Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Ingekuwa sera zinazingatiwa, basi hata huyo anayesemekana anaungwa mkono angelazimika kujibu kuhusu sera ya milioni 50 cash kila kijiji
 
Huna kichwa??usitutie aibu wana ccm wenzio.hapa tujipange kujibu hoja.
 
Lisu atalazimika kurejea nchini kwa ajili ya kampeni za uraisi,si ajabu akaja kuulizwa swali la kwanini kaejea kipindi cha kampeni ya uraisi kama kweli alikuwa na hofu ya kuja nchini kwa ajili ya usalama wake,je amerejea akiwa na hakika kama usalama sasa upo au haupo,na kama upo kwanini upo wakati wa uchaguzi na kama haukuwepo kwanini haukuwepo wakati wa uchaguzi,kwa wapinzani wake hapo watakua no point muhimu ya kumshindilia kisiasa.
Ila vizuri kwa sasa Chadema wasimsimamishe mtu kama Lisu,kwa hadhi yake anatakiwa arejee bungeni kwa mara nyingine kwa ajili ya maanjdalizi ya mwaka 2025.ni heri sana sasa hivi Chadema watumie nguvu ndogo sana kwa upande wa uraisi ila watumie uwekezaji mkubwa kwa upande wa wabunge,kwa sababu ndio sehemu ya raisi kama wanataka kuilenga CCM kwa wakati ujao.
Hotuba ya leo ya Mh Lisu imetpoka kwa njia ya mtandao na bado imetazamwa na watanzania wachae mno,kiasi anatakiwa arejee kwanza nyumbani ili aonekana na watanzania hasa hasa wale wa vijijini wapate kuamini kuwa hakuja Tanzania kwa ajili ya uraisi,
HAKUJA TANZANIA KWA AJILI YA URAISI,URAISI USIONEKANE NI KIPAUMBELE CHAKE CHA KWANZA.
 
Eti MB sijui wa jimbo gani.
 
Hahaahha tuma screen shot Mana Mimi niliona 2k[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
NI UCHOCHEZI TOSHA uliowekwa kimaandishi na ukizingatika muda was kampeni bado na personally nimeshangazwa kwa kuisifia sana serikali iliyopita kuliko serikali zingine zilizopita wakati wakisema serikali dhaifu mpaka bungeni (sehemu inayoheshimika) sijui ilikuwa serikali awamu ipi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama wewe umempita TAL elimu.kwa mwenye akili hili sio LA kukosoa Bali wana ccm tukae chonjo na imara kupinga hoja kwa hoja.we we umelalamika na kuonyesha wivu wa kike.ccm tujipange
 
Nyomi sio kigezo cha ushindi.Lissu hana ubavu wa kushindana na Magu.kashindwa Edlow,magufuli akiwa bado hajawa Rais.sembuse wakati huu Magu ni Rais?.
Tena Rais wa karne,Full maendeleo

Kimsingi nyomi sio ushindi hilo nakubali, lakini mshindi lazima awe mmoja, tunachoangalia una uungwaji mkono wa watu kiasi gani. Ni ngumu kupata nyomi kama huna uungwaji mkono wa watu. Isitoshe tume tuliyonayo haiko kwenye mazingira mazuri ya kumtangaza mshindi halali, hasa anapokuwa mpinzani.
 
Ulipo pata kinywaji baridi chaguo lako nitakulipia kwa emoney
 
Amezungumzia Uhuru wa mashoga kwenye utawala wake?
 

Serikali iliyopita ilikuwa dhaifu ila ni bora kuliko hii ya kidictator. Msingi wa kuisifu sio ubora wake, bali ndio kipimo pekee alichoona. Sasa kama ukiwa na vitu vichache vya kuvipa maksi, ni lazima utatoa kwa vilivyopo. Mfano hata huko shuleni unaweza kuwa na wanafunzi waliopata alama za ufaulu duni, ila katika ufaulu duni huo, haimaanishi hakuna aliyewazidi wenzake kwenye Uduni huo. Hivyo kumsifia mwenye afadhali haimaanishi kuwa ni bora, ila ni bora kwenye hao wabovu.
 
Wewe ni mpumbavu sana,Tanzania imepiga hatua kiuchumi?Imepiga hatua kijamii!Yaani unajitoa ufahanu Kabisa,kisa CCM inakusaidia kwenda chooni Wewe na Familia yako.

Una mshukuru Mungu Lissu kupona wakati ndugu yako ndiye aliyepiga risasi ili afe na Wewe ukashangilia,Leo amepona unayotaka Jina la Mungu!Stupid period.
 
Akirudi tena nistue .
 
Sijasikia Azungumzie haya
1.jinsi atakavyotetea mashoga. Na mapenzi ya jinsia moja
2. Jinsi atakavyotetea wezi wa madini kupitia kampuni yao ya Mawakili ili waendelee kuishitaki serikali kwa kuzuia makini Kia ya makontena yao.
3. Atakavyo endelea kuipanua Dodoma au kuirudisha makao makuu dar es salaam
4. Atakavyoamua kumrudisha Ben saa nane kwa sababu inaonekana anajuamahali alipo..
5. Atuambie Mamvi alimpa mgao wa kiasi gani yeye na mwenyekitii wake
5.yapo mengi sana ya kumuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…