Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

🤣🤣🤣

Hotuba ipi? Live au ile taarifa ya Ikulu?
 
Unafahamu historia ya Mdude? Umewahi kumsikiliza akiongea hadharani? Unaona yupo sawa kichwani?
 
Mungu amjaalie Mama Samia Suluhu Hasssan maisha yenye afya njema na furaha wakati wote, amjaalie awe kiongozi bora wakati wote mpaka 2030
Yaan Rabby
 
Sisi hatupo utumwani.Sisi ni Nchi na Taifa huru kabisa. Hiyo mifano yako peleka huko CHADEMA
Katika niliyo kuuliza hakuna hiki ulichoandika.

Swali linabaki vile vile. Unakifahamu kisa cha farao,Musa na watumwa ?
 
Leo hujabubujikwa na machozi mkuu 🤣
Ni furaha tupu kwa wananchi huku mitaani.wanasema kuwa hawapo tayari kuona mtu yeyote yule akipandikiza chuki kama wafanyavyo upinzani.wanasema mtu huyo atakuwa ni adui wa Taifa zima na atakemewa na kushambuliwa kwa nguvu zote.
 
Imesaidia kitendawili kuhusu watekaji na wauaji kwa inasisitiza kuwakamata haraka na kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
hutuba ya raisi imeibua morari kwa watanzania juu ya kuilinda amani yao kwa maslai mapana ya nchi

nampongeza mweshimiwa mama yetu amiri jeshi mkuu raisi wa tanzania hakika katika haya mapambano vizazi vijavyo vitaitwa majina ya wana CCM waliokua wakilitetea na kuijenga nchi kipindi kirefu hadi sasa
 
Lucas wewe ni mkristo ?
Ni jina tu amebeba. Nadhani anapenda kuwadhihaki tu watanzania, huku anajua anachokiongea. Ni mkristu kwa jina siyo kwa Imani. La sivyo kama ni Mkristu kweli, ajiandae kuelekea kulle kwa kupitia ule Mlango mpana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…