Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Nimeishia paragraph ya pili nasema yote uliyosema ni UWONGO!

Tuliahidiwa na akina Muhongo kwamba gas itamaliza tatizo la umeme kabisa!
Mara wakahamia bwawa la mwl Nyerere na kauli hizo hizo.Likikamilika watakuja na mradi wa mwingine maana wameshaanza kampeni zao tayari za "renewable ernegy"
Tunaandaliwa kupigwa kitu kizito tena
 
Kwani nani aliwakataza kujipatia umeme?

Umeme wa Tanesco ndio kama mlivyosikia leo.

Mimi nashangaa, mnaolalamika hamna matumizi zaidi ya kuchaji visimu vyenu na usiku kuwasha taa moja au mbili. Sijawasikia wenye viwanda kulalamika.
Sawa Bibi mwenye viwonder!
 
Umeandika kuwa "Wanatambua kuna tumaini litakaloponya na kufariki mioyo yao". Nakubaliana na wewe kabisa katika hili.
 
kwani tatizo la umeme lililokuwepo awamu ya tatu na ya nne nao hawakufanyia mitambo matengenezo?
Narudia tena; Wacha mama achape kazi, acha kumjengea chuki!
Wewe aidha subiri umeme wa Tanesco kama hauupati au tafuta njia mbadala. Solar ya elfu kumi inakutosha kabisa kuchajia simu yako kutwa kucha.
 
Sijuwi umeandika Madudu gani ndugu yangu. Habari za shule ningependa kukujibu kuwa serikali yetu imefanya uwekezaji mkubwa sana.ndio maana unaona shule za serikali zikifanya vizuri sana katika mitihani ya Taifa.hata katika vyuo vikuu nako uwekezaji ni mkubwa sana na Taifa letu limeendelea kutoa wataalamu wazuri na wabobevu katika nyanja mbalimbali.Ndio maana katika afya unaona kwa kiasi kikubwa wagonjwa wamepungua kupelekwa nje ya nchi kupata matibabu kwa kuwa matibabu yanapatikana hapa hapa nchini kwakutumia wataalamu wetu wa ndani waliopita katika shule na vyuo vyetu.
 
Nyanda za juu kusini kulikuwa namvua chache?
 

Uachage upumbavu
 
Ww ni mwanamke unayedanywa haraka sana Sijui kwa nn.
 
Umerogwa wewe siyo bure
 
Sijui kama una familia wewe maana naona unaishi kwasababu unaona kunakucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…