The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Hofu aache kuwanayo mbelgiji awenayo Rais JPM mwenye facilities zote za ushindi?
labda kama umeandika tu kishabiki ili kuendelea kuwafariji wachanyembe wenzako wa Chadema.
Wewe ndiye tatizo na hujui, huna ufahamu...
URAIS na UONGOZI na MAISHA kwa ujumla siyo kukaa kwenye jumba jeupe, ofisi ya kiyoyozi na kuzungukwa na maaskari kama mwizi vile...
Urais ama uongozi ama maisha kwa ujumla is about AMANI, FURAHA na UHURU wa nafsi...
Magufuli atawezaje kuwa na FURAHA na AMANI na UHURU WA NAFSI kama anatawaliwa na roho ya mauaji na kutesa wakosiaji wake?
Atakufa tu huyu Mzee kwa uovu wake huu unless atubu na kuwaomba msamaha wote aliowatendea uovu....
Mungu anasema na alisha sema kuwa, MSHAHARA WA DHAMBI/UOVU NI MAUTI...
Mimi simhukumu ila hii ndiyo reality. Ni kiongozi wetu tunamjua. Ni mwovu na katili. Matendo yake ndiyo yanayomhukumu....