Hotuba ya Rais Magufuli mbele ya Mgeni wake Rais Museveni imejaa Hofu ya Kampeni

Kwani yeye ni nani mpaka asishinde?Kama alishinda magufuli 2015 Lissu atashindwaje sasa??kushinda/kushindwa waachie wananchi maana wewe kama wewe una kura yako moja tuu(single digit) na wala generalization yako ya ushindi wa magufuli hauwezi pata maana kwa kuwa ni mtazamo wako tuu.Tusubiri post October 28th.
 
Shut the fuc* up
“In the land of the blind, the one eyed man isn’t a king but a thief. He will continue to rob us blind, loot and pillage everything until there is Nothing Left To Steal."

Kipangaspecial 2020
 
“In the land of the blind, the one eyed man isn’t a king but a thief. He will continue to rob us blind, loot and pillage everything until there is Nothing Left To Steal."

Kipangaspecial 2020
Maana yake nini
 
Kipara amepanic sana aise ule uwanja ni upuuzi mtupu kingine huenda akawa anaumwa mbona amepauka sana n hana furaha [emoji3]
Amepauka kwa sababu hakutegemea upinzani kuwa na nguvu kiasi hiki. Alijigamba kuua upinzani na alinunua wapinzani wengi akidhani anawadhoofisha. Sasa anashangaa ni tofauti na matarajio yake.
 
Ungeandika kama raia wa US au Ulaya nchi fulani, ningekusamehe, lakini raia wa TZ , unayeishi TZ, unaijua TZ, huu ni uzembe. Unavyoona kweli kuna mfumo gani mwaka huu unaoweza kuiondoa CCM? Chama gani hicho? Unaona wazi wagombea vyama vya upinzani hata wa ubunge wanaondolewa, ukiacha ACT Z'bar, wako kimya utadhani wanachinjwa!

Tone unayoiongelea ni ile ile ya siku zote ila wewe uliyeisikiliza ndo ulikuwa biased. Ulikuwa unataka ubora zaidi ya ule uliozoeleka. Tujifunze kufanya assessment ya tabia za watu. Yaani unaamini M7 atoke Uganda kuja Chato kwa sababu ya kumtafutia kura Magufuli? Je, sahihi kwenye mikataba hiyo pia ilikuwa ni fake process? kuna watu lazima mutawaliwe!
 
Pole sana!
Imefika hatua natia shaka hata akili ya wakosoaji. Binafsi sioni faida ya uwanja ule, lakini pia sioni kama kosa hilo ni mtaji wa kisiasa kwa mpinzani yeyote. Kuna viongozi hawakujenga uwanja lakini wameiba hadi senti ya kununulia paracetamol! Uwanja huo uache, siyo wa Magufuli tusikitikie viwanda na vilivyoporwa na wanasiasa ambao sasa wako kimya! Kila utawala una makosa yake na huenda wale wanaotaka kukwepa makosa ndo wako hoi kabisa!!

Kwa tabia za baadhi ya viongozi wa upinzani leo hii, kesho wakipewa madaraka watatuumiza kuliko Magufuli. Kuna watu ni wezi, wakabila, ufahamu mdogo, n.k lakini ni rahisi kukosoa wakati hata ndani ya vyama wameshindikana.
 
Nilitegemea unakuja na hoja za kiuchumi kuwa ujenzi wa uwanja ule umeleta impact gani za kiuchumi kumbe umekuja na hoja Mfu za kutetea ujinga!!!
Huyo Magufuli wako hastahili kabisa kuwa katika nafasi ya juu ya uongozi wa nchi hii kwa sababu emonesha nepotism ya kiwango cha juu kabisa kuwai kutokea kwenye nchi yetu!!
 
Njoo polepole! Magufuli siyo wangu, ni wetu.
Niambie nepotism inayomnyima sifa za kuwa kiongozi. Mimi ninayo mifano miingi ya watu walioonesha nepotism lakini wanasifiwa sana na makabila yao humu humu JF!
 
Uelewa mdogo!
 
Ukitaka kufahamu Hutu Baba hana uwezo wowote,aalikwe kwenye mdahalo hata kwa kutumia lugha ya Kiswahili utasikia ana udhuru.Hana uwezo wa kujenga hoja kabisa.
Napendekeza DottoEmanuel Bulendu awe moderator wa mdahalo,Mzee Baba atagoma kuhudhuria.
Kamwe hawezi kukubali...... Atenda kuropoka tu utopolo
 
Hahaha...bado nazidi kushindwaa kuwaelewaa watu kama nyie..ulishaambiwa CCM ina technique zaid ya 100 za kushinda uchaguzi..ww unatazamia kura ya wananchii..mbutaa..ikulu mtaiskiaa tuu kwenye bomba..
 
Hivi jiwe ana wasiwasi gani wakati wasimamizi wa uchaguzi anawachagua yeye,gari anawapa yeye na hela za mafuta anawapatia yeye sasa wataanzaje kumtangaza Lissu kuwa kapata kura milioni 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…