Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Mkuu Ni wajinga na wapumbavu pekee Watakao muunga mkono huyo mwamba wa siasa,,
Uchaguzi ufanyike Tanzania Nia Nia utangazie ulaya! What kind of rubbish..

Only foolish will be fooled by foolish man
Vijana wa Ufipa hawawezi kuelewa kwamba ni "ushamba" wa hali ya juu kisiasa na kidiplomasia kutangaza kugombea urais ukiwa nje ya nchi.
 
Ndugu zangu,

Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.

Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.

Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Mpiga kura atakuwa mama yako mzazi usihofu
 
Mwenye kitu sikuzote si mwenzako.Mmoja ana dola mwingine hata ukoplo tu hana.
 
Dah! Kama alichosema ndicho mlichotarajia, basi mjue JPM kiulaini anapita Oktoba na CCM bado ipo ipo sana madarakani.
Naona leo waramba miguu wote mmeamlishwa kuingia zamu ili mpunguze maumivu upande wenu.

Leo lazima mtakesha hapa jamvini
 
Sawa sawa nami nakushauri ujiandalie kabisa kitanzi maana baada ya October utakuwa chini ya utawala wa mh Lissu
Tanzania itabaki kuwa Tanzania pasi kujali nani ni Rais wake kwa kuwa Rais hataweka mkate mezani kwangu isipokuwa nguvu na akili zangu tu.
 
Hawa jamaa utafikiri wamekulia nyumba moja yani hoja zao za hovyo hovyo na ushabiki wa kiharakati. Nakumbuka hata Lowasa alibatizwa Fisadi na baadae wakadeki lami. Mtu ndumila kuwili si wa kumwamini kabisa.
Lowasa yule yule mliyemtukana matusi ya nguoni? Leo hii yupo ccm mnamramba miguu huku yeye akiwacheki kwa dharauuuu
 
JPM hana mpinzani labda wasindikizaji kwa maana katika msafara ya mambo kenge lazima wawepo.
Ebu fikiria mkuu. Lissu anatangaza kugombea akiwa nj ya nchi. Anawaponda askari Polisi, Jeshi, TISS na Rais aliyepo, halafu anasema haji nchini mpaka Serikali anayoiponda imhakikishie usalama! Hapo anatumia akili au matope!?
 
Kauli kama hizi hazitamsaidia. Huyu jamaa chama chake kisipo m-structure atakuja kuwa "poor presidential candidate ever come from opposition".
Kama CDM watamteua basi wafanye kazi ya kumpa semina ya ku handle personal traits kama emotions kumuondolea ile hali ya kuwa "kuhemka sana".
He's untrainable due to his stuborness... eventually they will let him stead his own ship..
 
Wakuu nawakumbusha tu mkiwa mnaandika comment zenu andikeni kwa umoja mkiandika sisi mnatujumuisha na siye msiyejua mirengo yetu.
 
Purchasing Power yangu iko juu hata sukari iwe elf 10 bei petrol iwe 5000 lita namudu,vipi wwe shemeji yako ambae ni kada akitumbuliwa kwa kutoimba kwaya umewahi jifikiria mtaishije
Kwa maelezo yako hayo, ni vyema ukawasidia majirani na ndugu zako nao wawe na "purchasing power" kama wewe, hakika umaskini kwao utakuwa ni ndoto. Tofauti na hilo, tafakuri upya uwewe.
 
Naona leo waramba miguu wote mmeamlishwa kuingia zamu ili mpunguze maumivu upande wenu.

Leo lazima mtakesha hapa jamvini
Tunashangaa alichoandika! Seriously? Anyways, fomu anachukua lini? Ameishahakikishiwa usalama? Ahahahahahh!
 
Back
Top Bottom