Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Aliyeelewa hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika tafadhali?​

 
Watoa comments wengi kwenye huu uzi ni Kanda ya Ziwa na Kaskazini. Wote Wana maumivu na Mama
 
Mdau mmoja hapa JF kaandika: Bora hagaya angelala tu; hotuba yake ni utopolo mtupu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Haaaa JPM alikuwa kisanga anautubia taifa akiwa ground yaani kwenye mauzinduzi wa miradi
 
Umesema hujaelewa, halafu unasema ipo shallow. Ulijuaje ipo Shallow bila kuelewa?
 
Worse speech ever! Si angeandika tu kwenye Twitter why atusumbue kumsikiliza wengine kwa majirani halafu hajazungumzia mambo nyeti yanayolokabili Taifa Sasa?
Me nasema mama kajitahidi Sana yaani wembamba wa reli TREN inapita, nachomaanisha hotuba fupi lakini imebeba maneno yaliyoshibaaa
 
Hivi hotuba ndio imeisha au tumeenda mapumziko mafupi Kisha tutarejea!
Hotuba mbovu kabisa!
Nimejikuta namkumbuka Mkapa na hotuba zake za kila mwisho wa mwezi!
Kikwete mwisho wa mwezi[emoji16][emoji16]
 
Tumefundishwa historia tu
Hotuba ya Chongolo, mchana ilihusu takwimu za kihistoria, hotuba ya usiku nayo imejikita kwenye takwimu za kihistoria! Kwani wanatoka vyama tofauti? Au kuna mmoja kachukua script ya mwenzake?Why all these! Au ndio wale waserikali wanavuruga wamemtumia Chongolo?Where is wayfoward?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…