Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

Pombe ikitoka kichwani akili yako itakurudi na utajuwa namna ulivyoandika ujinga ambao hata watoto wako wakiona wanaweza kukukataa kuwa wewe siyo mzazi wao.
Mpuuzi tu wewe, wakristo huwa hamna hofu ya mungu ndio maana mnaweza kuwa waongo na wanafiki kwa kiwango chako
 
Kihebe mswede mnafiki mkubwa wewe
 
kona zipi tuje na sisi kusiliza uongo!
 
Alianza katibu Mkuu kwa bashraf, huku anawapooza pooza kidiploasia, akaja Mwenyekiti akawapa za uso.

CCM ndyo mama wa siasa Adrika hii, hivyo vinyangarakata havijuwi siasa, vinajuwa uharibifu tu.
Umeshajichokea wewe, na akili yako imeishia kwenye udini na uchawa tuu, uzuri you are loosing left and right, Hamas chali na huyo mzanzibari atakaa sawa tuu na wenzake ndani ya chama ndio watampiga tukio
 
Polisi wamepiga marufuku maandamano tarehe 23.

Ingieni mitaani si mnajimwambafai nyinyi?
 
Polisi wamepiga marufuku maandamano tarehe 23.

Ingieni mitaani si mnajimwambafai nyinyi?
Of course kwa akili kama yako lazima uone sawa polisi kufanya hivyo, na umesahau kuandamana ni haki ya raia, una kawaida ya kusupport ujinga na udini
 
Of course kwa akili kama yako lazima uone sawa polisi kufanya hivyo, na umesahau kuandamana ni haki ya raia, una kawaida ya kusupport ujinga na udini
Hivi chama kipi kilifanya mkutano wa kufanya ugaidi huko ngulelo?
 
Hv kwann usijisemee wewe mwenyewe unatujumlishaje na sisi nani amekwambia imepongezwa
 
Ukichaaa, ingia humu jf kunakowakilisha walio mtaani ndo ujue anapongezwa au analaaniwa
 
Siamini "huo ujinga" wako.

Namwamini Rais mama Samia Suluhu Hassan na intelijensia ya Tanzania.
Mambo mengine mnaonekana hamna akili, watu kudai maandamano kutaka usalama Kwa watu wanaotekwa na kuuliwa sio uhaini, mkumbushe Samia anapita tuu na sio Uraisi tuu hata hapa duniani Kwa umri wake Hana muda mrefu pia, afanye kazi yake Kwa haki aachie vizazi vijavyo foundation ya Maisha bora na haki Kwa Kila raia, aanze na nobody above the law, rushwa na ufisadi, tunapita tuu na Kuna karma
 
Lucas tena, hapo juu kuna uzi kuponda hiyo hotuba. Wewe unasema watanzania wanapongeza.

Hivi wewe zimo zote? Au unazo za ugali tu.
 
Imewangorosha vibaraka na mabwana zao 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…