Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Jpm anahitaji competitor aliekula nya yaani asiemuogopa ili uchaguzi uwe mtamu.Na hapa tz namuona ZZ KABWE NA A.LISSU ili wamtoe jasho jpm
 
Hotuba imewabamba lumumba hadi wagonjwa mtambuka wamepona korona..walevi wa bia yngu wameokoka..wale wa kawe aluminum wahamia manyanya..wale mashahidi wa Yehova kwa sasa wame slim na kujiunga na mabadiliko..wale wa USSR kwa sasa wameamua kurudi na kukiri kuwa walipotea...taratiiibu akili ziameanza kuwarejea vichwani mwao...mtaani watu ni Lissu Lissu Lissu Lissu...mhe.Lissu oyeeeee ??,..oyeeeeeeeeeeeeee
 
ASANTE sana mkuu...hii inamtosha.
 
Hi hotuba haijabeba agenda za wananchi inamuogelea Raisi Magufuli kuanzia mwanzo Hadi mwisho yeye kajikita kutaka Raisi Magufuli aondoke lakini haongelei hata agenda moja ya kuwa anataka kuwasaidia wananchi na kivipi hotuba yake anaongea na Raisi Magufuli sio wananchi

Pili anaonyesha hasira kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kuvidharau ambayo Ni wadau muhimu Sana kwa mgombea uraisi kushika nchi hawaoni umuhimu wao kwake Kama mgombea !! Hotuba ilitakiwa eneo Hilo isiguse au angesema tu nina imani na vyombo vya ulinzi na usalama na nikishika madaraka nitaboresha maslahi nk polite political language ya kuwavuta upande wake sababu wao pia Ni wapiga kura kajaza lawama Kwao zisizo na ushahidi za akina sijui Nani na Nani waliouawa na kutekwa nk sidhani Kama majority ya watanzania wako interested na yeye kupigwa risasi na hao sijui waliotekwa na kuuawa nk

Hotuba yake haijajikita kwenye needs of majority ame concentrate kwenye minority
 
Daaah nimemsoma lisu nimekuelewa hi ni golden chance kwa taifa naanza kuona matumaini na Uhuru wa taifa dhidi ya utawala wa kidhalimu wa awamu ya tano ulioteka nyara taifa na kuwapandikiza watanzania phobia ya kutekwa kuuwawa na kufukuzwa kazi au kufilisiwa Mali kisa siasa.

Ee Mungu ulituumba huru tunakuomba usikie sala zetu lissu akawe mtetezi na mfariji wetu.

Huyu wa Sasa ambae tunaaminishwa eti ulimchagua wewe amekuwa farao kwetu ukilitaja jina lake kwania ya kukosoa majaliwa ya uhai ambayo wewe Mungu umemkirimia binadamu huyu mkosoaji yatakuwa mashakani.

Kama

Hatatekwa
Hatapewa kesi
Hatafukuzwa kazi
Hatafilisiwa
Hatauwawa
Basi atatiwa kilema

Akiokoka yote hayo

Ataitwa msaliti wa taifa.

Ee Mungu sikia kilio chetu Kama utatupa hii shubiri miaka mitano Tena tutajua Mungu baba Mungu mkuu Mungu muumba umeamua kutuadhibu.

Waisome

Mashehe na
Maaskofu

Tanzania.
 
Acha kupotosha!!
 
Lissu hana sifa ya kugombea Kwan makosa yaliyomtoa bungeni n ya kimaadili. Jina lake halitakubaliwa na tume, imeisha, hiyo
 
King of Mataga atakua ameichek hii Hotuba kweli? watu wa Mataga ebu tuambieni hili
 
Niweke kwenye hilo kundi la mambumbumbu
 

Niliahidi kujibu hoja za Lissu, kifungu kwa kifungu, lakini umefanikisha kufanya hivyo.

Najumuisha kwa kusema kuwa, Lissu ametoa hoja za kinadharia zaidi kuliko uhalisia. Japo amejitetea kuwa muda ukifika, ataeleza mikakati yake ya kufikia malengo hayo, lakini ni wazi kuwa yako nje ya Sera, Itikadi na Imani ya chama chake. Ili azima yake hiyo itimie, itabidi kufumua Katiba ya CHADEMA. Nitarejea baadaye kuoanisha hoja zake na Katiba ya CHADEMA.
 
expand...Lissu atarudi hapa nchini na hakuna mbwa yyte atathubutu kumgusa...hao wanaosema akija aijui watafanya nn , wakithubutu tu nchi hii kutafanyika mapinduzi mchana kweupe wasiishi kwa mazoea...oohoo
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu la utaitwa mbea au mchanga (immature)!!!
Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli
 
Hii hotuba ya Lissu hakuna jipya sijaona sehemu kazungumzia maendeleo kwa tija wala ajira yeye kajaza kumnaga Rais Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…