja wandege wa Chato una manufaa kwa taifa. Kama wewe unaamini uwanja wa ndege wa Chato una manufaa kwa taifa, basi tuko ligi tofautiNi kawaida watoto wa mama wa jambo kulalama hata kwa mambo yasiyokuwa na maana!
Sasa huo mradi haina faida kwa nchi au??
Ukitaka kufahamu Hutu Baba hana uwezo wowote,aalikwe kwenye mdahalo hata kwa kutumia lugha ya Kiswahili utasikia ana udhuru.Hana uwezo wa kujenga hoja kabisa.Tundu Lissu anamsubiri kwa hamu kwenye mdahalo ili watz wawakue vilivyo wagombea wao.....
Note: Wagombea wasiruhusiwe kubeba silaha ya aina yoyote
Pole sana kwa kutoa hoja kwa hisia. Bila shaka hata hufuatilii taarifa sahihi kutoka sehemu sahihi. Total bado wapo na mradi upo. Kwani mnalivyoikejeli Mfugale Flyover leo hampitiPO? Mlivyozikejeli ndege leo hamzipandi? Mlivyosema ukarabati wa MV Victoria ni kiinimacho sio kweli, leo wana Chadema hawapandiMO wakienda na kurudi Mwanza na Bukoba tena na kunya mnakunyaMO?Nisifie uhuni? Ni vyema ungesema kile kilichosainiwa chongoleani 2017 ni nini, na hiki kilichosainiwa leo kwenye kampeni za ccm ni nini. Bado karne hii mnafanya siasa za kitapeli, halafu utakuta gharama zote za Museveni kuja nchini kwenye hii episode ya kampeni, ni hela za umma.
Usiseme kwa sauti[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1536]MKUU KUPUUZWA KWA KAFARA YA MOTO NDIO ITAONDOA UHAI WA JIWE???NANUSA HARUFU YA NUSU MLINGOTI WA BENDERA YETU PENDWA!!!
Pole sana kwa kutoa hoja kwa hisia. Bila shaka hata hufuatilii taarifa sahihi kutoka sehemu sahihi. Total bado wapo na mradi upo. Kwani mnalivyoikejeli Mfugale Flyover leo hampitiPO? Mlivyozikejeli ndege leo hamzipandi? Mlivyosema ukarabati wa MV Victoria ni kiinimacho sio kweli, leo wana Chadema hawapandiMO wakienda na kurudi Mwanza na Bukoba tena na kunya mnakunyaMO?
Sasa kwa taarifa yako, Bomba la Mafuta litajengwa. Nyie ropokeni. SGR itaisha. Nyie ropokeni. Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power itaisha. Nyie ropokeni. Na Daraja letu la Busisi/ Kigongo litaisha na ninyi mtaendelea kuropoka. Mwisho wa siku utakuwa mbaya kwenu kwani Watanzania hasa wenye macho na uelewa wanajua!
Magafuli na Museveni wanatuch3zea michezo ya kishamba, kila baada ya muda fulani wanaitana na kusaini makubaliano, hivi ni makubaliano yapi hayo ambayo huwa hayakamiliki tu.Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni.
Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na Museveni ambaye anaonekana katulia, hana wasiwasi.
Kali zaidi aliyotoa Magufuli ni kudiriki kutamka kwamba kitendo cha Rais Museveni kutua hapo Chato kwa ndege yake, ni mfano hai wa MANUFAA YA UWANJA WA NDEGE WA CHATO. Na akasema wazi kuwa hii ni jibu kwa "wale" wanaodai uwanja huu hauna maana.
Kwa kweli hapo nilimhurumia Rais Magufuli. Kwanza kwa sababu baada ya Magufuli kuondoka madarakani marais wajao wa Tanzania watalazimika kufanyia angalau baadhi ya shughuli zao Chato, ili uwanja wa ndege wa Chato ufanye kazi?
Lakini pia hapo hakuna hoja. Museveni angeweza kutua Makao makuu Dodoma. Amelazimika kutua Chato ili kukidhi haja za kikampeni za Magufuli .
Hili tukio lenyewe lina harufu kali ya kampeni zaidi. Ni kama Magufuli kamuomba Museveni amsaidie KALUMUNA wake. Niseme wazi, hapa nahitaji data zaidi, niko tayari kusahihishwa. Lakini nilivyoangalia tukio zima, baada ya zile shamrashamra za Tanga mwaka ule, mkutano huu wa leo hauna substance. Ni panic tactics za kumpandisha Magufuli , kumtoa sakafuni alupogaragazwa na Lissu. Napata uhakika kutokana na kutetemeka kwa Magufuli katika hotuba yake, na pia wote wawili hawajasema chochote kipya
Maji ya Chato sio kama Maji ya Mzizima, kupauka lazima.Kipara amepanic sana aise ule uwanja ni upuuzi mtupu kingine huenda akawa anaumwa mbona amepauka sana n hana furaha [emoji3]
Kama unaunga mkono kelele za nini sasa? Unajua kuwa nyumbu shida sana!Umetaja mambo mengi ili kubadili hoja ya msingi. Suala hapa sio kuisha kwa huo mradi, bali ni usanii wa kampeni nyepesi kwa jambo ambalo lilihitaji kuwa limekalika hivi sasa. Tuko nje ya muda mlioletea mbwembwe, kisha mnarudia jambo lile lile la kusaini mkataba, kama ni jambo jipya kumbe ni kampeni za kichovu.
