Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Samahani Dada, unaweza kuongeza sauti kidogo??Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga kama tetemeko au #COVID19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani Dada, unaweza kuongeza sauti kidogo??Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga kama tetemeko au #COVID19
Hizo ndiyo sera?
Kweli kua uyaone
Na aliykimbila ubelgiji!
Any way rudi naona umehakikishiwa ilinzi wako kama ulivyotaka!
ETI SITAKIMBIA KIJIJINI, SASAHIVI UKO WAPI??? UKIWA RAIS SI UTAUZA NCHI KWENDA KUISHI ULAYA,NDOROBO MKUBWA TUNDU LISSU!! KWELI MAAJABU HAYATAISHA DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twambie jiwe ana followers wangapi? [emoji23][emoji23]Vipi wale follwers wake milioni 80 aliopata baada ya mahojiano ya hard talk?
750K ndani ya dk 37Hakuna mwenye shida na huyo rais wa Facebook. Msitafute visingizio vya kijinga. Hakuna mwenye akili timamu atapoteza muda kufatilia huyo mropokaji. Akipata viewers 200 mkatambike wasipungue maana huenda wassikilize tena kwa pumba atazoroa leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo choko bobezi wanajitafunia tu hapo LumumbaWewe mwenyewe ni choko unawezaje kuwasengenya choko?
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.Kuna bwana mmoja hapa nchini huwa na mbwembwe na mbabe na huwa hajui aongee nini na wapi na yeye kama nani, yupo jamaa wa karibu na walio karibu naye anasema leo jamaa kapooza kama kanyweshwa sharubati la bamia na ngogwe anajitahidi kujikaza lakini barua ya moyoni haichelewi kutafsiriwa usoni mwake.
Pamoja na umbali alonao kutoka hapa tulipo lakini nchi nzima mitandaoni ni jina la LISSU sijajua leo litatajwa mara ngapi.
Lakini unajua sababu za yeye kuwa huko mafichoni siyo au haujui nini kilimpeleka huku ukada usikupofushe kiasi cha kukosa ubinadamu wengi ambao tuna miaka zaidi ya 50 tumecheza chipukizi tumeimba nyimbo za kusifu chama sana siyo wewe tu unakijua au kifuata chama bali tuweke ubinadamu mbeleLissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.
Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?
View attachment 1472025
BAADHI YA ALIYOYAONGEA:
- Naamini ninazo sifa zote shahiki za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Nikipewa nafasi hii na kuchaguliwa, sitolipiza visasi kwa yote yaliyofanywa na walionitangulia. Nitatafuta muafaka wa kitaifa
- Nikipewa nafasi ya kugombea urais na nikashinda, nitahakikisha mihimili ya Dola inakuwa huru
- Uamuzi wa Ndugai kunifutia ubunge haujaniondolea sifa za kuwa mgombea Urais. Aidha, sijawahi kuwa na mashtaka ya aina yoyote yanayoniondolea sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania
- Amesema akipata dhamana ya kuongoza, Serikali haitatumia Vyombo vya Dola dhidi ya Wapinzani na Wanahabari
- Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga kama tetemeko au #COVID19
Makaburu walikuwa Hatari kuliko nyinyi lakini Mandela akaja kuwa Rais mda utaongea hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa, mabutu, chiluba, Abacha, Eli Bashiri, idd Amin dada makatili kuliko Naibu Rais Bashite na mtukufu leo hii wapo wapi?Huruma gani hapa? Kwani kazuiwa kuja nchini? Mwambieni aendelee kujifariji na nyie mnazidi kum pampu ataambulia sifuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajaza mwenyewe maana naona unatetemeka, njoo hapa kemondo uone moto unavyo washwaLisu ndio jiwe?
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.
Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?