Hakuna haja ya kuongelea mambo hayo ambyo serikali yake ya hawamu ya 6 haijayafanya,labda ambacho angekiongea kuhusiana na hayo mambo ni jinsi gani serikali yake itapambana na ufisadi ili Mambo kama escrow, Richmond nk yasijitokezee lakn pia ile comparison ya maendeleo toka 1961 hadi 2020 alokua anaifanya n k2 ambacho kiongozi yeyote dunian anafanya ili kuweka taswira ya uwajibikaji wa serikali yake na kuonesha kua hata yeye kachangia ktk maendeleo hayo,,lakn alisahau kutuambia hayo mafanikio anayosema je yanakidhi ongezeko kubwa la watu ndani ya nchi.