Ni nani anaponda hiyo mfugale flyover, hiyo pesa si kaitoa Mjapan Zaidi ya 90%? Ndege zina kelele nyingi ikiwemo kificho zilivyonunuliwa na tija yake kwa sasa v/s vipaombele vingine kama kilimo. Kabla ya hizo ndege watu walikuwa hawasafiri na ndege? Fast jet ilikuwepo na mkaihujumu. Nani aliponda ukarabati wa meli? Hilo daraja la Busisi sio baya, lakini ni utekelezaji wa kukurupuka, unaenda kuweka 600b sehemu moja, badala ya kuweka viwanda. Hiyo 600b vingejengwa viwanda 1O vya 50b@ vya kimakakati si vingefanya makubwa na kutoa ajira kwa wengi? Kuisha kwa SGR na SG sio issue kwani ni vingapi vimeisha mpaka leo? Kuisha sio issue Bali issue Ni vitaisha lini, na deni letu litakuwa kubwa kwa kiasi gani hapo ndio ngoma. Watanzania gani, sisi wenyewe ni watanzania lakini hatudanganyiki na siasa za kiki za kishamba.
Magufuli ataendelea kuwa Rais, na pia watz mtabanwa maradufu ya mlivyobanwa awamu ya kwanza yakeUle upara umebaki tu wa kuwashia njiti za viberiti,siku za mwisho za dikteta Adolf Hitler zilikuwa za huzuni akijua dola yake inakwenda kuanguka na axis power inakwenda kuwin ww2.Dikteta magufuli naye siku zake hizi za mwisho ni za huzuni kwakuwa anajua atadondoka kwenye uchaguzi ujao na chadema itachakua dola
Kama unaunga mkono kelele za nini sasa? Unajua kuwa nyumbu shida sana!
Swali la kipuuzi sanaaa...Swali langu ni je katiba ya nchi inaruhusu rahisi kufanya mikataba ya kiimataifa nyumbani kwake?
Hapa niandikapo, Rais Magufuli amehitimisha hotuba yake. Sasa hivi anaongea Rais Museveni.
Hotuba ya Rais Magufuli imejikita katika kuchambua faida ya bomba la mafuta toka Uganda. Lakini kilichojitokeza hasa ni ile "tone" ya Magufuli. Alikuwa anarudiarudia maneno, hana amani, tofauti na Museveni ambaye anaonekana katulia, hana wasiwasi.
Kali zaidi aliyotoa Magufuli ni kudiriki kutamka kwamba kitendo cha Rais Museveni kutua hapo Chato kwa ndege yake, ni mfano hai wa MANUFAA YA UWANJA WA NDEGE WA CHATO. Na akasema wazi kuwa hii ni jibu kwa "wale" wanaodai uwanja huu hauna maana.
Kwa kweli hapo nilimhurumia Rais Magufuli. Kwanza kwa sababu baada ya Magufuli kuondoka madarakani marais wajao wa Tanzania watalazimika kufanyia angalau baadhi ya shughuli zao Chato, ili uwanja wa ndege wa Chato ufanye kazi?
Lakini pia hapo hakuna hoja. Museveni angeweza kutua Makao makuu Dodoma. Amelazimika kutua Chato ili kukidhi haja za kikampeni za Magufuli .
Hili tukio lenyewe lina harufu kali ya kampeni zaidi. Ni kama Magufuli kamuomba Museveni amsaidie KALUMUNA wake. Niseme wazi, hapa nahitaji data zaidi, niko tayari kusahihishwa. Lakini nilivyoangalia tukio zima, baada ya zile shamrashamra za Tanga mwaka ule, mkutano huu wa leo hauna substance. Ni panic tactics za kumpandisha Magufuli , kumtoa sakafuni alupogaragazwa na Lissu. Napata uhakika kutokana na kutetemeka kwa Magufuli katika hotuba yake, na pia wote wawili hawajasema chochote kipya
Kidumu kilishatoboka kitambo mkuu. Labda mtafute diaba.Lengo la hotuba ya Rais kurushwa mubashara ni ili Watanzania tuone na kusikiliza atakachosema. Nakushukuru sana kwa kumsikiliza. Mpende Rais wako. Ipende Serikali yako. Ipende nchi yako. Kidumu Chama cha Mapinduzi!!!!