Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi tu wewe, wakristo huwa hamna hofu ya mungu ndio maana mnaweza kuwa waongo na wanafiki kwa kiwango chakoPombe ikitoka kichwani akili yako itakurudi na utajuwa namna ulivyoandika ujinga ambao hata watoto wako wakiona wanaweza kukukataa kuwa wewe siyo mzazi wao.
Kihebe mswede mnafiki mkubwa weweNdugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sina unafiki hata kidogo.Kihebe mswede mnafiki mkubwa wewe
kona zipi tuje na sisi kusiliza uongo!Ndugu zangu Watanzania,

Umeshajichokea wewe, na akili yako imeishia kwenye udini na uchawa tuu, uzuri you are loosing left and right, Hamas chali na huyo mzanzibari atakaa sawa tuu na wenzake ndani ya chama ndio watampiga tukioAlianza katibu Mkuu kwa bashraf, huku anawapooza pooza kidiploasia, akaja Mwenyekiti akawapa za uso.
CCM ndyo mama wa siasa Adrika hii, hivyo vinyangarakata havijuwi siasa, vinajuwa uharibifu tu.
Polisi wamepiga marufuku maandamano tarehe 23.Umeshajichokea wewe, na akili yako imeishia kwenye udini na uchawa tuu, uzuri you are loosing left and right, Hamas chali na huyo mzanzibari atakaa sawa tuu na wenzake ndani ya chama ndio watampiga tukio
Of course kwa akili kama yako lazima uone sawa polisi kufanya hivyo, na umesahau kuandamana ni haki ya raia, una kawaida ya kusupport ujinga na udiniPolisi wamepiga marufuku maandamano tarehe 23.
Ingieni mitaani si mnajimwambafai nyinyi?
Hivi chama kipi kilifanya mkutano wa kufanya ugaidi huko ngulelo?Of course kwa akili kama yako lazima uone sawa polisi kufanya hivyo, na umesahau kuandamana ni haki ya raia, una kawaida ya kusupport ujinga na udini
Ukichaaa, ingia humu jf kunakowakilisha walio mtaani ndo ujue anapongezwa au analaaniwaNdugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unaamini huo ujinga, check your brain kama uko sawaHivi chama kipi kilifanya mkutano wa kufanya ugaidi huko ngulelo?
Siamini "huo ujinga" wako.Unaamini huo ujinga, check your brain kama uko sawa
Mambo mengine mnaonekana hamna akili, watu kudai maandamano kutaka usalama Kwa watu wanaotekwa na kuuliwa sio uhaini, mkumbushe Samia anapita tuu na sio Uraisi tuu hata hapa duniani Kwa umri wake Hana muda mrefu pia, afanye kazi yake Kwa haki aachie vizazi vijavyo foundation ya Maisha bora na haki Kwa Kila raia, aanze na nobody above the law, rushwa na ufisadi, tunapita tuu na Kuna karmaSiamini "huo ujinga" wako.
Namwamini Rais mama Samia Suluhu Hassan na intelijensia ya Tanzania.
Intellegensia yetu ni kali sanaUnaamini huo ujinga, check your brain kama uko sawa
Wewe kama hujapata teuzi hadi hii leo basi hujatendewa haki.Intellegensia yetu ni kali sana
Lucas tena, hapo juu kuna uzi kuponda hiyo hotuba. Wewe unasema watanzania wanapongeza.Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wetu katika kulinda Amani ya Taifa letu kwa gharama yoyote ile kwa ajili ya watanzania.ni hotuba ambayo imeonyesha namna ambavyo Rais wetu hataki kuona tunu ya amani yetu ikitikiswa au kuchezewa au kuvurugwa na mtu au kikundi au Nchi yoyote ile.ni hotuba ambayo imeonyesha utayari wa RAIS wetu katika kulinda uhuru wa Taifa letu pasipo kuingiliwa na Nchi yoyote ile yenye nia ovu na chonganishi kwa Taifa letu .
Ni hotuba ambayo imetuma ujumbe murua kwa vibaraka wenye nia ovu na amani ya Nchi yetu, kuwa Rais wetu na serikali yake yupo Imara na hatamvumilia mtu yeyote yule atakayechezea tunu hii. Imepongezwa na wananchi ambao walikuwa hawafurahishwi na kauli za kibaguzi ,chuki,ukabila,ukanda, uchochezi na Udini zilizokuwa zikitoka kwenye vinywa vya wapinzani kama vile Lissu na wenzake.
Watu walikuwa hawafurahishwi na mwenendo mzima wa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kutoa lugha zenye kuleta nyufa kwa Taifa letu na hivyo kuhatarisha umoja na mshikamano wetu.kama ambavyo sote tulishuhudia namna Lissu anavyopambana kupandikiza chuki kwa watanzania.
Watanzania wanasema hawapo tayari kamwe kubomoa Taifa letu kwa mikono yao ,na hawapo tayari kutumika kuvuruga amani ya Nchi yetu wala kutumika kama ngazi kwa wenye uchu wa madaraka na waliokosa hoja na sera za kuwashawishi watanzania kutaka kuvuruga amani yetu kwa visingizio Bandia na visivyo na mashiko. Watanzania wanasema wanamuunga mkono Rais na watakuwa bega kwa bega naye katika kila hatua katika ujenzi wa Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Imewangorosha vibaraka na mabwana zao 🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,