mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unatetea mauaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amani ya Bwana iwe pamoja naweHuyu mlete sledi ni mjinga mwili mzima. 🤔
Mitaani katika ardhi ya TanzaniaMitaa ipi hiyo imepongeza?
🤣🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unakifahamu kisa cha farao,Musa na watumwa ?Ndio.
Mitaani katika ardhi ya Tanzania
Unafahamu historia ya Mdude? Umewahi kumsikiliza akiongea hadharani? Unaona yupo sawa kichwani?Mdude Chadema: Hotuba ya Rais Samia jana ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania
Kada wa CHADEMA, Mdude Nyagali kwenye video fupi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii amedokeza kuwa hotuba aliyoitoa jana Rais Samia ni hotuba mbovu zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Siku ya jana Rais Samia wakati anahutubia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi alitoa hotuba...www.jamiiforums.com
Mungu amjaalie Mama Samia Suluhu Hasssan maisha yenye afya njema na furaha wakati wote, amjaalie awe kiongozi bora wakati wote mpaka 2030Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sisi hatupo utumwani.Sisi ni Nchi na Taifa huru kabisa. Hiyo mifano yako peleka huko CHADEMAUnakifahamu kisa cha farao,Musa na watumwa ?
Katika niliyo kuuliza hakuna hiki ulichoandika.Sisi hatupo utumwani.Sisi ni Nchi na Taifa huru kabisa. Hiyo mifano yako peleka huko CHADEMA
Ni furaha tupu kwa wananchi huku mitaani.wanasema kuwa hawapo tayari kuona mtu yeyote yule akipandikiza chuki kama wafanyavyo upinzani.wanasema mtu huyo atakuwa ni adui wa Taifa zima na atakemewa na kushambuliwa kwa nguvu zote.Leo hujabubujikwa na machozi mkuu 🤣
Imesaidia kitendawili kuhusu watekaji na wauaji kwa inasisitiza kuwakamata haraka na kuchukuliwa hatua za kisheria.Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hapo lazima uwe chawa pro max
Ni jina tu amebeba. Nadhani anapenda kuwadhihaki tu watanzania, huku anajua anachokiongea. Ni mkristu kwa jina siyo kwa Imani. La sivyo kama ni Mkristu kweli, ajiandae kuelekea kulle kwa kupitia ule Mlango mpana .Lucas wewe ni mkristo ?