Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Elimu yako ndogo sio raisi hata kuelewa maana halisi ya hotuba inayoakisi tulikotaka.
Hatakama sina uelewa mpana ila kipindi cha JPM ... nlipo sikia tu Leo jpm anazungumza ..kiukweli huwa na sikiliza na ninapata kitu kipya ... but jana niliambulia sifuri
 
Eti hakuna Mtanzania atakaye elewa juu ya hilo, labda kama unajizungumzia wew na wanyonge wenzio. Pia acha kumfananisha Bwana Yesu na vitu vya ajabu.
 
Mbona mzee taqadiri simuoni hapo?
Au wamemsahau?
Idirisa?
Aah wengine nimewasahau
 
Eti hakuna Mtanzania atakaye elewa juu ya hilo, labda kama unajizungumzia wew na wanyonge wenzio. Pia acha kumfananisha Bwana Yesu na vitu vya ajabu.
Huo ndiyo ukweli kama unaona mpaka Mama anachanganyikiwa kwa kufuata misingi ya kifisadi na yeye anaona kabisa kakosea na hawezi kuvivaa viatu vya Dkt Magufuli, so nyie vinyampara vyake mna nini cha kusema kama yeye Mama anakiri kuwa Dkt Magufuli alikuwa na uwezo mkubwa wa kusimamia.

Ndiyo maana kila mtanzania anaelewa fika nchi imerudishwa kwa mafisadi na kwa sasa kinachofanyika ni kuweka ushahidi wa kila wizi na ukiukaji wa misingi ya uzalendo, na kwa taarifa yako mfumo wetu upo vizuri ktk kuweka ushahidi nyie endeleeni na wizi wenu ila iko siku mtaozea jela
 
Kweli wengi walitegemea atajikita zaidi kwenye mambo yanayoendelea kwa sasa na sio kurudia rudia hotuba za watangulizi na kubadili takwimu tu

Mimi nimezaliwa kabla ya Uhuru ila kusema life expectancies ilikuwa miaka 37 sio kweli

Tangu uhuru mpaka leo bado serikali haijui Ina makabila mangapi ni aibu kubwa sana
Huwezi kusema eti Tanzania Ina makabila zaidi ya 120 bila kujua uhakika

La mwisho Population yetu naona umerudi nyuma kitakwimu badala ya kuongezeka
Hapa pia hatujui tuko wangapi ila tunakisia tu

Bora kutatua matatizo yanayotukabili kuliko kucheza na takwimu tu zisizo sahihi
 
Huo ndiyo ukweli kama unaona mpaka Mama anachanganyikiwa kwa kufuata misingi ya kifisadi na yeye anaona kabisa kakosea na hawezi kuvivaa viatu vya Dkt Magufuli, so nyie vinyampara vyake mna nini cha kusema...
Hicho ni kichaka cha Sukuma gang tu, watu wengi sasa hivi ni waelewa so ni ngumu sana kuamini hizo propaganda zenu. Wizi wa Jiwe kulikuwa hakuna mtu aliyeweza kuuweka wazi akabaki salama, refer yaliyomkuta CAG alipojaribu. Ila kwa sasa watu na vyombo vya habari viko huru kuzungumza lolote
 
Meko alikuwa mshamba na mwenye mambo ya hovyo hovyo Tanzania haijawah pata,bora hata ujinga wake ulimwondoa.Very primitive,ndo maana hata MAMA anasema mambo mengine aliyokuwa anafanya ni non sense.MEKO alikuwa jizi
Sasa mnalilia nini kama mbaya wenu kaondoka?
 
Mohamed Said uko wapi[emoji33][emoji33][emoji849][emoji3516]
 
Hahaha tunawajua nyie wezi, nchi ikirudi kwa wenye uchungu na Tanzania mtakoma, lazima mshughulikiwe sana mpaka mtakoma. Labda muhame nchi nyie wezi na mafisadi.
 
Chakubanga simjui ni mamako

USSR
Humjuhi Chakubanga weweee.. kiumbe aliedumaaa kwa ULAFI wake wa kupenda kula sana, akanywa uji wa cement utotoni..
πŸ˜„πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜ƒ
 
RAIS SAMIA: WASTANI WA UMRI WA MTANZANIA KUISHI WAFIKIA MIAKA 67

Kutokana na maboresho ya huduma za kijamii, umri wa kuishi kwa Mtanzania umeongezeka, Wakati tunapata uhuru wastani wa umri wa kuishi Mtanzania ilikuwa ni miaka 37 na sasa ni wastani wa miaka 67” - Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia pia amesema katika kipindi cha miaka 60, Tanzania imefanikiwa kujenga Uchumi hadi kufikia Nchi ya Uchumi wa Kati wa Chini mapema kuliko ilivyokadiriwa kwenye Malengo ya Dira ya Taifa

Asema, "Wastani wa Pato kwa Mtu kwa mwaka 1961 lilikuwa Tsh. 776 na kwa mwaka jana 2020 ni Tsh. 2,653,790
 
Hahaha tunawajua nyie wezi, nchi ikirudi kwa wenye uchungu na Tanzania mtakoma, lazima mshughulikiwe sana mpaka mtakoma. Labda muhame nchi nyie wezi na mafisadi.
Nikuulize mkuu, kuna mtu yeyeto angejaribu kuweka wazi wizi wa Jiwe? Huku akujua yaliyompata CAG pale alilojaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…