Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Kuna bwana mmoja hapa nchini huwa na mbwembwe na mbabe na huwa hajui aongee nini na wapi na yeye kama nani, yupo jamaa wa karibu na walio karibu naye anasema leo jamaa kapooza kama kanyweshwa sharubati la bamia na ngogwe anajitahidi kujikaza lakini barua ya moyoni haichelewi kutafsiriwa usoni mwake.
Pamoja na umbali alonao kutoka hapa tulipo lakini nchi nzima mitandaoni ni jina la LISSU sijajua leo litatajwa mara ngapi.
 
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.

Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?
 
L
Lissu ndio muoga wa kutupwa. Sasa mbona kajifica ubelgiji?
Lakini unajua sababu za yeye kuwa huko mafichoni siyo au haujui nini kilimpeleka huku ukada usikupofushe kiasi cha kukosa ubinadamu wengi ambao tuna miaka zaidi ya 50 tumecheza chipukizi tumeimba nyimbo za kusifu chama sana siyo wewe tu unakijua au kifuata chama bali tuweke ubinadamu mbele
 
Kama mnaweka mikakati ya kuiba kura hilo msahau kabisa maana tumejipanga kwa technology ya hali ya juu na hamna jinsi ya kutuzuia kuitumia, imakula kwenu
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.

Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?
 


Daah Lisu kweli utopolo yaani kajaza mimaneno kibao na sentensi kama upoyoyo wa makinikia hajui kusummarize repetition kibao kaweka zinki, zebaki, helium, copper, vuluvululu. Kichwani kumevurugika kbsa. Yelewi....wakosha...hiiiii!!
 
Huruma gani hapa? Kwani kazuiwa kuja nchini? Mwambieni aendelee kujifariji na nyie mnazidi kum pampu ataambulia sifuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Makaburu walikuwa Hatari kuliko nyinyi lakini Mandela akaja kuwa Rais mda utaongea hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Gadafi, Sadam Hussein, Bokasa, mabutu, chiluba, Abacha, Eli Bashiri, idd Amin dada makatili kuliko Naibu Rais Bashite na mtukufu leo hii wapo wapi?
 
Urais hauapatikani kwa kutajwa mitandaoni kamanda! Unapatikana kwa mikakati.

Wakati nyie mnashangilia jina la Lisu mitandaoni, ccm wako field kupanga mikakati ya ushindi.
Mtaelewa lini nyie bavicha?


Bila Wizi mnang'oka mapema tu
 
Hapo mwisho kwenye mfariji katudanganya. Ukifuatilia kwa ukaribu tabia za lissu, majibu yake kwa wenzake, anavowaongelea wenzake kwa dharau sidhani kama anaweza kuwa mfariji.

Ila pia kama aliweza kuzunguka nchi nzima kutuaminisha kuwa Lowasa ni mwizi na fisadi ila bado akampokea kwenye chama chake akamsafisha na kumpa nafasi ya kugombea nafasi nyeti ya urais leo anatuhakikishia vp kwamba haya anayotuahidi sasa hivi hata tugeuka!

Simuamini tena huyu kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…