Pole sana kama wewe, familia na ndugu zako hammudu basic needs, ila kama siyo hivyo, rejea tena hoja yako.Kwa tafsiri ya wanyonge,ni uwezo wa kumudu basic needs.
Ndio kajenga hapo...Jenga hoja kamanda
Vijana wa Ufipa hawawezi kuelewa kwamba ni "ushamba" wa hali ya juu kisiasa na kidiplomasia kutangaza kugombea urais ukiwa nje ya nchi.Mkuu Ni wajinga na wapumbavu pekee Watakao muunga mkono huyo mwamba wa siasa,,
Uchaguzi ufanyike Tanzania Nia Nia utangazie ulaya! What kind of rubbish..
Only foolish will be fooled by foolish man
JPM hana mpinzani labda wasindikizaji kwa maana katika msafara ya mambo kenge lazima wawepo.Dah! Kama alichosema ndicho mlichotarajia, basi mjue JPM kiulaini anapita Oktoba na CCM bado ipo ipo sana madarakani.
Mpiga kura atakuwa mama yako mzazi usihofuNdugu zangu,
Huenda maisha ya lockdown yamemwathiri Tundu Lissu,ukimsikiliza utagundua walemgwa wa "urais" wake sio Watanzania bali ni mabalozi na raia nchi za ulaya na Amerika waishio Tanzania.
Nilifikiri kukaa Ubelgiji angekutana na akina Mouse Katumbi au marafiki wa Tshisekedi ambao wangemfunza jinsi ya "kufanya siasa ughaibuni'.Leo wananchi wa Ikungi wameshasahau kama walishawahi kuwa na Mbunge anaueitwa Tundu Lissu sababu hazungumzi kero yao hata moja japo kwa unafiki.
Nimalize tu kwa kumtakia maisha mema huko ughaibuni ahakikishe wanae wanasoma nayeye alinde kibarua chake.
Purchasing Power yangu iko juu hata sukari iwe elf 10 bei petrol iwe 5000 lita namudu,vipi wwe shemeji yako ambae ni kada akitumbuliwa kwa kutoimba kwaya umewahi jifikiria mtaishijePole sana kama wewe, familia na ndugu zako hammudu basic needs, ila kama siyo hivyo, rejea tena hoja yako.
Hivi Saddam alikua ni rais wa wapi?
Naona leo waramba miguu wote mmeamlishwa kuingia zamu ili mpunguze maumivu upande wenu.Dah! Kama alichosema ndicho mlichotarajia, basi mjue JPM kiulaini anapita Oktoba na CCM bado ipo ipo sana madarakani.
Tanzania itabaki kuwa Tanzania pasi kujali nani ni Rais wake kwa kuwa Rais hataweka mkate mezani kwangu isipokuwa nguvu na akili zangu tu.Sawa sawa nami nakushauri ujiandalie kabisa kitanzi maana baada ya October utakuwa chini ya utawala wa mh Lissu
Lowasa yule yule mliyemtukana matusi ya nguoni? Leo hii yupo ccm mnamramba miguu huku yeye akiwacheki kwa dharauuuuHawa jamaa utafikiri wamekulia nyumba moja yani hoja zao za hovyo hovyo na ushabiki wa kiharakati. Nakumbuka hata Lowasa alibatizwa Fisadi na baadae wakadeki lami. Mtu ndumila kuwili si wa kumwamini kabisa.
Ebu fikiria mkuu. Lissu anatangaza kugombea akiwa nj ya nchi. Anawaponda askari Polisi, Jeshi, TISS na Rais aliyepo, halafu anasema haji nchini mpaka Serikali anayoiponda imhakikishie usalama! Hapo anatumia akili au matope!?JPM hana mpinzani labda wasindikizaji kwa maana katika msafara ya mambo kenge lazima wawepo.
He's untrainable due to his stuborness... eventually they will let him stead his own ship..Kauli kama hizi hazitamsaidia. Huyu jamaa chama chake kisipo m-structure atakuja kuwa "poor presidential candidate ever come from opposition".
Kama CDM watamteua basi wafanye kazi ya kumpa semina ya ku handle personal traits kama emotions kumuondolea ile hali ya kuwa "kuhemka sana".
Vijana wa Ufipa hawawezi kuelewa kwamba ni "ushamba" wa hali ya juu kisiasa na kidiplomasia kutangaza kugombea urais ukiwa nje ya nchi.
🤣🤣🤣🤣Ebu fikiria mkuu. Lissu anatangaza kugombea akiwa nj ya nchi. Anawaponda askari Polisi, Jeshi, TISS na Rais aliyepo, halafu anasema haji nchini mpaka Serikali anayoiponda imhakikishie usalama! Hapo anatumia akili au matope!?
ccm IMEKWISHAA ,IKIWAHUYU JAMAA ATAPEWA RIDHAA
Kwa maelezo yako hayo, ni vyema ukawasidia majirani na ndugu zako nao wawe na "purchasing power" kama wewe, hakika umaskini kwao utakuwa ni ndoto. Tofauti na hilo, tafakuri upya uwewe.Purchasing Power yangu iko juu hata sukari iwe elf 10 bei petrol iwe 5000 lita namudu,vipi wwe shemeji yako ambae ni kada akitumbuliwa kwa kutoimba kwaya umewahi jifikiria mtaishije
Tunashangaa alichoandika! Seriously? Anyways, fomu anachukua lini? Ameishahakikishiwa usalama? Ahahahahahh!Naona leo waramba miguu wote mmeamlishwa kuingia zamu ili mpunguze maumivu upande wenu.
Leo lazima mtakesha hapa jamvini