Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

Hofu aache kuwanayo mbelgiji awenayo Rais JPM mwenye facilities zote za ushindi?
labda kama umeandika tu kishabiki ili kuendelea kuwafariji wachanyembe wenzako wa Chadema.

Wewe ndiye tatizo na hujui, huna ufahamu...

URAIS na UONGOZI na MAISHA kwa ujumla siyo kukaa kwenye jumba jeupe, ofisi ya kiyoyozi na kuzungukwa na maaskari kama mwizi vile...

Urais ama uongozi ama maisha kwa ujumla is about AMANI, FURAHA na UHURU wa nafsi...

Magufuli atawezaje kuwa na FURAHA na AMANI na UHURU WA NAFSI kama anatawaliwa na roho ya mauaji na kutesa wakosiaji wake?

Atakufa tu huyu Mzee kwa uovu wake huu unless atubu na kuwaomba msamaha wote aliowatendea uovu....

Mungu anasema na alisha sema kuwa, MSHAHARA WA DHAMBI/UOVU NI MAUTI...

Mimi simhukumu ila hii ndiyo reality. Ni kiongozi wetu tunamjua. Ni mwovu na katili. Matendo yake ndiyo yanayomhukumu....
 
Unaweza kukuta wanafuga Chatu akiwa mkubwa wanampeleka Chato National Park.

hahaha,ila hivi karibuni nitatembelea Burigi National Park alafu nitawaletea picha mjionee ndege wa kila aina waliopo huko[emoji1787]
 
Kwa kweli hapo nilimhurumia Rais Magufuli. Kwanza kwa sababu baada ya Magufuli kuondoka madarakani marais wajao wa Tanzania watalazimika kufanyia angalau baadhi ya shughuli zao Chato, ili uwanja wa ndege wa Chato ufanye kazi?
Sijuei mnataka Elimu gani ninyi watu...!!! Kama bado una kiu ya kujifunza tafuta Maelezo ya Ndugu H. Polepole wakati anaongea na vyombo vya habari hivi majuzi. majibu mengi ya dukuduku zako yamo kwenye maelezo ya Polepole.
===
Vinginevyo, tutalazimika kukupuuza jambo amabo si zuri. Haupaswi kujiweka kwenye mazingira ya kupuuzwa.
 
Lengo la hotuba ya Rais kurushwa mubashara ni ili Watanzania tuone na kusikiliza atakachosema. Nakushukuru sana kwa kumsikiliza. Mpende Rais wako. Ipende Serikali yako. Ipende nchi yako. Kidumu Chama cha Mapinduzi!!!!
Kimetoboka!!!
 
Wakuu mimi mgeni kidogo kwenye Siasa, inakuwaje mgombea uraisi Magufuli anaendelea kuwa raisi wa nchi?
Soma katiba mkuu, JPM ni Rais mpaka hapo ikitokea akiapishwa Rais mpya ndio Urais wake utakoma, Ila pia nikutoe shaka Kuwa JPM tunae mpaka 2025
 
Naziona picha za kikao, sioni barakoa, no distancing. Lock down Uganda imeisha? Video conference ingetosha, nakubaliana nawe, just a political campaign. Hata hivo M7 hana pr nzuri kwa watanzania, he was not a good choice to fulfill this mission.
 
Huwa nashindwaa kuwaaelewaa baadhi ya watz..hv mkuu kwel kwa akili yako kabisa unawaza kwamba Lisu anaweza shinda huu uchaguzi? Unazani jinsi ulivyo negative kwa Rais wa Tz bas wote wako hivyo..?

Kwanini kujiumiza nafsi kwa vitu ambavyo haviwezi kutokea?? Ebu kaa na wanao kula ulale nchi waachie wanaojua kuiongoza sio kuleta watu wa ajab ajabu.

Alaf kingine ukiwa negative siku zote hata ukiletewa gunia la hela kwako bado hutaona kama n jambo la maana umefanyiwa na huyoo unamuwazia negative..subir bomba la mafuta lijengwe ndugu zako wapate ajira.

Nakutakia usingizi mwema mwana tundu Lissu
 
Huyu mzee kachanganyikiwa kwa kweli!!! Kwa iyo ziara ya museveni kuja kumtembelea hasa kwa nia ya kumpigia kampeni ndo anasema faida za uwanja wa ndege chato????

Huyu mzee nadhani si mzima??? Hivi huwa anatuelewa tukisema ule uwanja Haina faida za kiuchumi????? Labda tumuulize Kuna ndege ipi ya abiria imewai kutua pale na ilishusha watalii wangapi???
Tatizo nionavyo mimi lipo kwa wasaidizi wake kumruhusu kuongea badala ya kusoma hotuba ilio andaliwa. PhD ni msomi mkubwa sana, but who knows very much about a very little thing.
 
Back
Top Bottom