Hotuba ya Rais Samia naifananisha na ile ya Mzee Kikwete alivyoingia madarakani

SSH=JK
 
Mama yuko vizuri. Sema hawa wafuasi wa mrundi (mwendazake) ndiyo hawajafurahishwa na hatua za mama. Wanaona kama anabomoa legacy ya mrundi.
 
Mama yuko vizuri. Sema hawa wafuasi wa mrundi (mwendazake) ndiyo hawajafurahishwa na hatua za mama. Wanaona kama anabomoa legacy ya mrundi.
Sikatai kuwa yupo vizuri, lakini unadhani kila kitu kubembelezana nchi itakwenda kweli? Ulisikia yeye mwenyewe akikiri kuwa kunamazungumzo yaliyokuwa yakiendelea na wawekezaji. Sasa wawekezaji wameonesha kuanza kugoma kile walichokuwa wamekubaliana toka wakati wa Jiwe. Hadi yeye Rais akafikia kusema wasidhani hii serikali inautofauti na ya jiwe, akadai yeye ni kitu kimoja na jiwe.
Sasa unavyosema wanamgeuka sikubaliani nawe. Yeye mwenyewe ndo alisema tusitumie nguvu, tubembeleze. Sasa ngoja tubembeleze, ndo matokeo haya.
 
Pole sana kwa maumivu ya hotuba ya samia, simply naamini wewe ni team magufuli pole tena kwa kupotelewa na kiongozi wako dikteta
 
Pole sana kwa maumivu ya hotuba ya samia, simply naamini wewe ni team magufuli pole tena kwa kupotelewa na kiongozi wako dikteta
Uwa sina mambo ya timu. Nachoamini mimi naamini ktk misingi ya utaifa na kuleta maendeleo kwa nchi yetu. Nahitaji kuona Tanzania inabadilika tupunguze siasa. Nampenda sana Mama Samia. Ila wasaidizi wataweza anachotaka? Mfano miaka yote sifurahishwi na watendaji wengi wa serikali. Wakuu wa mikoa. Wakuu wa WIlaya na hata wakurugenzi. Utendaji wao siyo wadhati. Hawana mbinu za kiutendaji.
Hivyo nipo kiutendaji zaidi siangalii utimu.
Hongera yako kuwa kwenye timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…